Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
- #61
Na wewe ubarikiwe kwa upumbavu wako.Asante sana Mungu akubariki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe ubarikiwe kwa upumbavu wako.Asante sana Mungu akubariki.
Athibitishe vipi? Kwamba alipigwa risasi mchana kweupe?Huyo bwana na serikali yake watupe majibu kama ni kweli, au Lissu athibitishe madai yake.
Kwa mbaaali naona akili zinaanza kukurudia, ni swala la mda tu jiwe lenu litajikuta lenyewe.Huyo bwana na serikali yake watupe majibu kama ni kweli, au Lissu athibitishe madai yake.
Sirro anasubiri nini kukikamata?Chama chake
Hapa tunataka ukweli ujulikane ili hii taswira kuwa kuna mauaji ya hovyo hovyo Tanzania ipatiwe ufumbuzi.Maana watu wanachanganyikiwa tunaambiwa watu 400 wameuwawa. Lissu anafahamu haya,sasa serikali itoe majibu.Kwa mbaaali naona akili zinaanza kukurudia, ni swala la mda tu jiwe lenu litajikuta lenyewe.
Sent from my Infinix X606B using JamiiForums mobile app
Lisu ni mgonjwa wa akili.
Lissu amewaambia kina Sirro wamwite kumhoji but wameingia mitini.Lissu kasema waliotaka kumuua Ansbert ndio waliompatia ulemavu. Yeye anawajua,serikali iseme ni akina nani au Lissu athibitishe.
Hahahahah akilala akiamka maendeleo hayana chama akimeza, Arv msichague upinzani sitaleta barabara je pesa zako au kodi za wananchiMgonjwa wa akili mbona anajulikana na tunataka mwaka huu tumpumzishe
Lissu yupo hapa Tanzania,na yeye ndio mhanga mkuu,Ansbert yupo ulaya. Wanaweza kutumia Interpol kuwataja waliotaka kuwaua na serikali ikasema ukweli.
tume ya uchaguzi haipitishi wagombea ambao ni wagonjwa wa akili ,kama lissu ni mgonjwa wa akili tume imempitishaje inatakiwa uchukuliwe hatua ,maana kutakuwa na wagombea wengi ni wagonjwa wa akili hata hotuba zao zinaonyesha jinsi wanavyoleta ubaguzi wa kivyamaHuwezi kumjibu mtu mgonjwa!. Kumbuka matibabu hayajaisha, amekuja kwa mda kutafta urais baadae akamalizie matibabu.
Nisawa na mgonjwa kukutemea mate.
Nje ya mada jikite kwenye mada.tume ya uchaguzi haipitishi wagombea ambao ni wagonjwa wa akili ,kama lissu ni mgonjwa wa akili tume imempitishaje inatakiwa uchukuliwe hatua ,maana kutakuwa na wagombea wengi ni wagonjwa wa akili hata hotuba zao zinaonyesha jinsi wanavyoleta ubaguzi wa kivyama
Kuna masuala ya kujibu kwenye kampeni. Hayo ni ambayo yanahusu Sera. Je, uliyotaja ni ya aina hiyo? Kama siyo yashughulikiwe kwa sheria, kanuni na taratibu zilizopo.Kadiri kampeni zinavyodhidi kunoga ndio kila siku tunazidi kusikia kila aina ya tuhuma, tuhuma ambazo wagombea urais wanaona zinaweza kuwapa kete ya kupata kura....
Nimemjibu mwingine siyo wewe kwahiyo kimuhemuhe chako peleka kwingineNje ya mada jikite kwenye mada.
Jibu haya:Watanzania sio wapumbavu,mpumbavu ni wewe ambae umeshindwa kufahamu kuwa serikali ndio inayowakilisha watanzania mil 60 ndio inatakiwa kujibu hizi tuhuma. Hata Au au Un wakifuatilia hizi tuhuma za watu kuuwawa ni serikali ndio itawajibishwa,sio kila mtanzania.
Hao viongozi ni akina nani? Sio serikali! Shule ni kitu muhimu sana,kama hukupitia shule utahangaika sana.Jibu haya:
Kwanini msiseme viongozi wanapakwa matope au wanatukanwa?
Wakikutwa na hatia wakafungwa watanzania tutakuwa tumewakilishwa kwenye kifungo?
Viongozi wanapotoa maamuzi mabovu,wapotoua na kuteka watu wanakuwa wanatuwakilisha kufanya hayo.
WEWE KWELI USHUZI
Chagu wa kisukuma hujielewi kabisa,Kwa hiyo ulitaka ifanye uchunguzi wa uongo ili idanganye? Tunataka ukweli,wewe vipi?
Mbona hatujasiki serikali ikihoji uthibitsho!Huyo bwana na serikali yake watupe majibu kama ni kweli, au Lissu athibitishe madai yake.
Jibu hili,Unaweza kuiba ardhi?
Bahati mbaya mtuhumiwa ndo mwenye mamlaka ySio mgeni,Lissu alivyo mahiri kwenye sheria akikomaa kila kitu kitafahamika.
Eleza alivo wasema vibaya, eleza alivyo kamata ndege zenu, ukibaraka wake upoje?Tundu lissu nikibaraka wa wazungu, ametembea ulaya yte akitutangaza vibaya kimataifa,
Amekuwa akiwatetea wazungu
Ameshiriki kukamata ndege
Anatetea ushoga
Anahamasisha maandamano
Huyo ametumwa na Amsadam aliyeleta vita congo.
Hatumtaki tundu lisu na chadema maana chadema walitaka tufungiwe ndani.