Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

Kwanza waislamu watambue kwamba Ismail hakuwa ni ile ahadi akiyopewa Ibrahim na Mungu Mwenyezi- Ibrahim alizini baada ya kuona ahadi na Mungu inazidi kuchelewa na umri wa mkewe sarah umekwenda.

Mungu hakupendezwa na kitendo cha Ibrahim na ndipo alipomwagiza amuondoe nyumbani Ismail pamoja na mama yake.

Na ndiyo maana ukoo wa Ismail haupo kwa vitabu vitakatifu, ingawa ni kweli aliondoka na baraka za Ibrahim ila alikuwa mtoto wa zinaa.
Nyie shida kweli unamtuhumu baba wa Imani kuwa mzinifu ila Hali hakufanya hilo jambo maana Sheria Ili ruhsu kuzaa na mjakazi/suria( concubine) yote hayo lengo kumkataa Ismail.....
Kwa taarifa Yako Ismail ni uzaonhalali wa Ibrahim na ndiye aliyekuwa mwana wapekee, Isihaka alifuata baadae sana.
 
Kitu usichoelewa ni kuwa, Qur'an imekuja maandiko ya zamani baaday akutiwa mikono ya watu.

Unaweza kukuta majina yanafanana lakini visa na "roles" zao ni tofauti kabisa na utazozisoma kwenye biblia.

Qur'an ni "Furqan" (criterion) iliyokuja kubainisha (Mubyin) ukweli.
We Bibi acha kudanganya watu 😅 😅
Quran imekuja na Muddy, there is no historic evidence ya uwepo Quran au maandiko yoyote ya Allah before Muddy.

Utakacho weza kupata before Muddy ni Masanamu ya Allah pale Mecca(pamoja na miungu mingine 360) kipindi Allah bado anabudiwa kama Moon god na alikuwa anajulikana ana watoto watatu.

Muddy alichofanya ni kuchukua mmoja wa miungu iliyokuwa inaabudiwa pale Mecca na kumfanya ndo mungu wake, hana jipya.
And there is historic evidence ukitaka sema nikupe.
 
Huna sababu ya kutumia akili yako ukaiona ya maana sana kuliko maandiko ya Allah. Hilo neno halimaanishi Yaakoub kuzaaa. Wacha uongo, simply linamaanisha "na nyuma yake".

Huwa sikisii, kijana, usitake kuongeza yako yasiyokuwepo, ni shirki hiyo.

Narudi chini hapo...
Kuna sehemu nimesema hilo neno linamaanisha Yakub kuzaa?

Tatizo unataka kuonekana unajua...jishushe kwasababu binadamu tuna la kujifunza kutoka kwa kila mtu.
 
Hapo umeanza kuzuga tena, usiseme uongo, hiyo aya mbona hukuiweka? halafu umejifdai kuja na ytafsiri ya Kingereza? Ilhali ulisema unaielewa Qur'an na nikaanza kukuwekea ayat bila tadiri, tulianza vizuri sana, sasa umeona hapatoshi unaanza kuja na porojo zako.

Au huelewi Kiswahili unataka tuanze mjadala kwa Kingereza?

Hii aya uliyoweka namba zake tu, jisomee useme i[po sawa na hiyo tafsiri yako ya Kingereza: Qur'an 2:233

أَمْ كُنتُمْ شُهَدَآءَ إِذْ حَضَرَ يَعْقُوبَ ٱلْمَوْتُ إِذْ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعْبُدُونَ مِنۢ بَعْدِى قَالُوا۟ نَعْبُدُ إِلَـٰهَكَ وَإِلَـٰهَ ءَابَآئِكَ إِبْرَٰهِـۧمَ وَإِسْمَـٰعِيلَ وَإِسْحَـٰقَ إِلَـٰهًۭا وَٰحِدًۭا وَنَحْنُ لَهُۥ مُسْلِمُونَ ١٣٣

Twena hapo ndiyo wazi kabisa Yaakoub anaambiwa na wanawe kuhusu baba'ke ambae ni Ibrahim, au huelewi unachokisoma?

Huwa sikisii.
Kwanini nitunge uongo sasa.....

