Uchaguzi 2020 Japokuwa kukaa kimya ni jibu, Serikali inatakiwa ijibu hizi tuhuma

Saaa ni uongo?
 
Muongeaji Lisu alionyesha hati ya ardhi kama ushahidi? Au alikuwa akitoa mimacho tu anapoongea ? Yeye ndie aonyeshe hati na ushahidi
 
Ww ni mgeni Tz?

Huyo Ngurumo alikimbia nini?

Na wale wa kwenye viroba ufukweni mwa bahari na mto Ruvu awamu hii hii ya 5, walijiingiza humo virobani wenyewe?!
 
Twambie nani alimuua ALPHONSO MAWAZO?
Nani alimteka ben Sanane?
Nani alikuwa anauwa watu kule MKIRU?
Nani alimshambulia TL?
Nani alimuua AKWILINE AKWILINA?
Wambie wakikanusha watolee maelezo hayo yote
 
Ww ni mgeni Tz?

Na wale wa kwenye viroba ufukweni mwa bahari na mto Ruvu awamu hii hii ya 5, walijiingiza humo virobani wenyewe?!
Nikuulize wewe mwenyeji. Ni akina nani hao waliowatupa? Kama unao ushahidi umechukua hatua gani? Kulalamika kwenye majukwaa?
 
Twambie nani alimuua ALPHONSO MAWAZO?
Nani alimteka ben Sanane?
Nani alikuwa anauwa watu kule MKIRU?
Nani alimshambulia TL?
Nani alimuua AKWILINE AKWILINA?
Wambie wakikanusha watolee maelezo hayo yote
Umeamka toka usingizini?
 
Hongera kwa post iliyoshiba masini kwa mara ya kwanza nimekukubali.
 
Mimi nijibu kama nani?
Unataka serikali ijibu ukiwa kama nani? Na kwann unataka wajibu la ngurumo tu hayo mengine yakiwemo kujenga viwanja vya ndege bila kutangaza tenda? Kuwapa wapwa kuwa walipaji wakuu wa serikali na kuita watengeneza ndege kujifungia nao ndani bila kufuata sheria ya manunuzi
Ukimalizia na mporaji wa KOROSHO za watu huko kusini
Yajibiwe kwa pamoja na hiyo serikali yako ya kidhalimu
 
Kwani Lisu kaenda kulalamika polisi au mahakamani?
Mgonjwa mahututi anao uwezo wa kwenda polisi au mahakamani ambae kapelekwa Kenya hafahamu lolote? Mo alipo potea alipiga simu polisi na kusema kama ametekwa au polisi walifanya kazi yao ya uchunguzi? Na kwa Lissu wangefanya uchunguzi


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Nitarudia mara kwa mara, tuhuma za Lissu ni za kuichokoza Serikali akiamini ina wajinga wa kuingia kwenye mitego yake ya kitoto ajibiwe. Atapewa majibu wakati mwafaka kwa kuwa tayari yupo nchini na hana ujanja wa kusepa kimya kimya. Hawezi kufanya hivyo kwa sababu anabeba dhamana ya CHADEMA, chama kikuu cha upinzani. Kama Mgombea wa Urais wa chama, amekwisha kipa matumaini ya kuwa Chama Tawala.

Lissu anayotuhuma Serikali na hasa Magufuli ni mapya kwake mwenyewe na wala si kwa Watanzania. Ushahidi ni kushindwa vibaya kwa CHADEMA kwenye chaguzi ndogo, viongozi wake wakitumia tuhuma hizo hizo kuomba kura. Au tumesahau?

Nani anajua vizuri adha ya kilimo (kahawa au korosho) kama siyo mkulima mwenyewe? Mtanzania gani hajui mabadiliko ya mara kwa mara ya bei za bidhaa km sukari hutokana na wafanya biashara makajanja na juhudi za Serikali kuthibiti mfumko wa bei?

Kiongozi gani haba tuhuma nzito, zingine za uhaini. Viongozi wa juu wa CHADEMA wana tuhuma nzito ambazo zitawekwa wazi muda mwafaka kabla kipenga cha kupiga kura hakijapulizwa.

Lissu na CHADEMA yake wanajua hilo na Watanzania wanajua kwamba katika dunia ya TEHEMA hapafichwi kitu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…