Pia someni hii...
An assembly adaptable for mounting on a vehicle for viewing an object located behind a tinted window, comprising:
- a light source for emitting full-spectrum light, with the light source being adapted for mounting on a vehicle;
- a video camera including a filter for passing only the near infrared light, for receiving near infrared light reflected from an object;
- the light source being separate from the video camera; and a video monitor for receiving a signal stream transmitted by the video camera, and for displaying an image of the object derivable from the signal stream.
Kusoma kuna faida yake...nakumbuka ofisa moja alivyobatilisha amri ya polisi wa Dar kupiga marufuku matumizi ya
tinted windows kwenye magari. Wakati huo nilijiuliza sana malengo...
Ambacho hakujua ni kwamba utaalamu upo wa kutambua kilichomo ndani ya vyombo hivyo. Polisi wetu wangekuwa na weledi, hawa magaidi wauaji wangekamatwa kilaini tu.
Hata vifaa vyote ndani ya nyumba ya Mh. Tundu Lissu vikikamatwa na kuharibiwa ni kazi bure. Data zote zilizo relevant tayari ziko salama ardhini, majini na angani. Video na sound ziko salama.
Wasiojulikana na wasioonekana, teknolojia imewaacha kwenye mataa...!