Jaribio la kigaidi kumuua Mh. Tundu Lissu, teknolojia kuwaumbua wahusika?

Jaribio la kigaidi kumuua Mh. Tundu Lissu, teknolojia kuwaumbua wahusika?

Hakuna sehemu Mtazamo ameipigia debe ccm.. Na hata shambulio la Lissu alionyesha humu kusikitishwa nalo..

Tatizo ni CDM kuchukulia matukio kama haya kama kick za kisiasa.. Ndio maana hata Ben mmeshaachana nae na ni wazazi wake tu ndio wanamlilia sasa. Mkishaanza kuleta siasa kwenye taaluma za watu, hao watu na taaluma zao huamua kukaa kando na kuwaachia uwanja mfanye mnalotaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Atanijibu mwenyewe akitaka mkuu usiwe na kiherehere. Unataka nianze kubishana na wewe na wakati yeye mwenyewe yupo? Wtf
 
wasichojua akina bashite ni kwamba hata wao walikuwa wanafualiliwa bila kujua. chezeya Akili kubwa weye???

Pia someni hii...

An assembly adaptable for mounting on a vehicle for viewing an object located behind a tinted window, comprising:
  • a light source for emitting full-spectrum light, with the light source being adapted for mounting on a vehicle;
  • a video camera including a filter for passing only the near infrared light, for receiving near infrared light reflected from an object;
  • the light source being separate from the video camera; and a video monitor for receiving a signal stream transmitted by the video camera, and for displaying an image of the object derivable from the signal stream.
Kusoma kuna faida yake...nakumbuka ofisa moja alivyobatilisha amri ya polisi wa Dar kupiga marufuku matumizi ya tinted windows kwenye magari. Wakati huo nilijiuliza sana malengo...

Ambacho hakujua ni kwamba utaalamu upo wa kutambua kilichomo ndani ya vyombo hivyo. Polisi wetu wangekuwa na weledi, hawa magaidi wauaji wangekamatwa kilaini tu.

Hata vifaa vyote ndani ya nyumba ya Mh. Tundu Lissu vikikamatwa na kuharibiwa ni kazi bure. Data zote zilizo relevant tayari ziko salama ardhini, majini na angani. Video na sound ziko salama.

Wasiojulikana na wasioonekana, teknolojia imewaacha kwenye mataa...!
 
Kwenye uwanja ulio sawa ccm itafutika kabisa. Na hilo unalijua vizuri
Wewe lengo lako ni ccm kufutika au maendeleo.
Bado hujanijibu swali langu, ninarudia tena.
Unahisi chadema wangekuwa wametufikisha wapi kimaendeleo since independence na huyu dikteta mwenyekiti wao? Ambae obvious angekuwa dikteta raisi. Unahisi tungekuwa developed?
Hamna demokrasia, hamjajingea hata kaofisi ka mbao since genesis yenu, mngepewa hii nchi nyinyi si mngeifanya Congo ya pili.
Fortunately Mungu analipenda hili taifa, amereveal your real colour that you are worse and not yet matured to lead yourselves, sembuse nchi.
Mkajipange miaka mia
 
Wewe lengo lako ni ccm kufutika au maendeleo.
[COLOR=#0000b3][B]Oii[/B][/COLOR], pole sana ila ungekuwa mkweli kwa nafsi usingeshindwa kuuona ukweli huo, ama ni CCM au ni maendeleo...huwezi kufanikisha yote mawili. Hadi leo, kila kinachoisibu Tanzania kimepandwa, kimelelewa na kimekomazwa na CCM...kila kitu ni matunda ya CCM pamoja na Magufuli mwenyewe. Hata ustaarabu tu wa kutubu na kuomba msamaha kwa niaba yake (kumbuka kawa Waziri kwa miaka 20) na kwa niaba ya CCM (miaka zaidi ya 50) kashindwa! Its like trying to separate a tortoise from its shell!
 
Wewe lengo lako ni ccm kufutika au maendeleo.
Bado hujanijibu swali langu, ninarudia tena.
Unahisi chadema wangekuwa wametufikisha wapi kimaendeleo since independence na huyu dikteta mwenyekiti wao? Ambae obvious angekuwa dikteta raisi. Unahisi tungekuwa developed?
Hamna demokrasia, hamjajingea hata kaofisi ka mbao since genesis yenu, mngepewa hii nchi nyinyi si mngeifanya Congo ya pili.
Fortunately Mungu analipenda hili taifa, amereveal your real colour that you are worse and not yet matured to lead yourselves, sembuse nchi.
Mkajipange miaka mia
Haya maswali ya kijinga hivi ndio yamenifanya niwe napata kichefuchefu sana ktk interview za kibongo,huwezi ita hard question.Hard questions ukiwa smart au ukiongeza fikra linajibika finally. Ila hili lako ni very irrational na wrong. KUWEKA CCM KTK NJIA YA MAENDELEO UKITEGEMEA IWE CHOICE KWA MTU YEYOTE HATA CCM NI MAKOSA. CCM taahira ndio atakujibu na ccm ikawa option. Sishangai sana kwa vile nami nalaani sana ujinga wa maprof wenu,kila mahali. wanaiba maswali ya watu wanajifanya kuyarekebisha wanayaharibu, wakichukua majibu hawawezi badilisha swali hadi miaka 46 ijayo.
 
