Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

Quran iliteremshwa kusummarize vitabu vyoote vilivyotangulia (torati, suhfi ya Ibrahim, injili) kwa mtume wake wa mwisho (cc. Suratul tafswiila)

Imeelezea saana watu wa kitabu waliopita(wayahhudi na Christians)
(cc. Suratul imraan) na namna walivyoghushi au plagiarism maneno ya Mungu.soma Sana tafsiri yke utaielewa in deep chimbuko zake.

Hii ni baada ya machafuko kushamiri
Na ikumbukwe mitume yoote inazaliwa sehemu iliyoshamiri machafuko(dhambi). Kwa lengo moja tu sote tunalifahamu.

KWAHIYO.
Haijalishi kitabu gani kilitangulia kuja na kipi Cha mwisho kuja.
Cha Ukweli na uongo hauthibitishwi kwa hoja dhaifu Kama hiyo.
Bali ni kwa uchambuzi wa kiundani baina ya pande zote mbili (breaking down kila hoja na kulinganisha kwenye vitabu vyote viwili)

Uje na maswali yako, ya :
*Kwanini
*Ilianzia wapi
*Na kina Nani.
*Reference yake ipo wp au ipi
*Etc

Mungu alishaweka bayana kwenye vitabu vyake vyote kwamba DINI gani aliyoiteremsha.

NB,
Ibrahim hakuanzisha DINI ya uyahudi yule ni mtume, hakuna mtume yoyote anaeanzisha DINI yke isipokua anafwata maamrisho na aliyemtuma Kuna DINI aliamrishwa aifwate na aliikuta tangu anazaliwa ileee ya kina enock(Idrissa) mpka ikamkuta yy na watu wake.

Uyahudi ulikuja kutoka kwa watoto wa Israel(yakobo) 12 sons na namna walivyoianzisha kwa lengo gani kwani Babu yao Ibrahim alikua na DINI yake na pia baba zao pia walikua na DINI yao ileee kutoka Ibrahim (their dad)

Mungu kateremsha DINI moja tu
Hajaongeza nyingine zaid ya hyo
Kwa mitume yake yote kwa lugha tofauti maeneo tofauti kwa watu maalum nyakati tofauti kwa LENGO moja tu.

End.
 
Quran haina uhusiano wowote na biblia mkuu. Kile ni kitabu kipya chenye maneno yanayofanana baadhi na ya biblia.
 
MUNGU WA WAISLAMU NA WAKRISTO SI MMOJA. NI MIUNGU WAWILI TOFAUTI.
 
Kwa nini ulinganishe Biblia na Quran? Havina uhusiano. Mungu wa Bible siyo wa Quran
 
Kwa nini ulinganishe Biblia na Quran? Havina uhusiano. Mungu wa Bible siyo wa Quran

Umefanya vizur kuuliza,
Soma vizur apo juu hakuna sehemu nliyotaja Bible, nimetaja injili na injili ni kitabu Cha Mungu na kipo ndani ya. Quran na ushahid upo 100%.

Ila Sasa sio Bible kwn hakuna kitabu kinachoitwa Bible sio ndani ya Quran tu hata ndani ya biblia yenyewe hakuna mahali imetaja Bible 💯 kama una ushahidi unao leta, Bali ni neno injili ndo limetajwa

Bible ni Greece name wanasababu yao wenyewe kuita hvy.
Na hakuna mahali Mungu kataja Hilo neno

Swali,
Hyo injili ipi inayozongumziwa ya enzi hii (new versions) au ile ya zamani the pure one wenyewe wanaiita "agano la kale".

NB,
Mungu wa injili ndo huyohuyo wa Quran na humohumo kashusha kanuni moja tu(DINI) ya kufuatwa.

Kasome vizur injili (the pure one)
Na Quran (ileile haijabadilika ya 1400yrs iliyopita).

Kafukue hyo

End**
 

View: https://youtu.be/gorcsGej9p4?si=_t-vf3z9_U7w7XXq
The 20 Versions of the Qur'an today. (7 are recorded in the Hadith.)

https://homework.study.com/explanat...r and Explanation:,Yes, the Quran has changed.
 

Hahahaha Eti 20 versions of Quran

Hzo ni mbinu tu za wapotoshaji wa upande mwingine waliovaa Joho la uislam na ndo malengo yao sio wote, Ila baadhi yao .

Lengo ni upandikishaji wa chuki dhidi ya DINI husika. Na wamelishindwa hlo
Sabab kila ikibadilishwa haileti maana ya tafsiri kwenye chapter.

Yy mwenyewe kashasema kamwe hakuna atakayeweza kubadilisha maneno yake.
Sababu Kwanza ina complexity ya ajabu kwenye kuichambua


Chukua hii,
Hakuna Muslim pure na hatokuja kutokea na usitarajie hlo, ambae atakuja kufanya huo upuuzi uliotuma apo juu.
KWAHIYO endelea kujifariji hvyhvy

Sabab hakuna atakayekuja kusomesha huo ujinga waislam wakamuelewa, incase ametaka kifo Cha kujitakia mwenyewe

So huo ni uzushi wa wapuuzi wachache kwenye jamii yenye chuki

Kwa masikitiko makubwa ningependa kusema kwamba hzo version uchwara hakuna mtoto anaefundishwa darasan wala uchochoroni
Na hatokuja kutokea.

NB
Ww huna hoja ya kuitetea point yako, umeleta hoja finyu isiyofikirisha na kuelimisha jamii.

Nikupe Siri, kiukwel hii ndo Mara yng ya Kwanza kuskia huu Utopolo,
Hata shetani mwenyewe anancheka nimepitwa na wakat

End***
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…