Sawa, tupo pamoja tuendelee..Naam, ndivyo nilivyoelewa mimi, kwa kuongezea nilichoelewa, kuwa mitume yote inatokana na vizazi vya hao.
Hapo tupo pamoja, tuendelee?
Kitu usichoelewa ni kuwa, Qur'an imekuja maandiko ya zamani baaday akutiwa mikono ya watu.My point is, hao mitume wakubwa ambao wapo pia kweny quran mmewatoa kweny Dini ya wayahudi, mbona unakuwa mgumu sana kuelewa, hao ni figures waliokuwepo tuu kweny dini ya kiyahudi, kabla ya uislamu huwez kukuta Zoroastrians(Dini ya Iranians before islamic revolution) wanamzungumzia Mussa au Ibrahim or huwez kuta Hindus wanamzungumzia Yesu au nuhu.
Ni characters mlio adapt from Judaism.
Naam, na aya hii tafadhali nijulishe umeelewa nini hapa, Qur'an 11:71:Sawa, tupo pamoja tuendelee..
Hapo ni Mke wa Ibrahim alicheka baada ya kuambiwa habari za kupata mtoto hasa akizingatia umri wake na wa Mme wake tayari ulikua ni mkubwa sana,...so alipewa bishara ya kumpata Is'haka ambapo kutokana na Isihaka akapatikana na Yakub.Naam, na aya hii tafadhali nijulishe umeelewa nini hapa, Qur'an 11:71:
وَٱمْرَأَتُهُۥ قَآئِمَةٌۭ فَضَحِكَتْ فَبَشَّرْنَـٰهَا بِإِسْحَـٰقَ وَمِن وَرَآءِ إِسْحَـٰقَ يَعْقُوبَ ٧١
Umeoina eeh? kabashiriwa kupatikana watoto nani na nani?Hapo ni Mke wa Ibrahim alicheka baada ya kuambiwa habari za kupata mtoto hasa akizingatia umri wake na wa Mme wake tayari ulikua ni mkubwa sana,...so alipewa bishara ya kumpata Is'haka ambapo kutokana na Isihaka akapatikana na Yakub.
Kabashiriwa Mtoto mmoja ambae ni Isihaka....ambapo kutokana na Isihaka baadae atapatikana mjukuu yaani Yakub.Umeoina eeh? kabashiriwa kupatikana watoto nani na nani?
Tutaelewana tu kidogo kidogo bila kutia yetu, Qur'an ni muujiza.
Sasa unaanza kuongeza yako, haifai. Hilo la mjukuu kuwa ni Yaakoub umelitoa wapi? tafadhali Sheikh, usifate matamanio yako, fata Qur'an. Kama Allah hajakuwekea kwenye hiyo aya, usiongeze lako.Kabashiriwa Mtoto mmoja ambae ni Isihaka....ambapo kutokana na Isihaka baadae atapatikana mjukuu yaani Yakub.
Yap,.. twende taratibu majibu yatapatikana.
Hapana sijaongeza yangu....bali inapaswa tutumie akili zetu vizuri kwenye kuelewa Aya husika hapo kwenye aya hilo neno (وَمِن وَرَاءِ) lipo kukuonyesha kwamba Yakub atatoka kwa Is'haka....ingekua bishara ni ya watoto wawili basi ingetumika tu herufi 'وَ' kutenganisha... ambapo ingemaanisha Mke wa Ibrahim anapewa bishara ya watoto Isihaka "na" Yakub..lakini kwenye hiyo aya haipo hivyo.Sasa unaanza kuongeza yako, haifai. Hilo la mjukuu kuwa ni Yaakoub umelitoa wapi? tafadhali Sheikh, usifate matamanio yako, fata Qur'an. Kama Allah hajakuwekea kwenye hiyo aya, usiongeze lako.
Au una aya nyingine inasema Yaakoub ni mjukuu wa Ibrahim?
