Jaribio la kigaidi kumuua Mh. Tundu Lissu, teknolojia kuwaumbua wahusika?

nadhani swali la kwanza watakalo muuliza dereva mlipiga picha?...akisema ndio basi zigo lake
 
Poteza muda
 

Kumbe hakuna hata haja ya kuleta wapelelezi kutoka nje.
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani na hili ggumu?
Kumwachia Mungu sio kauli za wanaharakati wa haki za binadamu.
Kumwombea lissu pekee bila kuonyesha ni kiasi gani tumeumizwa nalo kwangu mimi bado ni nusu ya safari.
Safari kukamilika ni kuendele kupaza sauti kwao mpaka wafe kwa hofu.

Get well my friend and my representative wangu TUNDU A. LISSU
 
Hiyo ni dhana yake! Na katika tukio hili la kuhuzunisha, kila dhana inapaswa kuangaliwa! Tusihamanike pale mtu anapotoa mawazo yake juu ya nini anafikiri kinaweza kuwa chanzo. Mwisho wa siku dhana sahihi itajulikana na itasaidia taifa hili kuelekea pahali salama!
Tujitafakari
 
Hakuna jinsi kupitia satellite unazoom location na time kupata video za wahusika,kama walivonaswa wale waganga matapeli wa kisa cha nyoka na wizi wa gari
 
Kuna watu humu huwa wanajifanya wasomi kumbe hawana lolote msomi na mwenye kujua lugha n yule anayeweza kutoa lugha ya wengne na kuileta kwa lugha ya kwao bila kuikosea.

long live The Bold.......Sijaona kama yeye mpaka sasa JF

Watu weng ubeba vtu google na kupaste humu uku weyew wakiwa hata hawavielew vzr.... Na wala jamii yao haielew vzr.........

Mfano Max alibeba kuhusu freemasonry google akaweka humu ameshindwa yeye kutaslate kama kwel anaelewa vyema hiyo freemasonry......
.

Ya nini kudharau wenzio na we mwenyew pia ubongo wako unaishia kibaha banda la mkaaa
 
Too late
Hehe umetupa jiwe gizani ngoja tuone nani limempata



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…