Jaribio la kigaidi kumuua Mh. Tundu Lissu, teknolojia kuwaumbua wahusika?

Jaribio la kigaidi kumuua Mh. Tundu Lissu, teknolojia kuwaumbua wahusika?

Angeweza tu kuendelea kuuponda uamuzi wa chadema dhidi ya Dr Slaa bila ya ulazima wa kuipigia ccm debe.
na alivyo mjinga analeta ushabiki wake mandazi kwenye ishu kama ya Lisu.mtu ambaye alikuwa msaada mkubwa sana kwa hoja kwa slaa
 
Unadhani chadema wangetufikisha wapi baada ya miaka hamsini.
Sijui, it remains to be seen. Nina amini kuwa siku tukipata chama sahihi cha kupokea madaraka. Tutapiga hatua zaidi kwasababu sasa kila chama kitafahamu kuwa hakina hati milki ya taifa hili. Na kwamba ni lazima matokeo chanya yaonekane, la sivyo ni benchi.
 
Dah.... tunarudi kulekulee.....acheni ujinga bana[emoji13]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Sawa mkuu, nadhani ni "you cannot solve the problem by using the same mind that created it", kwamba akili iliyosababisha matatizo, haiwezi kuwa akili itakayotumika kuyatatua matatizo hayo".

Mkuu yote yako sawa na tafsiri ni ile ile tu. (We trust in God au In God we trust)
Muhimu ni kwamba inabidi watanzania tutambue kwamba Siasa za vyama pekee haziwezi kutuletea mabadiliko.
Hazijawahi kuleta mabadiliko kokote kule duniani.
 
I believe kwa mtu mwenye I.Q kubwa kama Lissu lazima atakuwa alishachukuwa preliminary information za watu waliokuwa wakimfuatilia.

Au kama hakuchukua lazima at somepoint in time atajua ni nani alihusika!.
Tale under construction. Just wait
 
Hii ni kwa great minds to...kama wewe ni Bashite, usiendelee kusoma, unaweza kupandwa wazimu!
  • A circular polarizer will help and most vehicles have no tint on the front windshield. Position yourself to see through the front of the windshield.
  • Photographing someone through tinted car windows? If there's a strong IR light source on the other side, and IR-converted camera will see through most tints.
  • Low light photographs at ISO 12800 not the best image for printing but you can tell who it is.
Kuna watu hofu imewatanda na humu JF wanahaha kuanzisha theories za ajabu ajabu kujipa matumaini. Ukishalitilia shaka gari lililo nyuma yako, kuwapiga picha waliokaa viti vya mbele ni kama mchezo wa kitoto. Lakini hata kama windshield nayo iko tinted bado ziko njia...Bashite atajulia wapi haya?
wasichojua akina bashite ni kwamba hata wao walikuwa wanafualiliwa bila kujua. chezeya Akili kubwat weye???
 
Tukifatilia tu mawasiliano ya Bashite tutawapata wahusika wote wa hili tukio.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Bavicha kuna walichosimamia wakashinda? Mmeshindwa kufatilia simu ya Ben ndio mtaweza ya Makonda? Mmeshindwa kuwatia mikononi na kuwaadhibu waliomuua mawazo ambao wanajulikana ndio mtaweza wasiojulikana waliojaribu kuondoa uhai wa Lissu?

Bavicha maneno mengi vitendo MBOWE (ZERO)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli jamaa alikuwa na nondo sana. Lakini amejikuta kakwama kwenye siasa za majitaka. Maana kutetea hao watu waliotufikisha hapa sometimes inabidi kujitoa ufahamu. Kuona viongozi wa chama flani wamefanya makosa, haina maana kwamba hao wa chama kingine ni malaika na ndo sababu ya kuwafuata. Ni heri kuwa kimya tu, maana si lazima uchague upande. Angeweza tu kuendelea kuuponda uamuzi wa chadema dhidi ya Dr Slaa bila ya ulazima wa kuipigia ccm debe.
Hakuna sehemu Mtazamo ameipigia debe ccm.. Na hata shambulio la Lissu alionyesha humu kusikitishwa nalo..

Tatizo ni CDM kuchukulia matukio kama haya kama kick za kisiasa.. Ndio maana hata Ben mmeshaachana nae na ni wazazi wake tu ndio wanamlilia sasa. Mkishaanza kuleta siasa kwenye taaluma za watu, hao watu na taaluma zao huamua kukaa kando na kuwaachia uwanja mfanye mnalotaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maraaa paaaaap bashite huyo ndani ya Nairobi kumuona mgonjwa.

Sent from my Priceless H40-D00 Bombadier
 
Mkuu yote yako sawa na tafsiri ni ile ile tu. (We trust in God au In God we trust)
Muhimu ni kwamba inabidi watanzania tutambue kwamba Siasa za vyama pekee haziwezi kutuletea mabadiliko.
Hazijawahi kuleta mabadiliko kokote kule duniani.
Mkuu sikupingana na tafsiri yako. Ni mkolezo tu. Otherwise tuko pamoja
 
Back
Top Bottom