Japo wewe si John Pombe Magufuli, ungekuwa yeye na ukafufuka ungefanya nini?

Ningekufa tena hapohapo kwa maana yote nikiyoyafanya yalikuwa ni USHETANI, na ndiyo maana yamefutwa
 
Kuna watu wanaweza wakafufuka ila siyo Magufuli. Maana aliondoka na magonjwa mtambuka; Mental Disorder+ VVU + Diabetes+ Herpes zoster+ Pacemaker + COVID 19.

Lete mwingine labda Nyerere au Mkapa. Huyu hesabu zinakataa kabisa kufufuka
 
Ningeanzia Ikulu ya Chamwino halafu naenda Bungeni halafu ningeenda Ikulu ya Chamwino ningekufa tu tena kwa msononeko na kuwaachia laana ya vizazi vyao vyote walionisaliti maana usaliti niliokuta ni wa kiwango cha lami.
 
Nitaendelea na pale nilipoacha. Ila Mama naona stress zinammaliza kwa sasa, anazeeka haraka mno.
 
Haliwezi kufufuka lile lipo jahanam lina ungua kwa mauji ya MKIRU, Azory Gwanda, Ben Sanane, Alphonso Mawazo nk.
Shetani mkubwa yule
17.3.2021 ilikuwa sikukuu kwa wapenda haki wa nchi hii.
 
Angefumbuliwa fumbo kwamba wote waliokuwa wasaidizi wake na baadhi ya washauri wake walikuwa kinyume naye na inawezekana ndio waliochangia afya kudorora ghafla. Asingewaamini tena wanasiasa kutoka bungeni hivyo angeteuwa watu kutoka nje ya wabunge wa kuchaguliwa kitu ambacho kingepelekea kuwa na baraza la mawaziri kumi tu.

Angeitisha uchaguzi upya au kupeleka majina mapya ya wasaidizi waandamizi bungeni kupigiwa kura kuthibitishwa au kukataliwa.

Asingevumilia kuona kilichopo hivyo kusababisha akapoteza uhai tena

Wanafiki wote wangekimbia nchi kabla ya tamko lolote

Rais wa Zanzibar na makamu wa pili wa Zanzibar ndio angegundua ndio pekee wenye uchungu wa kutumikia watu wa chini
 
wale wote walileta chanjo wamecharazwa bakora hadharani.
 
1:Yaani ningefyeka upuuzi wote ambo uko kwenye jengo lile,
2: haya ma chanjo yote ningechoma.
3: yule aisee ningerudisha kwao akampikie mmewe
4: haya ma tozo ya ajabu naondoa haraka sana na walioyaweka natumbua.
5: natumbua mawaziri wote na rc, ma dc naweka wengine.
6: yule nahakikisha aendelee kustaafu akalee wajukuu.
7: mamikopo sijui yenye masharit nafuu nawarudishia haraka sana.
8 mamikataba ya ajabu navunja.
9: miradi yote niloiacha naifufua.
10: baada ya hapo hata nikirudi kaburini sawa tu.
 
Ah ah ah ah! Umesahau kwamba hata akifufuka Leo JPM atakuja kuwa mstaafu tu kama kikwete na mwinyi. Kwani rais mpya akishaapa tu mchezo umeisha.
 
Limfumo walitengeneza wenyewe Magufuli kaja kusaliti kwa kuweka Gaidi Sabaya , Makonda,Gambo na Mwizi Bashiru n.k
 
Ningetaifisha mali zangu choma walionigeuka kisha najiua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…