Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

Wale wa Ali Kibao walikuwa well trained,hawa ni wachovu tu mimi ningekuwepo ningenunua huo ugomvi
Haaahaa πŸ˜‚.
Hapo nasikia yupo bingwa wa kickboxing Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

SEMA jamaa hawakua prepared Mbona jamaa angeingizwa mzobe mzobee

SEMA jamaa MWILI JUMBA umemsaidia kukataa kuingizwa garini

Ila wangekua na πŸ”« kazi ingekua rahisi SANAA

All in all,
Mungu ni mwema WAKATI wote wakati WOTE Mungu ni mwema.
 
Hakuna watekaji hapo kuna wahuni tuu.
Watekaji gani wanaendesha tukio utadhani kina mama wanasutanaπŸ€”πŸ€”halafu wanapewa cheo cha watekaji.
Watekaji wanaokuja mchana kujutana na mtu mbavu.
Aliyesumbuliwa akae chini,apewe ulinzi atasema tuu vizuri nini kati yake na hao jamaa.
 
Usilolijuwa ni usikuwa kiza, hotel waliyokuwepo imetajwa, unafikiri linauzwa togwa humo?
Kumbe Hotel....... na sio Bar ......unachekesha sana πŸ˜€ πŸ˜€ .........kwa hiyo mtu akienda hotelini anakwenda kunywa sio?......
 
Labda useme waliingia wanaume watupu kukandana.
Naona kama una hasira fulani hivi.......inakufanya unachanganyikiwa na kutengeneza maneno ili mradi upunguze hasira zako πŸ˜€.............kwani hotelini hawauzi chakula?........
Hotel unaita ..Bar.......halafu unakimbilia kuandika maneneo ya ajabu kabisa........kukandana...uliwachemshia maji
 
Ndio nimesema hawa sio polisi na kama ni polisi basi ni kikundi cha wahuni ndani ya polisi.
 
Kila nikiangalia hii Video naijiwa na Hisia mbaya za Viongozi wetu. Imani imenitoka nawaombea baya lolote liwapate. Am real disappointed, at the end tungeambiwa KIFO NI KIFO TUUU!
Kwa mazingira hayo Lawama ya kwanza siyo viongozi ni watanzania au wanaume wa Dar! Hii ni emergency case hai hitaji viongozi wa serikili hapo inahitajika nguvu ya umma kukataa utekaji. Nawachukia watu wa DSM. Ndiyo maana vitoto vya panya road viliwaendesha!
 
Well said. Wamaume wa Dar tangu wakimbizwe na kushambuliwa na watoto pamoja na wajukuu zao(panya road) ni bora wajivalie dera.
Sugu, Mnyika na lisu walikula virungu juzi Kati hapo mkoa fulani nako kule ni Dar ?
Mbona hatukuona ujasiri wa tumbili za mkoani.
 
Unachofanya si kitu poa, mfike Wilson kwa sasa ni mtu mzima sana mnakosea kumfananisha na hao vijana. Acheni hii kitu mnamletea usumbufu kwa familia na watu wake
 
Tatizo ni aina ya uchukuaji. Kwanini wasije na mavazi ya kiaskari walau mmoja? Staili wanayoitumia inaacha mwanya kwa wahalifu kuitumia kwa kujifanya maafisa usalama. Ni nchi ya kishenzi sana Tanzania ni vile basi tu!
Hata kuja na vazi kwa mmoja pia bado kimsingi raia anahaki hata yakuhoji ID ya hao askari ili ajiridhishe lakini pia kupitia hata kwa mjumbe wa nyumba kumi ili ajue raia wake anapoenda.
 
Mkuu

Huyo Fike Wilson alishawahi kuwa bingwa wa Kickboxing Tanzania enzi hizo, baadaye akahamia kwenye masumbwi (boxing) kabla hajafungua gym pale Sinza na Kinondoni...ndio huyo hapo kwenye mlango wa gari.

Upelekezi unapaswa kuanzia kwake.

Fike Wilson yule Mr Tanzania miaka hiyo?

Hapana yule ni mtu mzima sasa na alikuwa Dubai miaka kadhaa, sidhani kama karudi Tanzania...
 
Hawa mashetani ni mapolisi.
Ila kuwa polisi wa tz huwa hawajui kusoma na kuandika basi huwa hawana akili zaidi ya NGUVU walizopewa na Mungu.
Polisi hawajawahi kuwa na akili au kutumia akili.
Ukimpeleka mwanao kuwa polisi ujue anaenda kubakiza ubongo wake pale CCP anapoingia tu akitok huwa anakuwa kichwa kimebaki fuvu pekee
 
Hadi tuamke mambo yatakuwa yameharibika sana.Mtu anaomba msaada watu wanapita tu hii nchi ina watu wajinga sana.kuna umuhimu sasa wa raia kuwa na silaha za moto ili tunapoona mwenzetu anafanyiwa hivyo tunachukua hatua mara moja bila kuchelewa.
 
Ndio nimesema hawa sio polisi na kama ni polisi basi ni kikundi cha wahuni ndani ya polisi.

Nazidi kumkumbuka IGP Mstaafu Harun Mahundi. Ipo haja ya kuwekeza kwenye elimu ya policing kwenye mazingira yenye changamoto nyingi za kijamii na kisiasa za sasa hivi
 
Raia wampigie kelele nani naona watu wanawalaumu tu wale akina mama pale pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…