Japokuwa ni Wakatoliki wenzangu Nashindwa kukielewa Hiki Chama cha Kitume..

Hahahah, hususan kanisa katoliki, kipaumbele chao liwati na kuharibu watoto wadogo. Wana kesi za kulawiti watoto dunia nzima, hata Tanzania imo.
 
Kila shirika au chama cha kitume ndani ya kanisa huwa kinapewa muda kwanza kifanye Mambo yake. Baada ya hapo ndio kinakuja fufanyiwa analysis kuona faida yake na hasara zake,. Au Kama kinaonesha kuharibu misingi ya imani na mafundisho ya kanisa....kwaiyo hata hao karismatic cdhan Kama vatcan wamesha kisajili kama chama rasmi ndani ya kanisa (eg legio, radio Maria etc)
Kama unaona kinazingua ni jukumu lako kuongea na paroko wako atajua Nini cha kufanya.
 
Mnaposhindwa hoja mnaanza "character assassination".

Jibu hoja zangu achana na saikolojia yangu.
Nimejibu link zako kwa links zangu.. Is there any doubt?
 
Hahahah, hususan kanisa katoliki, kipaumbele chao liwati na kuharibu watoto wadogo. Wana kesi za kulawiti watoto dunia nzima, hata Tanzania imo.
Nani ambao hawajapata kesi za kulawiti watoto? Mama akili ivi zipo? Do you have sense?
 
Karismatiki Hapana aisee Ichi Chama Big No..
 
Kanisa linajitahidi kuaccomodate watu wake wote kadri iwezekanavyo.
 
FaizaFoxy don't be poor in Logic.. Sijakubali wala kukataa Ila nimeuliza kunajisi watoto ni swala la dini? Limefanywa na wakatoliki pekee? Mbona Waarabu ambao Ndio anakotokea Muhammad S. A. W wanalawitiana? Au nao ni wakatoliki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…