Huna sababu ya kutumia akili yako ukaiona ya maana sana kuliko maandiko ya Allah. Hilo neno halimaanishi Yaakoub kuzaliwa na Is'hak. Wacha uongo, simply linamaanisha "na nyuma yake".Hapana sijaongeza yangu....bali inapaswa tutumie akili zetu vizuri kwenye kuelewa Aya husika hapo kwenye aya hilo neno (وَمِن وَرَاءِ) lipo kukuonyesha kwamba Yakub atatoka kwa Is'haka....ingekua bishara ni ya watoto wawili basi ingetumika tu herufi 'وَ' kutenganisha... ambapo ingemaanisha Mke wa Ibrahim anapewa bishara ya watoto Isihaka "na" Yakub..lakini kwenye hiyo aya haipo hivyo.
Hapo umeanza kuzuga tena, usiseme uongo, hiyo aya mbona hukuiweka? halafu umejifdai kuja na ytafsiri ya Kingereza? Ilhali ulisema unaielewa Qur'an na nikaanza kukuwekea ayat bila tadiri, tulianza vizuri sana, sasa umeona hapatoshi unaanza kuja na porojo zako.Kisha,..nikija kukuelewesha zaidi kwamba Qur'an imeweka wazi kwamba Yakub anamtambua Isihaka kama Baba yake... ilhali wewe unasema hiyo aya inaonyesha Isihaka na Yakub ni mtu na Kaka yake....
Tazama hapa chini uone Yakub anamtambua Isihaka kama nani...?👇🏼
Qur'an 2:133: "When death approached Jacob, he said to his sons, 'What will you worship after me?' They said, 'We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac—one God. And we are Muslims [in submission] to Him
Utofauti wa mm na wewe, I actually know things instead of kuingia Google and kusearch vitu au kutafuta YouTube videos inaonekana hujui kitu 😅 😅 😅
Ndugu yangu, the bible has many version but it has never been changed, why??
Because we have "Dead sea Scrolls" ambazo zilipatikana 1940s which confirm the original manuscripts from over 2000 years ago, sasa unachojaribu kusema ni kwamba translation ni sawa na kubadilisha which is not, ndio kuna translation nyingi za biblia, mm binafsi natumia King James Version but mind you these other transactions don't remove the core principles, tasfiri haimaniishi ujumbe utabadilika, ndio kuna utofauti kidogo unaweza ukawepo lakini ujumbe mkuu ni uleule.
Also we have the 5700 Greek manuscripts dated from 2nd to the 10th A.D all agreeing to an infinitesimal degree, tuna evidence ya vitu vilivoandikwa humo, je kuna variance(tofauti)?? Ndio, je kuna tofauti ya maana au ya ujumbe?? Hapana, na ukisoma kwa makini utakuja kuona utafuti uliopo is absolutely negligible, mfano manuscript moja imeandika "Jesus was the son of marry" another manuscript ikaandika "Jesus was the son of marry" two times, je kuna tofauti?? Ndio, iko wapi?? Kuna manuscript moja imezidisha maneno na kusema mara mbili, je kuna madhara yoyote ya ujumbe?? No, hakuna it was just emphasised by an overly enthusiastic scribe who wanted to emphasize "Jesus was the Son of Marry" the point is haibadilishi the core meaning.
Sisi ni wakristo hatuna haja ya kudanganya wala kusema uongo kama nyie mnavojidanganya kwamba Quran ni perfect, hapana Quran yenyew imepitia mabadiliko mengi tuu na kuna baadhi ya Islamic scholars washajitokeza na kusema hichi kitu.
So broo we're in the boat, uzuri naijua biblia yangu vizur na ujumbe uliobeba, sio kama quran inayosema shetani anajificha kweny pua za watu asubuhi, mara shetani akisikia adhana ana jamba sijui anarchic ushuzi msikitini ili msi swali vizur, story za kipumbavu kabisa hizo 😅 😅 😅
Na najua kwann hii point ya biblia kuwa na translation nyingi waislamu mnaing'ang'ania sana, kwasababu bila hii point uislamu unakufa, uislamu umej∆®∆¢¢*ekenga katika dhana kwamba biblia ni neno la mungu lililoshushwa lakini watu wakalibadilisha wakalichakachua likawa corrupted, kwaio dini yenu ime base kweny hio point kwamba biblia imekuwa corrupted so Quran ndo neno la mungu halisi lisilochachuliwa, bila kuipondea biblia kwamba ni corruption hamna point nyingine ya kuitetea quran yenu.