Atanijibu mwenyewe akitaka mkuu usiwe na kiherehere. Unataka nianze kubishana na wewe na wakati yeye mwenyewe yupo? Wtf
teh teh.Jamaa wanachosha.Na movies zao zinazowachosha hata wao kushika mistari achilia mbali ku act.
 
Hawana tatizo wala mashaka yoyote coz aliyewapa order ndie star wa mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
Km mchezo ni mzuri star ni star,ila mchezo ukiwa theme nzima ni km mashindano ya loosers na looser mkubwa anakufa mwisho. Nitakuwa wa mwisho kuelewa ulichoandika.
 
Haya maswali ya kijinga hivi ndio yamenifanya niwe napata kichefuchefu sana ktk interview za kibongo,huwezi ita hard question.Hard questions ukiwa smart au ukiongeza fikra linajibika finally. Ila hili lako ni very irrational na wrong. KUWEKA CCM KTK NJIA YA MAENDELEO UKITEGEMEA IWE CHOICE KWA MTU YEYOTE HATA CCM NI MAKOSA. CCM taahira ndio atakujibu na ccm ikawa option. Sishangai sana kwa vile nami nalaani sana ujinga wa maprof wenu,kila mahali. wanaiba maswali ya watu wanajifanya kuyarekebisha wanayaharibu, wakichukua majibu hawawezi badilisha swali hadi miaka 46 ijayo.
 
Hii ni kwa great minds to...kama wewe ni Bashite, usiendelee kusoma, unaweza kupandwa wazimu!
  • A circular polarizer will help and most vehicles have no tint on the front windshield. Position yourself to see through the front of the windshield.
  • Photographing someone through tinted car windows? If there's a strong IR light source on the other side, and IR-converted camera will see through most tints.
  • Low light photographs at ISO 12800 not the best image for printing but you can tell who it is.
Kuna watu hofu imewatanda na humu JF wanahaha kuanzisha theories za ajabu ajabu kujipa matumaini. Ukishalitilia shaka gari lililo nyuma yako, kuwapiga picha waliokaa viti vya mbele ni kama mchezo wa kitoto. Lakini hata kama windshield nayo iko tinted bado ziko njia...Bashite atajulia wapi haya?
Kwani wamefikisha wapi halmashauri mlizozikosa, hadi mnaamua kukesha mkipiga dili ya kuziua kabisa na kukimbia na mapato ambayo yanazidi mika mitano ya ccm,wao wanakusanya kwa mwaka mmoja.?
 
ninachokipenda wananchi wameshajuwa wauaji ni kina nani mana walijiandaa kupoteza uhai wa Lissu lakini Mungu kawanyoosha hasa wamekonda nyuso usiku mmoja baba na mwanawe wamekuwa weusi kwa kukosa oxygen hawapumui kwa hofu na vile wamelaaniwa na wanachi kwa ujumla na dunia basi hila zao zimeingia matope
Nimekusoma hata mimi nimeona wanafanana maiti ya siku saba mochwari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu tumezoea Chadema kuishi kwa matukio si ajabu hata hili tutajazana upepo alafu mwisho wake iwe kama yale ya bomu la Arusha ....."tunao mkanda wote,polisi wasipotoa majibu tutaonesha dunia ukweli" .....imebaki stori ....btw tulishasahau hata wahanga wa lile bomu .....labda hili kwavile Lissu mwenyewe ni aggressive ....
Duh, kweli umechuja ndugu yangu na achana na kukariri. Binadamu mwenye akili lazima aishi kwa matukio, asiyeishi kwa matukio ni maiti tu. Matukio ndiyo yanafanya maisha yawepo kwani ndio yanapanua akili na kuleta maendeleo. Matukio ni yale yaliyofanyika na si ya kufikirika na ndio maana yanaitwa matukio. Kama unatembea ukajikwaa, hutakiwi kuendelea tu na mwendo kama kichaa bila kujiuliza kwa nini umejikwaa na hivyo kuchukua hatua.

Kwa kuugua binadamu walitafuta tiba wakagundua dawa, hawakuendela kuishi tu kama vile tukio halikutokea. Kwa janga mbali mbali zilizokuwa zinatokea, binadamu hakukaa tu kama vile si kitu, alitafuta namna ya kujihami na hayo majanga na hivyo kuishi kwa usalama zaidi. Binadamu si gari la kusukuma litakalobaki hapo hapo hadi lisukumwe ndio liondoke lilipo hata kama panaungua moto, hapana, binadamu huchukua hatua...kalaghabaho!
 
Ahsante sana Mkuu huyu jamaa ni mmoja wa MAZWAZWA wakubwa sana humu.

wewe nawe ni mpuuzi tu.nilitegemea utakuwa na la maana at least kwa maisha ya lissu kumbe unaleta ujinga wako.lala mbele na slaa wako.no wonder yuko kimya wakati mtu aliyekuwa anampa data zote ameshambuliwa kwa risasi
 
Back
Top Bottom