Japokuwa ni Wakatoliki wenzangu Nashindwa kukielewa Hiki Chama cha Kitume..

Kanisa katoliki linachangamoto nyingi mfano IShara ya msalaba kusujudu msalaba hata kuitumia misale ya waumin au katekisimu nalo ni tatizo, Mim ni mkatolik Ila kuna mambo nahic kama tumekengeuka kidogo, Ila cha msingi ni kuishi katika iman uliokua nayo
 
Yapi tunakengeuka Mkuu?
 
Mimi najuaje kama ni Yesu? ndio Maana sisi Tunasema Tumsifu Yesu Kristu.. lazma yesu na Kristu litamkwe..
Si nia yangu kubishana na wewe juu ya jambo ambalo ni hiyari yako. Naamini unaelewa ni Bwana gani wanayemtaja. Nimezaliwa Mkatoliki, nitakufa Mkatoliki, lakini tumaini langu ni kwa Bwana.

Mahitaji yako ya kujifunza neno la Mungu na kulitafakari yasilimitiwe na SOMO LA KWANZA, SOMO LA PILI na INJILI.
 
Binafsi hawa karismatick wananikwaza mno, sielewi wametokea wapi hawa jamaa.. Nadhani kuna watu hatuelewi kilichomhamisha askofu Izaak Amaan kutoka moshi kwenda arusha ni ukaresmatic.. Mimi nashauri waachwe waanzishe kanisa lao kwa kuwa huko itakuja kuleta shida kubwa sana hata kuligawa kanisa katoliki
 
Kweli Mkuu inafika mahali Liturjia hawaifuati..
 
Karismatiki hawana tofauti na vichaa wengine wa kilokole, huo ujinga ulinishinda kuhudhuria semina na vikundi vyao vya maombi, mie ibada ya kanisani au niwe nyumbani yanitosha kusali na Mungu wangu aliye sirini...
 
Ndo maana wameambiwa siku nyingi watoke huku kati kati yetu watuachie dini yetu lakini hawataki. Paroko wengi tiyari weshawatimua kutoka kati yetu na kama ulipo bado mwambieni baba Paroko awatimulie mbali. Fyekelea mbali. hao mazezeta
Wewe ni bendera mfuata upepo tu sasa....Soma Mitaguso ya Imani hasa ule wa Tisa ndo utaelewa historia ya hicho chama....Penda kufaamu misingi ya Imani yako....!!
 
wewe waweza leta ushahidi kuwa nimekasirika?
Ukikasirika usikasirike hainisaidii kitu. Leta ushahidi kuwa Uislam ni biashara ya vatikano kama ulivyobwabwaja juu huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…