Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

yaani hao jamaa ndo tafsiri ya wanaume wa dar hawana nguvu kabisa yaani hao ni jamii ya akina juma lokole sema wanalingia vidali tu...mwamba huyo hapo deogratius
 
Na polisi gani wanamkamata mtu ambaye ana tuhuma kwa staili kama hiyo? Kuna siku polisi walikuwa wanamkamata mtuhumiwa aliyekuwa anatafutwa sana mkoa fulani akiwa mkoa mwingine. Alikuja huo mkoa kama msindikizaji msiba. Ila polisi walikuwa wanamfuatilia kwa kila hatua mpaka pale basi la waombolezaji liliposimama.
Wakati wanamkamata, alikuwepo mtendaji wa mtaa, na mashuhuda wengine kadhaa kwamba tunamkamata huyu tunaenda naye kituoni.
Nyinyi wengine mnaweza kuja ili mjue tunamkamata kwa sababu zipi. Iweje polisi wanakamata mtuhumiwa wakatiu hakuna mtu anayejua chochote na anayeweza kuthibitisha hao ni polisi?
 
Hiyo sheria ya usalama wa taifa hili ndio lilikuwa lengo lake, na serekali inajua na imebariki matendo haya. Ni sheria iliyotungwa kwa nia ovu.
Sheria ya kikoloni inatungwa na setikali ya watu weusi kwa ajili ya kuwashughulikia raia katne hii ya 21.

Pathetic.

Serikali za vyama vya ukombozi zimejaa manyang'au tu.
 
Ila watz sisi ni waoga ikiwemo mimi, ccm wanalijua hilo, ndio maana wanafanya watakalo.
 
Ila watz sisi ni waoga ikiwemo mimi, ccm wanalijua hilo, ndio maana wanafanya watakalo.
Sema watu wa pwani na Dar..wafanye mwanza mjini hovyo waone bodaboda kama hawajawazunguka na kuwateka wenyewe
 
Daresalam ni kitongoji cha wanawake, matendo yao yanajidhihirisha vema, police jamii kwao hu deal na wamama wauza mbogamboga na mamachinga

Sitamani kuishi daresalam
 
bonge lazima atoe maelezo, alimtapeli nani au anadaiwa na nani. Hao sio polisi, hao wamekuja kumpeleka kwa mwenye hela. Polisi hawawezi kumuacha wakakimbia, angekula kipigo huyo mapaka asijue amefikaje kituoni.
 
Kwa trend hii hakuna aliye salama. Mtu unakuwa na wasiwasi muda wote wa kile kinachoweza kutokea kwako. Mchana wasiwasi, usiku wasiwasi, halafu tunasikia wengine wakisema "nchi Iko salama". Principle yangu ni kwamba "when the theory does not fit the practice, ignore the theory."
 
bonge lazima atoe maelezo, alimtapeli nani au anadaiwa na nani. Hao sio polisi, hao wamekuja kumpeleka kwa mwenye hela. Polisi hawawezi kumuacha wakakimbia, angekula kipigo huyo mapaka asijue amefikaje kituoni.
 
Ndugu watanzania tule jamani, hujui ni lini mwili wako utakuokoa.
 
Siwalaumu polisi nawalaumu hao kukumaji wanaume wa dar waliokuwa wanashangaa na kushindwa kumsaidia mwenzao,oumbavu kabisa
Well said. Wamaume wa Dar tangu wakimbizwe na kushambuliwa na watoto pamoja na wajukuu zao(panya road) ni bora wajivalie dera.
 
Mwananchi Usikubali kukamatwa na polisi asiyevaa uniform. Pigana huku ukipiga mayowe. Jamii nasi tusikubali matendo haya kufanyika. Utekaji huu ni tisho la amani ya nchi yetu
 
Tatizo ni kwamba hata maafisa polisi wa ukweli wapo wanaoenda kukamata watu wakiwa wamevaa kiraia na wanatumia magari binafsi...

Hii ni loophole ambayo wahalifu wanaweza kuitumia pia...
Kama ni wahalifu, mbona siku zote hawakamatwi?
 
bonge lazima atoe maelezo, alimtapeli nani au anadaiwa na nani. Hao sio polisi, hao wamekuja kumpeleka kwa mwenye hela. Polisi hawawezi kumuacha wakakimbia, angekula kipigo huyo mapaka asijue amefikaje kituoni.
Mbona walikuwa na pingu sasa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…