Jaqueline Wolper amchangia Sajuki mil 15 za matibabu

Jaqueline Wolper amchangia Sajuki mil 15 za matibabu

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,483
Habari ndo hiyo. Kumbe wasanii wa bongo wana hela.
Habari ndo hiyo hutaki unaacha.
source Radio pendwa na magazeti pendwa.
 
pia amepata bwana mpya, yule aliyemfanya akabadili dini! ni mtu na mshiko wake. so 15m can b nothing to her kwa sasa! ila kwa baadaye akishamwagwa ndio issue.
 
pia amepata bwana mpya, yule aliyemfanya akabadili dini! ni mtu na mshiko wake. so 15m can b nothing to her kwa sasa! ila kwa baadaye akishamwagwa ndio issue.

Nani amekwambia atamwagwa?
 
kasharudi. alienda kupumzika na kusherehekea pasaka. Sasa hivi yupo kibiashara zaidi.
source; magazeti pendwa.

Yeye anakwenda kusherehekea Pasaa South na kupumzika, wewe unachinga Ng'ombe!
Tehe tehe tehe
 
Nimegoma Kuamini, hawezi kutoa pesa yote hiyo, hana uwezo huo. Period.
 
duh! kumbe tiGo inamlipa sana? Hahahaaaa uko mbele!
 
Back
Top Bottom