Uchaguzi 2020 Japokuwa kukaa kimya ni jibu, Serikali inatakiwa ijibu hizi tuhuma

Uchaguzi 2020 Japokuwa kukaa kimya ni jibu, Serikali inatakiwa ijibu hizi tuhuma

Huyo bwana na serikali yake watupe majibu kama ni kweli, au Lissu athibitishe madai yake.
Athibitishe vipi? Kwamba alipigwa risasi mchana kweupe?

Kazi ya kuchunguza na kukamata wahusika ni ya polisi, kwa nini hawajafanya hivyo na wako kimya? Jee hapomlitaka Lissu ailaumu serikali ya Rwanda au Zambia?

Isipofanya jambo unalowajibika kufanya basi utabeba lawama zote wewe
 
Kwa mbaaali naona akili zinaanza kukurudia, ni swala la mda tu jiwe lenu litajikuta lenyewe.

Sent from my Infinix X606B using JamiiForums mobile app
Hapa tunataka ukweli ujulikane ili hii taswira kuwa kuna mauaji ya hovyo hovyo Tanzania ipatiwe ufumbuzi.Maana watu wanachanganyikiwa tunaambiwa watu 400 wameuwawa. Lissu anafahamu haya,sasa serikali itoe majibu.
 
Lissu yupo hapa Tanzania,na yeye ndio mhanga mkuu,Ansbert yupo ulaya. Wanaweza kutumia Interpol kuwataja waliotaka kuwaua na serikali ikasema ukweli.

Jeshi la polisi kila siku inamsikia Lissu akizungumza na kuituhumu kuhusu shambulio lake ,wao wametulia na wakati ndo wanaochafulia ,polisi wanazo ripoti hazifanyiwi kazi ,kama wao hawahusiki kwanini wasishughulikie wakati ndo wanaochafulia ,wangekuwa hawahusiki na hilo tukio ungeona wako busy kufanya uchunguzi kama manesi wa zamu
 
Huwezi kumjibu mtu mgonjwa!. Kumbuka matibabu hayajaisha, amekuja kwa mda kutafta urais baadae akamalizie matibabu.

Nisawa na mgonjwa kukutemea mate.
tume ya uchaguzi haipitishi wagombea ambao ni wagonjwa wa akili ,kama lissu ni mgonjwa wa akili tume imempitishaje inatakiwa uchukuliwe hatua ,maana kutakuwa na wagombea wengi ni wagonjwa wa akili hata hotuba zao zinaonyesha jinsi wanavyoleta ubaguzi wa kivyama
 
tume ya uchaguzi haipitishi wagombea ambao ni wagonjwa wa akili ,kama lissu ni mgonjwa wa akili tume imempitishaje inatakiwa uchukuliwe hatua ,maana kutakuwa na wagombea wengi ni wagonjwa wa akili hata hotuba zao zinaonyesha jinsi wanavyoleta ubaguzi wa kivyama
Nje ya mada jikite kwenye mada.
 
Kadiri kampeni zinavyodhidi kunoga ndio kila siku tunazidi kusikia kila aina ya tuhuma, tuhuma ambazo wagombea urais wanaona zinaweza kuwapa kete ya kupata kura....
Kuna masuala ya kujibu kwenye kampeni. Hayo ni ambayo yanahusu Sera. Je, uliyotaja ni ya aina hiyo? Kama siyo yashughulikiwe kwa sheria, kanuni na taratibu zilizopo.
 
Watanzania sio wapumbavu,mpumbavu ni wewe ambae umeshindwa kufahamu kuwa serikali ndio inayowakilisha watanzania mil 60 ndio inatakiwa kujibu hizi tuhuma. Hata Au au Un wakifuatilia hizi tuhuma za watu kuuwawa ni serikali ndio itawajibishwa,sio kila mtanzania.
Jibu haya:
Kwanini msiseme viongozi wanapakwa matope au wanatukanwa?

Wakikutwa na hatia wakafungwa watanzania tutakuwa tumewakilishwa kwenye kifungo?

Viongozi wanapotoa maamuzi mabovu,wapotoua na kuteka watu wanakuwa wanatuwakilisha kufanya hayo.

WEWE KWELI USHUZI
 
Jibu haya:
Kwanini msiseme viongozi wanapakwa matope au wanatukanwa?

Wakikutwa na hatia wakafungwa watanzania tutakuwa tumewakilishwa kwenye kifungo?

Viongozi wanapotoa maamuzi mabovu,wapotoua na kuteka watu wanakuwa wanatuwakilisha kufanya hayo.

WEWE KWELI USHUZI
Hao viongozi ni akina nani? Sio serikali! Shule ni kitu muhimu sana,kama hukupitia shule utahangaika sana.
 
Kuna mambo hii serikali haiwezi kabisa kujibu kwani wakifanya hivyo itawaletea madhara makubwa ambayo hawataweza kudhibiti kwani Lissu ana uhakika 100% na anayoyasema.

Njia pekee kwa hii serikali kufanya katika kile kinachoitwa Damage Control and Mitigation ni kukaa kimya kwa sababu wao sio wajinga wanajua kuwa Lissu tayari ana facts zote na wanafahamu vema hulka ya mtu kama Lissu kuwa wakijaribu kulumbana naye au kumletea ubabe anaweza akaamua kujilipua na kuisababishia serikali aibu kubwa sana.

Kwa hali ilivyo, hii serikali sasa itabidi ibadilike sana kama ikirudi tena madarakani, vitendo vyake vya kufadhili magenge ya watu kwenda kufanya utekaji na kudhuru wengine kama njia ya kupambana na vichomi wake itabidi wakome kabisa na irudi kutawala kwa kufuata sheria na kutenda haki kwa raia wake. There will be no way.
 
Sio mgeni,Lissu alivyo mahiri kwenye sheria akikomaa kila kitu kitafahamika.
Bahati mbaya mtuhumiwa ndo mwenye mamlaka y
Tundu lissu nikibaraka wa wazungu, ametembea ulaya yte akitutangaza vibaya kimataifa,
Amekuwa akiwatetea wazungu
Ameshiriki kukamata ndege
Anatetea ushoga
Anahamasisha maandamano

Huyo ametumwa na Amsadam aliyeleta vita congo.

Hatumtaki tundu lisu na chadema maana chadema walitaka tufungiwe ndani.
Eleza alivo wasema vibaya, eleza alivyo kamata ndege zenu, ukibaraka wake upoje?
Mwisho umakini wenu kama taifa upo wapi, kumruhusu mtu mwenye tuhuma hizo agombee uongozi wa juu wa taifa hili????
 
Back
Top Bottom