Jaribio la kigaidi kumuua Mh. Tundu Lissu, teknolojia kuwaumbua wahusika?

Tuma sample ambazo huo mchezo ulikuwa successful.

Pamoja mno.
 
Tukifatilia tu mawasiliano ya Bashite tutawapata wahusika wote wa hili tukio.

Sent using Jamii Forums mobile app
That's right.

Ila kwa Polisi wasitake tu kumpata muuaji.....

Eti wanatwambia sisi wananchi tuwape taarifa!

Mbona taarifa za kuzuia mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani, kwa kile wanachokiita taarifa za "kiintelejensia" hizo taarifa huwa hawaziombi kwa wananchi?????
 
Sababu tumezoea Chadema kuishi kwa matukio si ajabu hata hili tutajazana upepo alafu mwisho wake iwe kama yale ya bomu la Arusha ....."tunao mkanda wote,polisi wasipotoa majibu tutaonesha dunia ukweli" .....imebaki stori ....btw tulishasahau hata wahanga wa lile bomu .....labda hili kwavile Lissu mwenyewe ni aggressive ....
line ya mwisho kabisa
 
Mkuu usiingie kwenye politics hizo. You're above that. Stay above the fray hata kama unamsapoti rais. Back and forth za hivi vyama zinaingiza watu kwenye propaganda na eventually unajikuta unatoa mitizamo ya kishabiki zaidi. Ni ushauri tu maana I respect you na tunafahamiana long time humu. I know you have changed kimtazamo. Siwezi kukulaumu. Maana nilienda bongo nikajionea mambo ya vyama vya siasa. Yani kwa asilimia kubwa ni walewale tu. Sikuona kama hao upinzani wangeweza kuleta mabadiliko. However nna hasira na chama ambacho kimetufikisha hapa baada ya miaka zaidi ya hamsini ya uhuru
 
Hii ni kwa great minds to...kama wewe ni Bashite, usiendelee kusoma, unaweza kupandwa wazimu!

Mkuu kulikuwa na haja gani ya mtu mzima kama wewe unayejiita msomi kuanza andiko lako kwa majungu na kejeli?
Hukusoma Writing Ethics ulipokuwa Chuo Kikuu? Mambo madogo madogo kama haya ndiyo huwa yanafanya kazi yote idharaulike hata kama imeandikwa na mtu kama Professor Noam Chomsky au Allan Dershowitz.
 
Sababu tumezoea Chadema kuishi kwa matukio si ajabu hata hili tutajazana upepo alafu mwisho wake iwe kama yale ya bomu la Arusha ....."tunao mkanda wote,polisi wasipotoa majibu tutaonesha dunia ukweli" .....imebaki stori ....btw tulishasahau hata wahanga wa lile bomu .....labda hili kwavile Lissu mwenyewe ni aggressive ....
......
......aisee Utawehuka Mkuu
 
Mkuu usiingie kwenye politics hizo. You're above that. Stay above the fray hata kama unamsapoti rais. Back and forth za hivi vyama zinaingiza watu kwenye propaganda na eventually unajikuta unatoa mitizamo ya kishabiki zaidi. Ni ushauri tu maana I respect you na tunafahamiana long time humu. I know you have changed kimtazamo. Siwezi kukulaumu. Maana nilienda bongo nikajionea mambo ya vyama vya siasa. Yani kwa asilimia kubwa ni walewale tu. Sikuona kama hao upinzani wangeweza kuleta mabadiliko. However nna hasira na chama ambacho kimetufikisha hapa baada ya miaka zaidi ya hamsini ya uhuru
huyo mtazamo siku hizi kawa mjinga mjinga flani kama slaa tu alivyo sasaivi
 
Ni kwamba wee zwazwa, kwenye huu uzi umetoka kappa kwa kilichoandikwa na mleta uzi...!
 
wewe nawe ni mpuuzi tu.nilitegemea utakuwa na la maana at least kwa maisha ya lissu kumbe unaleta ujinga wako.lala mbele na slaa wako.no wonder yuko kimya wakati mtu aliyekuwa anampa data zote ameshambuliwa kwa risasi
Mzee hii ID ya ngapi? Naona unamfukuzia Malaria Sugu kwa idadi ya IDs ...
 
Mkuu usiingie kwenye politics hizo. You're above that. Stay above the fray hata kama unamsapoti rais. Back and forth za hivi vyama zinaingiza watu kwenye propaganda na eventually unajikuta unatoa mitizamo ya kishabiki zaidi. Ni ushauri tu maana I respect you na tunafahamiana long time humu. I know you have changed kimtazamo. Siwezi kukulaumu. Maana nilienda bongo nikajionea mambo ya vyama vya siasa. Yani kwa asilimia kubwa ni walewale tu. Sikuona kama hao upinzani wangeweza kuleta mabadiliko. However nna hasira na chama ambacho kimetufikisha hapa baada ya miaka zaidi ya hamsini ya uhuru

This post gave me a breath of some Fresh Air. (I'm sleeping well tonight)
Good to see somebody thinks beyond the box.
Hapo Red: Prof. Elbert Einstein once said "You cannot solve the problem at the same level it was created"
 
huyo mtazamo siku hizi kawa mjinga mjinga flani kama slaa tu alivyo sasaivi
Ni kweli jamaa alikuwa na nondo sana. Lakini amejikuta kakwama kwenye siasa za majitaka. Maana kutetea hao watu waliotufikisha hapa sometimes inabidi kujitoa ufahamu. Kuona viongozi wa chama flani wamefanya makosa, haina maana kwamba hao wa chama kingine ni malaika na ndo sababu ya kuwafuata. Ni heri kuwa kimya tu, maana si lazima uchague upande. Angeweza tu kuendelea kuuponda uamuzi wa chadema dhidi ya Dr Slaa bila ya ulazima wa kuipigia ccm debe.
 
Mkuu usiingie kwenye politics hizo. You're above that. Stay above the fray hata kama unamsapoti rais. Back and forth za hivi vyama zinaingiza watu kwenye propaganda na eventually unajikuta unatoa mitizamo ya kishabiki zaidi. Ni ushauri tu maana I respect you na tunafahamiana long time humu. I know you have changed kimtazamo. Siwezi kukulaumu. Maana nilienda bongo nikajionea mambo ya vyama vya siasa. Yani kwa asilimia kubwa ni walewale tu. Sikuona kama hao upinzani wangeweza kuleta mabadiliko. However nna hasira na chama ambacho kimetufikisha hapa baada ya miaka zaidi ya hamsini ya uhuru
Unadhani chadema wangetufikisha wapi baada ya miaka hamsini.
 
This post gave me a breath of some Fresh Air. (I'm sleeping well tonight)
Good to see somebody thinks beyond the box.
Hapo Red: Prof. Elbert Einstein once said "You cannot solve the problem at the same level it was created"
Sawa mkuu, nadhani ni "you cannot solve the problem by using the same mind that created it", kwamba akili iliyosababisha matatizo, haiwezi kuwa akili itakayotumika kuyatatua matatizo hayo".
 
Teknolojia iwaumbue hao kishawashawa

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Back
Top Bottom