Japo wewe si John Pombe Magufuli, ungekuwa yeye na ukafufuka ungefanya nini?

Watu walifuata line ya kujiingizia kipato tu hakukuwa na cha hapa kazi tu bali hapa fweeza tu
 
Binafsi sina cha maana cha kumkumbuka,ujue nikiangalia namba anazofanya Hangaya ni dhahiri miaka yote 6 tulipigwa..

Tuliaminishwa hakuna kama yeye sijui nini wakati Chief Hangaya kafanya a big deal kwa mda mfupi Sana.

Ukichukua Miezi 6 ya Hangaya VS Miezi 6 ya Mwendazake ni wazi Mwendazake kafunikwa parefu..

Propaganda ni mbaya sana,imagine vituo vya afya 220 vya tozo plus 200 vya pesa ya Covid,Magu atuambie pesa za covid bil.600 alizifanyia nini? Maana mwenzie tuneona anachozifanyia.

Mtoa mada una hangover.
 
Ningefungia mitandao yote kwanza.
 
Kuna aliyemsumbua asipumzike?
 
Dah, nimeona maneno "JPM kafufuka" nikashtuka sana. Mungu aendelee kumpumzisha🙏
 
Porojo
 
We jamaa jinga sana yaanibsijawahi kufikiria. Eti huwezibjua kuwa kulevamepewa madaraka gani...
 
Sioni tatizo, Ni imagination tu ambazo hata hivyo haziwezi kuwa reality tena.
 
Ningemwomba Mungu kabla hajanirudisha duniani aniahidi kuwa cheo changu cha kuongoza malaika hatampa mtu mpaka pale nitakaporejea tena.
 
Ila wasukuma mnaangaika sana, the Sadist is dead, accept it.
 
Vile vitabu vya historia kwa nin havijaanza kutumika?
 
asee jambo la 1 ningekuja jf halaf niangalie comment na majina mapya niliopewa baada ya kufa then ningeomba umma samahan
 
Siku za uhai wake kwenye mgongo wa dunia zilikwisha na akapelekwa kuanza maisha mengine ndani ya tumbo la dunia huku akisubiri siku ya hesabu,na hii na kwa sisi soote.
Aslan abadan hatoweza rudi kwenye mgongo wa dunia,hivyo basi hakuna haja ya kujidanganya kwa lolote lile.
Angalia shani ya Mwenyezimungu...mtoto anazaliwa na mama yake anakufa lakini mtoto analelewa na wengine mpaka anakuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…