Na hio kitu inanichekeshaga sana, mnasema biblia sijui torati, zaburi na Injili zilishushwa na mungu maana yake ni neno la mungu yaan Allah(surah 3:3-4), si ndio?? Na Allah anasema kweny quran kwamba "Neno lake haliwez kuchakachuliwa"(His words can't be corrupted) surah 18:27
Sasa huoni kama Allah na Muhammad wanaji contradict, Anasema maneno yake hayawez kuchakachuliwa lakini maneno yake ya awali analaumzu binadamu kwa kuyachakachua kwaio akaleta maneno mengine(quran)
😅 😅 😅
Don't you think that's confusing??
Unamjua Abdullah Ibn Saad Ibn Abi Sarh??
View attachment 3024199
alikuwa mwandishi mkuu wa Mtume. Baada ya kuona linguistic errors katika revelations(mafunuo) ya Mtume na tabia ya muddy kufanya mabadiliko mara kwa mara kulingana na mapendekezo ya Ibn Abi Sarh, alitoroka kutoka Madina kwenda Месса. Alisema wazi kuwa qur'an ni uzushi na sio kitabu kutoka kwa Mungu yeyote. Kisha Muddy kama kawaida yake akaamuru kuuawa kwake kwa kulipiza kisasi. Ilikuwa ni mauaji ya kwanza ya murtadi katika Uislamu.
Ngoja nikupe scenario moja aliyotoa huyu jamaa;
"the Messenger of Allah invited him so that he could write him the revelation, so when the verse 23:12 ("And certainly did We create man from an extract of clay") was revealed, the Prophet called Ibn Abi al-Sarh, and dictated it to him and when the Prophet reached the end of 23:14 ("...Thus, We formed him into a new creation") Abdullâh said in amazement ("فتبارک اللّٰہ احسن الخالقین So blessed be Allah, the Best of creators!"). The Prophet said:" Write these words too (i.e., فتبارک اللّٰہ احسن الخالقین "So blessed be Allah, the Best of creators!"), as these words have also been revealed to me."
Abdullah Ibn Saad Ibn Abi Sarh - Wikipedia
Umefunga kazi kisomi kabisa na kwa ushahidi kamili. Heko.Umeandika mtungo wa story mkuuubwa huku ukiongopa kuwa versions za biblia hazina tofauti
Matoleo ya Biblia ya Kingereza
Katika utangulizi wa toleo la Biblia linalotumika sana, la Revised Standard Version, mtunzi ameandika yafuatayo:
"Biblia ya Revised Standard Version, ni marekebisho yaliyoidhinishwa ya toleo la American Standard Version, lilochapwa 1901, na ambalo nalo pia lilikuwa ni marekebisho ya toleo la King James Version, lilochapwa 1611…
Toleo la King James Version lililazimika kushindana na Biblia ya Geneva Bible (1560) juu ya kutumiwa na watu wengi; lakini hatimaye lilienea, na kwa zaidi ya karne mbili na nusu hakuna tafsiri ya Biblia kwa Kingereza iliyoandikwa na kuidhinishwa.
Toleo la King James Version likawa ndilo "toleo lililoidhinishwa" kwa wanaoongea Kingereza… Ndio, Toleo la King James Version lina dosari kubwa mno.
Kufikia katikati ya karne ya kumi na tisa, maendeleo ya tafiti za Kibiblia vilevile kugunduliwa kwa miswada mingi ambayo ni ya kale zaidi kuliko ile iliyotegemewa na Toleo la King James Version, yamefanya toleo hilo kuwa ni wazi kuwa lina dosari nyingi na mbaya mno na kusababisha kuitishwa kufanyika marekebisho ya tafsiri ya kingereza.
Kazi ikafanywa, kwa idhini ya Kanisa la Uingereza, mwaka 1870. Toleo la Biblia la English Revised Version lilichapwa mwaka 1881 – 1885; na Toleo la American Standard Version, lahaja zake zimejiingiza katika upendeleo wa wanazuoni wa Kimarekani walioshiriki katika kazi hiyo, nalo lilichapishwa mwaka 1901.