Tafsiri niliyoweka na original text wala hakuna utofauti wa kimantiki..

ngoja nikuulize swali... nini tofauti ya neno "ābāʾika" (آبَائِكَ) na neno "abuka" (أَبُوكَ),?

كُنتُمْ شُهَدَآءَ إِذْ حَضَرَ يَعْقُوبَ ٱلْمَوْتُ إِذْ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعْبُدُونَ مِنۢ بَعْدِى قَالُوا۟ نَعْبُدُ إِلَـٰهَكَ وَإِلَـٰهَ ءَابَآئِكَ إِبْرَٰهِـۧمَ وَإِسْمَـٰعِيلَ وَإِسْحَـٰقَ إِلَـٰهًۭا وَٰحِدًۭا وَنَحْنُ لَهُۥ مُسْلِمُونَ
 
Kuna sehemu nimesema hilo neno linamaanisha Yakub kuzaa?

Umeandika "kukuonyesha kwamba Yakub atatoka kwa Is'haka".

Mimi ilikuwa nikuanfahamishe kuwa hilo neno halimaanishi Yakoub kazaliwa I'shaka. Usitune.
Tatizo unataka kuonekana unajua...jishushe kwasababu binadamu tuna la kujifunza kutoka kwa kila mtu.
Hayo sasaqa yako wewe, kwa kuwa umeshaona unapokosea na ulipojifunza. Mimi nimekuuliza toka mwanzo, unaijuwa Qur'an, sasa nakushangaa unaongezea maneno yako na unaleta tafsiri za Kingereza kama vile mimi sielewwi Kiswahili au Kiarabu cha Qur'an.
 
Kwanini nitunge uongo sasa.....

Tafsiri niliyoweka na original text wala hakuna utofauti wa kimantiki..

ngoja nikuulize swali... nini tofauti ya neno "ābāʾika" (آبَائِكَ) na neno "abuka" (أَبُوكَ),

كُنتُمْ شُهَدَآءَ إِذْ حَضَرَ يَعْقُوبَ ٱلْمَوْتُ إِذْ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعْبُدُونَ مِنۢ بَعْدِى قَالُوا۟ نَعْبُدُ إِلَـٰهَكَ وَإِلَـٰهَ ءَابَآئِكَ إِبْرَٰهِـۧمَ وَإِسْمَـٰعِيلَ وَإِسْحَـٰقَ إِلَـٰهًۭا وَٰحِدًۭا وَنَحْنُ لَهُۥ مُسْلِمُونَ
Muongo kwa sababu unnatunga ya kwako, kule juu hukuleta hilo neno uliloleta sasa hivi, rudi juu kwanza ukaone. Halafu jibu swali nililokuuliza, ndiyo uje na swali au maswali yako. Usiruke, huu ni mjadala siyo michambo.

Kwenye mjadala, kabla hujauliza swali, kwanza unatakiwa ujibu swali uliloulizwa baada ya kujibiwa.

Siyo najifanya nataka kujuwa, mimi ni mwanafunzi wa Qur'an daima. Siyo mwanafunzi wa porojo.
 
Hayo sasaqa yako wewe, kwa kuwa umeshaona unapokosea na ulipojifunza. Mimi nimekuuliza toka mwanzo, unaijuwa Qur'an, sasa nakushangaa unaongezea maneno yako na unaleta tafsiri za Kingereza kama vile mimi sielewwi Kiswahili au Kiarabu cha Qur'an.
Kwanini unaamini mimi ndiyo nimeona ninapokosea ilhali hatujafika hitimisho la mjadala?

Kwamba kuweka tafsiri ya Kiingereza nq yenyewe unataka iwe hoja? hapana hicho ni kitu kidogo sana Madam.
 
Hiyo ni burial site sidhani kma mtu n Akili yake akiambiwa amtolee sadaka mungu atamtolea eneo alilopanga kwa makaburi.Nahisi kwenye bible imeandikwa Hajra alifukuzwa n salha ndio maana Sehemu aliyotolea kafara mtoto wake wa pekee sipo alipokuwa anaishi n salha.Hajra alikuwa make halali hivyo alikuwa na wajibu wa kumuhudumia n kumtembelea(hakuna mtume aliwah kuzini)
Are you believing kuwa Ibrahim alikuwa ana tembea km 1400 kumfuata Hajiri?
 
