Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah, hususan kanisa katoliki, kipaumbele chao liwati na kuharibu watoto wadogo. Wana kesi za kulawiti watoto dunia nzima, hata Tanzania imo.Mkuu nadhani kitu ulichokiweka hapa ni dhahabu safi ya kuelewa hizi dini zetu. Kumbe kuna siri nyingi sana ,ila sisi waumini tunaburuzwa ya kuwa tunamwabudu Mungu ,kumbe waanzilishi wenyewe wana mission zao na wala Mungu siyo kipaumbele chao. They are doing business. Mungu akubariki mkuu. Umezidi kuniimarisha kwenye Imani yangu
Mnaposhindwa hoja mnaanza "character assassination".
Jibu hoja zangu achana na saikolojia yangu.
Sasa Hivi siasa za nini na upinzani hakuna.Siku hizi siasa zimekushinda...!!!
Kila zama kuna wababe wake kwa sasa kama umeganda akili
AstaghafirHahahah, hususan kanisa katoliki, kipaumbele chao liwati na kuharibu watoto wadogo. Wana kesi za kulawiti watoto dunia nzima, hata Tanzania imo.
Waambie waulizie ushahidi. Thubutu.Astaghafir
Karismatiki Hapana aisee Ichi Chama Big No..Kila shirika au chama cha kitume ndani ya kanisa huwa kinapewa muda kwanza kifanye Mambo yake. Baada ya hapo ndio kinakuja fufanyiwa analysis kuona faida yake na hasara zake,. Au Kama kinaonesha kuharibu misingi ya imani na mafundisho ya kanisa....kwaiyo hata hao karismatic cdhan Kama vatcan wamesha kisajili kama chama rasmi ndani ya kanisa (eg legio, radio Maria etc)
Kama unaona kinazingua ni jukumu lako kuongea na paroko wako atajua Nini cha kufanya.
Tuanze, moja baada ya nyingine. Usiishie njiani tu maana kanisa katoliki mpaka umoja wa mataifa unalifahamu kwa kuharibu watoto. Ushahidi: February 7, 2014 ~ UN Report on Vatican Child Sexual Abuse | February 7, 2014 | Religion & Ethics NewsWeekly | PBSNani ambao hawajapata kesi za kulawiti watoto? Mama akili ivi zipo? Do you have sense?
Huna ulichojibu, jibu na hiyo ya juu hapo.Nimejibu link zako kwa links zangu.. Is there any doubt?
Kila unachoeka hapa ninacho.. Zungumza kwa logic achana na hizi references za ajabu..Tuanze, moja baada ya nyingine. Usiishie njiani tu maana kanisa katoliki mpaka umoja wa mataifa unalifahamu kwa kuharibu watoto. Ushahidi: February 7, 2014 ~ UN Report on Vatican Child Sexual Abuse | February 7, 2014 | Religion & Ethics NewsWeekly | PBS
Hao ndiyo wenyewe kwa kale kamchezo maarufu kwa wakatoliki.Karismatiki Hapana aisee Ichi Chama Big No..
Unaikataa report ya umoja wa mataifa? Au ndiyo wale wale? Pata hii ya papa, anakiri, wewe unakataa! Pope Francis Releases a Letter Regarding Child Sexual Abuse Scandal - and We've Heard it All BeforeKila unachoeka hapa ninacho.. Zungumza kwa logic achana na hizi references za ajabu..
Haukajuwi? Kuwa mkweli.Mchezo gani?