Toleo la King James Version la Agano Jipya liliegemea matini za kigiriki zilizovurugwa kimakosa, ikiwemo kujilimbikizia makosa ya karne ya kumi na nne ya kunukuu miswada. Nalo kimsingi, lilikuwa ni matini ya Kigiriki ya Agano Jipya kama lilivyoandikwa na Beza, 1589, ambaye kwa ukaribu zaidi alifuata chapa hiyo ya Erasmus, 1516 – 1535, iliyoegemea juu ya miswada ya zama za kati.
Mswada wa kwanza na ulio bora zaidi miongoni mwa miswada minane aliyoishirikisha ulikuwa ni wa karne ya kumi, naye akautumia kidogo mno mswada huo kwa sababu unatofautiana sana na matini za kawaida zilizopokelewa; Beza alipata miswada miwili ya thamani kubwa mno, ikiwa ni ya karne ya tano na ya sita, lakini aliitumia kidogo mno kwa sababu inatofautiana na matini iliyochapwa ya Erasmus.
Toleo la American Standard Version lilipewa haki miliki ya kuzuia matini yake isibadilishwe bila idhini. Mnamo 1928 haki hiyo ilipatikana kutoka katika Baraza la Kimataifa la Elimu na Dini, na kwa hiyo likawekwa katika umiliki wa makanisa ya Marekani na Canada yaliyoshiriki katika baraza hilo kwa kupitia bodi zao za elimu na uchapaji.
Baraza hilo liliainisha kamati ya wasomi kusimamia matini ya ya Toleo la American Standard Version na kufanya uchunguzi na kujua kama marekebisho zaidi yanahitajika… [Baada ya miaka miwili] uamuzi
ulifikiwa; nao ni kuwa; kunahitaji marekebisho kikamilifu katika toleo la 1901, ambalo litabakia kuwa lipo karibu na mapokeo ya Tyndale-King James kama itakavyokuwa… Mnamo 1937 na marekebisho yalipewa idhini kwa kura ya Baraza hilo."
"Wasomi thelathini na wawili walitumika kama wanakamati wa kamati iliyotakiwa kufanya marekebisho hayo, nao waliyalinda mabadiliko na kuishauri Bodi ya Ushauri ya wawakilishi hamsini wa madhehebu ili kushirikiana kufanya kazi hiyo…
Toleo la Agano Jipya la Revised Standard Version lilichapwa mwaka 1946."
Toleo la Biblia la Revised Standard Version, linajumuisha Agano la Kale na Jipya, nalo lilichapwa mnamo Septemba 30, 1952, na likakubalika sana.
REFERENCE
The Holy Bible: Rivised Standard Version, p. iii-iv.
Ibid, p. iv.
Ibid, p. vi.
The Holy Bible: Rivised Standard Version, p. 96.
The Holy Bible: (King Jems Version)
My point is, hao mitume wakubwa ambao wapo pia kweny quran mmewatoa kweny Dini ya wayahudi, mbona unakuwa mgumu sana kuelewa, hao ni figures waliokuwepo tuu kweny dini ya kiyahudi, kabla ya uislamu huwez kukuta Zoroastrians(Dini ya Iranians before islamic revolution) wanamzungumzia Mussa au Ibrahim or huwez kuta Hindus wanamzungumzia Yesu au nuhu.
Ni characters mlio adapt from Judaism.
Broo 😅 😅 😅
Mkutano wa Bwana sio kuingia katika ufalme wa mungu 😅
Ndo maana nakwambia hujui kitu.
Uliposema kwamba sijui wew emeleta mambo ya mwanaharamu na mm nimeleta mambo ya mauaji inazidi kuonesha jinsi gani ulivokuwa empty kichwani na kujaribu kukuelezea na kukutafunia vitu lakini bado huelewi, lakini nahic hutaki kuelewa kwasababu ukielewa utaanza kumpinga muddy so inabidi ukaze ili uendelee kumtumikia muddy.
