SPYMATE
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 2,071
- 1,960
Nyie shida kweli unamtuhumu baba wa Imani kuwa mzinifu ila Hali hakufanya hilo jambo maana Sheria Ili ruhsu kuzaa na mjakazi/suria( concubine) yote hayo lengo kumkataa Ismail.....Kwanza waislamu watambue kwamba Ismail hakuwa ni ile ahadi akiyopewa Ibrahim na Mungu Mwenyezi- Ibrahim alizini baada ya kuona ahadi na Mungu inazidi kuchelewa na umri wa mkewe sarah umekwenda.
Mungu hakupendezwa na kitendo cha Ibrahim na ndipo alipomwagiza amuondoe nyumbani Ismail pamoja na mama yake.
Na ndiyo maana ukoo wa Ismail haupo kwa vitabu vitakatifu, ingawa ni kweli aliondoka na baraka za Ibrahim ila alikuwa mtoto wa zinaa.
Kwa taarifa Yako Ismail ni uzaonhalali wa Ibrahim na ndiye aliyekuwa mwana wapekee, Isihaka alifuata baadae sana.