Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Biblia kuwa na versions nyingi, haina shida, as long as ujumbe uliokusudiwa umekuwa preserved mimi sioni shida yoyote.Kwanza uelewe hizo biblia ziko kwa maelfu na ziko tofauti , sijui hiyo Quran ili copy biblia ipi au zipi kati ya hizo elfu
Pili , Hizo story za hao mitume uliowataja zilikuwepo kabla ya hiyo biblia unayoijuwa wewe kuwekwa kama kitabu
Kwanza hata hio Quran yenyew mnayosema haijabadilishwa mnajidanganya, kwasababu nyie(waislamu) husema perfect preservation of the Quran is "word by word" lakini Quran haina preservation ya "word by word" mnaji contradict(this knowledge is from Islamic scholars kama Dr Zakir)
Lakini bwana mdogo Biblia sio kitabu, ni collection ya Vitabu, mashairi na Barua zilizowekwa sehemu moja zinazolenga kuleta ujumbe mmoja tuu kuhusu yesu kristo, kama ulivosema hizo story zilikuwepo, ndio but zilikuwa zimeandikwa kweny tablets, papyrus, parchment or vellum, usije kujidanganya kwamba hazikuwa documented, no they were documented and preserved, ndo maana hata yesu alikuwa mara kwa mara akisema "Imeandikwa imeandikwa".
So source of knowledge zilizokuwepo hazikuwa tuu story zilizokuwa zikisambaa kwa mdomo, no ziliandikwa.
Biblia ina makosa gani?? Naomba nieleweshe??Kama Quran ili copy kutoka biblia unayoijuwa wewe , ingeli copy makosa pia
Biblia inasema kwamba:
1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).
2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).
3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).
4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).
Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.
Biblia inasema:
“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).
Ndio kabisa hao walikuwa ni makahaba walioshuhudia ukuu wa mungu na wakabadilika, je, binadamu hastahili second chance??
Kumb 23;2 inazungumzia mkutano wa Bwana, je, unaujua mkutano wa Bwana ni nn??
Unamjua mwana wa haramu?? Nafikiri utakuwa unamjua, haya tuendelee, mwana wa haramu akiamua kubadilisha mwenendo wake na kumrudia muumba wake hana nafasi mbele za mungu?? Sijui kwa upande Allah ila kwa upande wa mungu wetu yehova(yesu kristo) nafasi anayo na huyo hastahili tena kuitwa "mwana wa haramu" kwa sababu sasa ni mwana wa mungu na ana haki za kuingia kweny mkutano wa mungu kama Rahabu alivokuwa akiingia baada ya kuacha umalaya, our God Jehovah gives second chances.
Na kuhusu uzao wa hao makahaba kitabu hichohicho ulichonitajia sema fungu la mbele kidogo linasema;
Kumbukumbu la Torati 24:16
[16]Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.
The fathers shall not be put to death for the children, neither shall the children be put to death for the fathers: every man shall be put to death for his own sin.
Kama kizazi cha kahaba kimeamua kuachana na mienendo ya bibi/babu yao, mungu hukipokea hiko kizazi na kufuta dhambi zao na hakitakuwa na shida yeyote na kitajumuika na watu wote mbele za mungu, na mungu hazingumzii tuu uzao wa makahaba hata waabudu sanamu na wauaji. Usidhani kwamba mungu ana kinyongo cha milele, hapana mungu wetu hayupo ukitubu na kuacha dhambi, yeye mweny herema atarudia.
Wayahudi ni uzao wa ibrahimu bali ibrahimu mwenyew alikuwa ni mtu wa mesopotamia, sawa alikuwa sio myahudi nimekosa lakini most of your prophets before Muhammad were sons of Ibrahim and Isaac na huo ndo ukweli.Mwisho umeandika makosa kwamba Ibrahim alikuwa ni myahudi wakati siye , au unao ushahidi ??
Ndo maana muddy alivoanza agenda zake alitaka sana kuwavutia wayahudi kweny uislamu kwa kuwaita "watu wa kitabu" akitaka kuonesha kwamba mungu wake Allah na mungu wao yehova ni mungu mmoja lakini alivoona hawaoneshi ushirikiano na kumwona muddy kama mhuni akaanza vita nao na kuanza kuwalaani na kushawishi wafuasi wake nao wawalaani.