The main concept ni dhambi na urithi wa dhambi, mungu anasema mwenyew dhambi asiingie kweny mkutano wake, mkutano wake ni mkusanyiko waliokuwa wakiufanya kweny hekalu la mungu ambapo hata kuhani aliyekuwa anahudumia akikosea kujitakasa tuu nayeye anakufa kwasababu kweny mkutano wa Bwana uwepo wa mungu unashuka so panakuwa patakatifu sana, so walikuwa wanapewa maelekezo ya kujitakasa sana na kutubu, lakini haimaanishi kwamba kahaba aliyekuwa mzinifu akaanza ukahaba wake anamua aungame dhambi zake na kutoa sadaka za kafara(mwanakondoo) kwamba hatasamehewa milele na hatoingia milele kweny hekalu la mungu, hapana that's a misconception ambayo wewe unajaribu kuifanya iwe reality lakini ni uongo mtupu mungu wetu hayupo ivo.
Na vilevile hata urithi wa dhambi, kizazi kikiamua kuachana na dhambi za babu/bibi zao na kuungama na kutoa sadaka, mungu mwenye rehema hawez kuwaacha eti kisa babu zao walimkosea, mungu hayupo hivo, hapo alikuwa anazungumzia vizazi vinavoendeleza tabia za babu/bibi zao, usijichanganye broo.
Hiyo ni burial site sidhani kma mtu n Akili yake akiambiwa amtolee sadaka mungu atamtolea eneo alilopanga kwa makaburi.Nahisi kwenye bible imeandikwa Hajra alifukuzwa n salha ndio maana Sehemu aliyotolea kafara mtoto wake wa pekee sipo alipokuwa anaishi n salha.Hajra alikuwa make halali hivyo alikuwa na wajibu wa kumuhudumia n kumtembelea(hakuna mtume aliwah kuzini)Waislam na Wakristo wote wanakubaliana kuwa Kaburi la Ibrahim, Sarah, Rebekah na watoto wengine wa Isaka yako Hebron, katika msikiti unaitwa Masjid Al Ibrahimi ambao nusu ni Sinagoni na Nusu ni msikiti.
Lakini Waislam na Wanazuoni wa Kiislam hawajawahi kuja na Uthibitisho ni namna Gani Ibrahim alifikaje Mecca ya Leo na ilikuwaje akafia Kaanani/Israel ya Leo.
Kumbuka Hajiri alikuwa Mmsiri na Ibrahim alimfukuza Hajiri baadae kutokana na migogoro ya kifamilia.
Kulingana na Tamaduni za Kiyahudi Jiwe lililomo ndani ya Dome of the Rock au ule msikiti wenye paa la Dhahabu Ndio Ibrahim alitoka kumtoa Sadaka Isaka, kutoka yalipo makaburi ya Ibrahim na ilipo Yerusalem hoja hii ina mashiko zaidi ya Hoja ya Waislam
View attachment 3019478
Yeremia 8:8Ndivyo anavyowaambia Nabii wenu Tito??
Sijakuelewa hapo unapoandika "wamechukuliwa", wamechukuliwa kupelekwa wapi?Yeremia 8:8
Mwasemaje, sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi?
Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.
..............
Biblia ni tamu sana kwa wanaoielewa.
Mwasemaje kuwa ninyi mna akili, na torati ya Bwana ipo pamoja nanyi,
wakati hiyo torati haina Amri Kumi alizopewa Musa ?
Hiyo torati imeharibiwa na kalamu za waandishi wa kitabu chenu.
Na mkiwaamini hao waandishi (Yeremia aliamua kutumia tafsida tu)
Alitaka kuwaambia ukweli kuwa kama mnaiamini hiyo Torati isiyo na Amri Kumi za Musa basi ninyi hamna akili.
.............
Yeremia 8:8
Mwasemaje, sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi?
Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.
...........
Mwasemaje kuwa ninyi mna akili? 🤣🤣🤣
Biblia sio kitabu cha mchezo mchezo dogo.
Ndio maana wahusika wote wa kwenye kitabu chenu wamechukuliwa kwenye Biblia, isipokuwa mhusika mmoja tu Mwarabu, hali ya kuwa kimeandikwa Uarabuni na Waarabu.
Kulingana na family three Yako hapa mtiririko wote unaishia Kwa Yusuf, swali linakuja je Yusuf alitia mimba Hadi akazaliwa huyo Yesu?Ni hiari yako kusikiliza chanzo cha habari au masimulizi mengine ya baadae.
Biblia iliyoanza kuripoti hilo tukio inasema Isaka ndiye aliyetolewa sadaka.
