Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yapi tunakengeuka Mkuu?Kanisa katoliki linachangamoto nyingi mfano IShara ya msalaba kusujudu msalaba hata kuitumia misale ya waumin au katekisimu nalo ni tatizo, Mim ni mkatolik Ila kuna mambo nahic kama tumekengeuka kidogo, Ila cha msingi ni kuishi katika iman uliokua nayo
Si nia yangu kubishana na wewe juu ya jambo ambalo ni hiyari yako. Naamini unaelewa ni Bwana gani wanayemtaja. Nimezaliwa Mkatoliki, nitakufa Mkatoliki, lakini tumaini langu ni kwa Bwana.Mimi najuaje kama ni Yesu? ndio Maana sisi Tunasema Tumsifu Yesu Kristu.. lazma yesu na Kristu litamkwe..
Hali itakuwa umekasirika.Uislamu.. Pia ni Biashara ya wakatoliki.. Kwa Taarifa yako Kila kitu katika Ukristu Kiliandaliwa na wakatoliki!
Kweli Mkuu inafika mahali Liturjia hawaifuati..Binafsi hawa karismatick wananikwaza mno, sielewi wametokea wapi hawa jamaa.. Nadhani kuna watu hatuelewi kilichomhamisha askofu Izaak Amaan kutoka moshi kwenda arusha ni ukaresmatic.. Mimi nashauri waachwe waanzishe kanisa lao kwa kuwa huko itakuja kuleta shida kubwa sana hata kuligawa kanisa katoliki
Hey! Upo Bi Shungi...demu langu?Hali itakuwa umekasirika.
Mtamu sana huyo bi kizee
Leta ushahidi.No sijakasirika Dada..
Wewe ni bendera mfuata upepo tu sasa....Soma Mitaguso ya Imani hasa ule wa Tisa ndo utaelewa historia ya hicho chama....Penda kufaamu misingi ya Imani yako....!!Ndo maana wameambiwa siku nyingi watoke huku kati kati yetu watuachie dini yetu lakini hawataki. Paroko wengi tiyari weshawatimua kutoka kati yetu na kama ulipo bado mwambieni baba Paroko awatimulie mbali. Fyekelea mbali. hao mazezeta
Ukikasirika usikasirike hainisaidii kitu. Leta ushahidi kuwa Uislam ni biashara ya vatikano kama ulivyobwabwaja juu huko.wewe waweza leta ushahidi kuwa nimekasirika?