Kwanini unaamini mimi ndiyo nimeona ninapokosea ilhali hatujafika hitimisho la mjadala?

Kwamba kuweka tafsiri ya Kiingereza nq yenyewe unataka iwe hoja? hapana hicho ni kitu kidogo sana Madam.
Umekosea kwa kuzusha lisilokuwepo halafu bado unaendelea kuja na kujihami kwa kuuliza mengine kabla hujajibu uliloulizwa, au haufahamu maana ya mijadala / kujadiliana?

Halafu unawacha mada na kuanza kunivaa mimi binafsi. Ndio kujihami kwako huko?
 
Hapo umeanza kuzuga tena, usiseme uongo, hiyo aya mbona hukuiweka? halafu umejifdai kuja na ytafsiri ya Kingereza? Ilhali ulisema unaielewa Qur'an na nikaanza kukuwekea ayat bila tadiri, tulianza vizuri sana, sasa umeona hapatoshi unaanza kuja na porojo zako.

Au huelewi Kiswahili unataka tuanze mjadala kwa Kingereza?

Hii aya uliyoweka namba zake tu, jisomee useme i[po sawa na hiyo tafsiri yako ya Kingereza: Qur'an 2:233

أَمْ كُنتُمْ شُهَدَآءَ إِذْ حَضَرَ يَعْقُوبَ ٱلْمَوْتُ إِذْ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعْبُدُونَ مِنۢ بَعْدِى قَالُوا۟ نَعْبُدُ إِلَـٰهَكَ وَإِلَـٰهَ ءَابَآئِكَ إِبْرَٰهِـۧمَ وَإِسْمَـٰعِيلَ وَإِسْحَـٰقَ إِلَـٰهًۭا وَٰحِدًۭا وَنَحْنُ لَهُۥ مُسْلِمُونَ ١٣٣

Twena hapo ndiyo wazi kabisa Yaakoub anaambiwa na wanawe kuhusu baba'ke ambae ni Ibrahim, au huelewi unachokisoma?

Huwa sikisii.
Hilo swali ulilouliza halipo sahihi....

Qur'an inasema "Baba zako" ikataja Ibrahim, Ismail na Isihaka.

Wewe hiyo 'baba yako" Ibrahim umeitoa wapi?

Kisha ukija unasema mimi ndiyo muongo... Inashangaza.
 
Umekosea kwa kuzusha lisilokuwepo halafu bado unaendelea kuja na kujihami kwa kuuliza mengine kabla hujajibu uliloulizwa, au haufahamu maana ya mijadala / kujadiliana?

Halafu unawacha mada na kuanza kunivaa mimi binafsi. Ndio kujihami kwako huko?
Kitu kizuri ni kwamba wanaosoma na kuelewa watajua nani anayezusha mambo na nani anayesema kama ilivyoandikwa.

Hapana sikuvai binafsi,, kama umejihisi hivyo,.. niwie radhi.
 
mkuu Pascal Mayalla naona umeamua kutuchonganisha hapa🤣hebu nawewe utusaidie kidogo hapa ukitumia uanasheria wako hebu tuelezee hapa NAFASI na STAHIKI za mtoto wa nje ndoa kwa imani hizi mbili kuu za kikristu na kiislam ikoje?
 
Kulingana na family three Yako hapa mtiririko wote unaishia Kwa Yusuf, swali linakuja je Yusuf alitia mimba Hadi akazaliwa huyo Yesu?
Na kama hajatia mimba why kumnasibisha Yesu na hivyo vizazi vya Ibrahim?
Kama Yesu kazaliwa toka kiunoni Kwa Yusuf yaani amemwagilia basi huyo ni mwana wa Yusuf na anastahiki hiyo family three Yako ila kama hakumwagilia basi huyo ni Mtoto wa Mariam pekee so why katika uislamu wanamuita mwana wa Mariam.
Ila nyie mmevuka mipaka eti mwana wa mungu na si wa Yusuf daah...........
Mimi nimejikita kwenye hiyo family three Yako nayo naweza sema ni feki
Family Tree ya Yesu it has Alot of Drama..