Waislamu wapambane na dini yao ambayo ina aya za mkato mkato na hazina mtiririko wa matukio.
Waislamu na qurani yao wameambiwa ishamaeli ndiye aliyetolewa sadaka wala hupaswi kuuliza.
Mungu wa kwenye Biblia alisha sema mara nyingi tu kuwa yeye ni Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo ambaye ndiye Israeli.
Na ametoa family tree ya mtiririko wa Manabii na watu aliowatumia katika mpango wake wa kumwabudu, na Ishamael hayupo kwenye hiyo family.
Achana na stori za kuunga unga, familia ya Wayahudi ni hii hapa.
Mathayo 1
2 Ibrahimu alimzaa Isaka; Isaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake;
3 Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari; Peresi akamzaa Esromu; Esromu akamzaa Aramu;
4 Aramu akamzaa Aminadabu; Aminadabu akamzaa Nashoni; Nashoni akamzaa Salmoni;
5 Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu; Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu; Obedi akamzaa Yese;
6 Yese akamzaa mfalme Daudi; Daudi akamzaa Suleimani kwa yule mke wa uria;
7 Sulemani akamzaa Rehoboamu; Rehoboamu akamzaa Abiya; Abiya akamzaa Asa;
8 Asa akamzaa Yehoshafati; Yehoshafati akamzaa Yoramu; Yoramu akamzaa Uzia;
9 Uzia akamzaa Yothamu; Yothamu akamzaa Ahazi; Ahazi akamzaa Hezekia;
10 Hezekia akamzaa Manase; Manase akamzaa Amoni; Amoni akamzaa Yosia;
11 Yosia akamzaa Yekonia na ndugu zake, wakati wa ule uhamisho wa Babeli.
12 Na baada ya ule uhamisho wa Babeli, Yekonia akamzaa Shealtieli; Shealtieli akamzaa Zerubabeli;
13 Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eliakimu; Eliakimu akamzaa Azori;
14 Azori akamzaa Sadoki; Sadoki akamzaa Akimu; Akimu akamzaa Eliudi;
15 Eliudi akamzaa Eleazari; Eleazari akamzaa Matani; Matani akamzaa Yakobo;
16 Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.
..............
Na nyie mnao mwona Ishmaeli kama ndio baba wa Uislamu naomba mnipe family tree yake hadi kuzaliwa Muhammadi.
Maana Mungu anatunza kumbukumbu za Manabii wake hadi wa mwisho.
Maswali mengine hayana mantiki, kweli ya mtu ni ile anayoiamini.
Kweli ya Wayahudi na Wakristo ni Isaka.
Kweli ya Waislamu ni Ishmaeli ambaye hawajui hata family tree yake.
Kila mtu ana kweli yake kutikana na kukiamini chanzo cha hiyo kweli.
Wayahudi na Wakristo tunamchukulia Muhammadi kama mtu mpotoshaji tu na kamwe hatumwamini kwa chochote anacho ongea
Yeremia 8:8
Mwasemaje, sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi?
Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.
..............
Biblia ni tamu sana kwa wanaoielewa.
Mwasemaje kuwa ninyi mna akili, na torati ya Bwana ipo pamoja nanyi,
wakati hiyo torati haina Amri Kumi alizopewa Musa ?
Hiyo torati imeharibiwa na kalamu za waandishi wa kitabu chenu.
Na mkiwaamini hao waandishi (Yeremia aliamua kutumia tafsida tu)
Alitaka kuwaambia ukweli kuwa kama mnaiamini hiyo Torati isiyo na Amri Kumi za Musa basi ninyi hamna akili.
.............
Yeremia 8:8
Mwasemaje, sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi?
Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.
...........
Mwasemaje kuwa ninyi mna akili? 🤣🤣🤣
Biblia sio kitabu cha mchezo mchezo dogo.
Ndio maana wahusika wote wa kwenye kitabu chenu wamechukuliwa kwenye Biblia, isipokuwa mhusika mmoja tu Mwarabu, hali ya kuwa kimeandikwa Uarabuni na Waarabu.
Huyo kachanganyikiwa hajuwi hata anachokiandikaSijakuelewa hapo unapoandika "wamechukuliwa", wamechukuliwa kupelekwa wapi?