Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kasharudi. alienda kupumzika na kusherehekea pasaka. Sasa hivi yupo kibiashara zaidi.
source; magazeti pendwa.
Mbona hata wewe uchumi unao lakini unaukalia tu!!??.....Duu nasikia kapewa na gari daaa anatumia uchumi wake vizuri.
pia amepata bwana mpya, yule aliyemfanya akabadili dini! ni mtu na mshiko wake. so 15m can b nothing to her kwa sasa! ila kwa baadaye akishamwagwa ndio issue.
ndo maana unaambiwa usishindane na mwanamke. mwanamke anaweza kulala masikini akaamka tajiri.
kasharudi. alienda kupumzika na kusherehekea pasaka. Sasa hivi yupo kibiashara zaidi.
source; magazeti pendwa.
âduh! kumbe tiGo inamlipa sana?[/QU ...mh! Unamana gani? Kwan anafanya kaz tiGo? Jamani
pia amepata bwana mpya, yule aliyemfanya akabadili dini! ni mtu na mshiko wake. so 15m can b nothing to her kwa sasa! ila kwa baadaye akishamwagwa ndio issue.