NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,135
Jaman na sisi Wenye akili za kibashite mtukumbuke tuelewe hata kidogo, vibaya hivyo jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani wale wanaomfuataga alikuwa anawapiga picha!?!So unamaanisha inawezekana Lisu aliwapiga picha kupitia kioo cha nyuma.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Hawapigwi picha na camera ya techno Mcharo kuna Camera maalum za kwenye gari zinarekodi gari za nyuma na mbele yako na hata pande na pandekwani wale wanaomfuataga alikuwa anawapiga picha!?!
nadhani swali la kwanza watakalo muuliza dereva mlipiga picha?...akisema ndio basi zigo lakeHii ni kwa great minds to...kama wewe ni Bashite, usiendelee kusoma, unaweza kupandwa wazimu!
Kuna watu hofu imewatanda na humu JF wanahaha kuanzisha theories za ajabu ajabu kujipa matumaini. Ukishalitilia shaka gari lililo nyuma yako, kuwapiga picha waliokaa viti vya mbele ni kama mchezo wa kitoto. Lakini hata kama windshield nayo iko tinted bado ziko njia...Bashite atajulia wapi haya?
- A circular polarizer will help and most vehicles have no tint on the front windshield. Position yourself to see through the front of the windshield.
- Photographing someone through tinted car windows? If there's a strong IR light source on the other side, and IR-converted camera will see through most tints.
- Low light photographs at ISO 12800 not the best image for printing but you can tell who it is.
hilo narijua lipo, kwa kesi hii linasomeka? kama ni kiwango husika na uzi huu utalielewa swali, vinginevyo tuwaachie wenye uziHawapigwi picha na camera ya techno Mcharo kuna Camera maalum za kwenye gari zinarekodi gari za nyuma na mbele yako na hata pande na pande
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa gari zuri kama lile la mbunge msomi vitu vidogo hivyo mpaka Mcharo unajua vipo si lazima lilikuwa nazohilo narijua lipo, kwa kesi hii linasomeka? kama ni kiwango husika na uzi huu utalielewa swali, vinginevyo tuwaachie wenye uzi
Poteza mudaHii ni kwa great minds to...kama wewe ni Bashite, usiendelee kusoma, unaweza kupandwa wazimu!
Kuna watu hofu imewatanda na humu JF wanahaha kuanzisha theories za ajabu ajabu kujipa matumaini. Ukishalitilia shaka gari lililo nyuma yako, kuwapiga picha waliokaa viti vya mbele ni kama mchezo wa kitoto. Lakini hata kama windshield nayo iko tinted bado ziko njia...Bashite atajulia wapi haya?
- A circular polarizer will help and most vehicles have no tint on the front windshield. Position yourself to see through the front of the windshield.
- Photographing someone through tinted car windows? If there's a strong IR light source on the other side, and IR-converted camera will see through most tints.
- Low light photographs at ISO 12800 not the best image for printing but you can tell who it is.
Hii ni kwa great minds to...kama wewe ni Bashite, usiendelee kusoma, unaweza kupandwa wazimu!
Kuna watu hofu imewatanda na humu JF wanahaha kuanzisha theories za ajabu ajabu kujipa matumaini. Ukishalitilia shaka gari lililo nyuma yako, kuwapiga picha waliokaa viti vya mbele ni kama mchezo wa kitoto. Lakini hata kama windshield nayo iko tinted bado ziko njia...Bashite atajulia wapi haya?
- A circular polarizer will help and most vehicles have no tint on the front windshield. Position yourself to see through the front of the windshield.
- Photographing someone through tinted car windows? If there's a strong IR light source on the other side, and IR-converted camera will see through most tints.
- Low light photographs at ISO 12800 not the best image for printing but you can tell who it is.
Tatizo tulilonalo wengi Tanzania watu wanamuona Lisu katika muonekano wa siasa zaidi, Kama vile yeye anaishi muda wote ndani ya siasa na uana sheria basi, wanasahau kuwa yeye kama binadamu wengine anaishi pia maisha mengine ya kawaida nje ya uana siasa na uana sheria, ana watu wanaompenda, wanaomchukia, kuna watu ameshakwaruzana nao nje na ndani ya siasa. Jaribu kujitathmini wewe binafsi kwenye maisha yako unakumbana na mambo gani na mangapi, Je yote yanatokana na kazi unayofanya?......Unavamiwa na vibaka ukitoka kazini utasema bosi wako kazini anahusika kisa mlikwaruzana kazini! Tanzania kuna watu bado wajinga sana wanaishi kwa kuhisihisi tu, ndio maana ushirikina upo juu sana nchi hii watu wanaishi kwa hisia hisia kuliko kisayansi ..Tuna safari ndefu sana sana kielimu na kisayansi....
Hiyo ni dhana yake! Na katika tukio hili la kuhuzunisha, kila dhana inapaswa kuangaliwa! Tusihamanike pale mtu anapotoa mawazo yake juu ya nini anafikiri kinaweza kuwa chanzo. Mwisho wa siku dhana sahihi itajulikana na itasaidia taifa hili kuelekea pahali salama!Tatizo sio unachokiongea ila ni jinsi unakiongea, ni km unalilia hoja za kufikirika zaidi ndizo ziwe na nguvu.Ndio maana nilishauri hapa rais atumbue tuu kitengo cha longolongo ktk office yake. Hivi ukiulizwa hao watu unaodhani ni suspect ktk maisha yake binafsi hata wa kuhisi ni nani unaweza kuwa nao au ndio ktk live interview utaanza kugombana na watu? Hata km una nia ya kudanganya tafadhali jaribu kushauri huku uki narrow down domain ili polisi waone pa kuanzia na wafikie unalotaka wafikie. Unachoongea ni comfusion kwa polisi/na CCM kuweza kuwa ktk sync na wewe. Kwa vile watakumbana na maswali mengi sana na hawatakuwa na majibu km wewe.KWa ujumla nyie wapiga ramli wa UDSM lazima mbanwe sana misuli.Dunia imewapita sana. Umetukana watu hapa, wakati ulichoandika hapa kinaongeza unknowns bila kujua watu piga ua hawatachagua unknowns,watakwenda kwenye knowns parameters na hazitokuwa upande wako. Kinachoniuma ni kwamba mna majibu ya kijinga sana, kwa kiasi mkipewa jukumu la kuokoa nchi kwa maadui wa nje.Mtatuacha ktk bahari kubwa.Na mbaya zaidi ya yote ni kwamba aliyewapa hiyo nafasi hata km aliwabeba alitegemea mgejikaza na kudhihirisha hata mnaweza kumtoa kimasomaso.
Nitafurahi kama utanionyesha kwa vipi Slaa amekuwa mjinga!huyo mtazamo siku hizi kawa mjinga mjinga flani kama slaa tu alivyo sasaivi
Hakika!Jalada la upelelezi tumelifungua wananchi na tutalifunga wenyewe.
Hatuna imani wapelelezi wauwaji.
Too lateHii ni kwa great minds to...kama wewe ni Bashite, usiendelee kusoma, unaweza kupandwa wazimu!