Kwanza Jaribu Kusoma hiyo ya Mathayo Then Soma Ya Luka!

Kwanza Two different Clans na Watu diffrrent na sio hivyo kipindi nasoma Theology Was alot kf contradiction and Theory kuhusu Hilo..

Most of the Acceptable Theory was that Luka is Based on Mariam (Mother) and Mathew Based on Yusuf (Father)..

Kuna weakness nyingi sana Kwenye Hiyo theory kwanza Jews ni Patrin...Society the tracy of family is through father not mother..

Kwenye Ukoo wa Yesu kuna Vitu vingi haviko sawa hata majina ya Mababu zake sio ya Kweli (From Luka)..

Kuna vitu vingi waandishi Walitupanga ni basi tu
 
Are you believing kuwa Ibrahim alikuwa ana tembea km 1400 kumfuata Hajiri?
Hilo swali Jepesi Mtu wangu Babu yangu alikuwa anatoka zanzibar kupeleka Bidhaa Bukoba ambayo ni Kilometer 1000+

Nyerere aliwahi kutoka Butiama mpaka Dar Kwa baiskeli...

Sasa Seuze Ibrahimu aliyekuwa na Kipando (Ngamia na Punda na Farasi)
 
I believe cause he was a man with faith and you should not be biased when you have more than 1 wife
Hilo swali Jepesi Mtu wangu Babu yangu alikuwa anatoka zanzibar kupeleka Bidhaa Bukoba ambayo ni Kilometer 1000+

Nyerere aliwahi kutoka Butiama mpaka Dar Kwa baiskeli...

Sasa Seuze Ibrahimu aliyekuwa na Kipando (Ngamia na Punda na Farasi)
 
Hilo swali Jepesi Mtu wangu Babu yangu alikuwa anatoka zanzibar kupeleka Bidhaa Bukoba ambayo ni Kilometer 1000+

Nyerere aliwahi kutoka Butiama mpaka Dar Kwa baiskeli...

Sasa Seuze Ibrahimu aliyekuwa na Kipando (Ngamia na Punda na Farasi)
Safari ya kutoka Kaanani hadi Mecca ya Leo ni ndefu kuliko kutoka Ur kwenda kaanani and above all it is very harsh

Historically watu wameanza kuishi Mecca ya Leo miaka 1400 tu iliyopita
 
Safari ya kutoka Kaanani hadi Mecca ya Leo ni ndefu kuliko kutoka Ur kwenda kaanani and above all it is very harsh

Historically watu wameanza kuishi Mecca ya Leo miaka 1400 tu iliyopita
You didnt get my Point sijasema kuhusu Mecca wala Medina wala kuhusu Popote..

What i was justifing ni Kutembea umbali Mrefu..
Inawezekana kabisa mimi nilikuwa Nikisoma Primary shule iko Km 20..

Lakini nilikuwa Nikienda Na kurudi Nyumbani so kwa siku nilikuw anikitembea Km 40..

Kama mimi wa Miaka ya 70 niliweza kufanya hivyo na babu yangu alikuwa akiniambia alitembea zaidi ya Kilometer hizo kutafuta au Kufanya Biashara ninaamini kabisa Huo Urefu wa Safari si kitu kwa watu wa zamani..

Kuhusu Kuishi kwa Watu Sinai ilikuwa Ikifahamaka kama Mji wa Arabuni, Ukienda parani,Harani na Sehemu Zingine zote..
 
Hadi Leo Saudi Arabia, Egpty Watu wanaishi kando ya mito na sehemu ambazo zinaweza kulimika...

Mecca it was very harsh.

And ukifatilia definition ya promise land ni kati ya mto Euphrates na Sinai.

Now come and think of it logically, Ibrahim took his son to the unknown and barren land, but he was able kumtoa mke wake kwa mwanaume mwingine ili aweze kusurvive njaa.
 
Back
Top Bottom