Mkuu
DR Mambo Jambo , asante sana kwa michango yako kwenye bandiko hili, wewe na
FaizaFoxy mmekuwa ni msaada mkubwa sana kwenye bandiko hili.
Mimi ni muumini muumini wa ukweli, pia sipendi watu wadanganywe, Mungu wa Wakristo na Waislamu ni Mungu mmoja, na sheria kwa dini zote mbili ni sheria moja ya Musa, ila dini zinapotosha sana, na kufanya editing maandiko matakatifu, au kutoa tafsriri potofu to suit their, needs.
Huu mjadala
FaizaFoxy aliishaufunga siku nyingi aliposema kwenye Quran Tukufu, hakuna kuchinja binadamu wala Ismail hajatajwa.
Japo mimi ni Mkatoliki die hard, kuna vitu nimevisoma kwenye Bible, we are not doing right!, kuna lots and lots of things tunafanya, sheria ya Musa, ilikataza, wanamsingizia Yesu amekuja kutengua Torati, kitu ambacho sio kweli!.
Japp mimi ndie thread starter, nimejikuta mimi sasa ndio najifunza.
Asanteni wote kwa michango elimishi.
P