Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

Mbona wanaonekana kwa sura hawa? Hawa si ndio waliomteka mzee Ally Kibao na kwenda kumuua?
 
A state-sponsored terrorists groups?
 
As long as Samia hakemei haya matendo, basi yataendelea mpaka wananchi wachukue hatua wenyewe, umeona majitu yamesimama tu na madela yanasubiri kwenda chooni kunya, bladifaken
Nilishawahi sema hili, until watanzania watakapoacha mentality za ukondoo, hawa watu wataendelea na haya mambo again and again
 
Si jambo geni. Although kisheria hawakuwa na power until alipofika jpm, lilikuwa ni kosa kuwapa immunity kisheria
No, kisheria walikuwa na power kabla hata ya utawala wa JPM, isipokuwa hapo kabla walikuwa hawatumii Sana mbinu za coercive force ya kuteka watu kwa nguvu au kushambulia kwa silaha za Moto Kama vile bunduki/kupigwa risasi, au mapanga, shoka, visu, n.k. Hapo kabla walikuwa wanatumia zaidi silaha za mashambulizi ya kimya kimya za kikemikali au za kibaiolojia. Mathalani, walikuwa wanatumia Sana mbinu za mashambulizi ya kutumia SUMU (Poisoning) au kumwagia tindikali (acid attacks).
Alipoingia JPM ndipo mbinu za Physical Attacks zikawa zinatumika zaidi.
 

Watanzania, hivi Hakuna hata mtu mmoja humu mtandaoni ambaye anamtambua kwa Majina yote huyu mtu mtekaji ambaye sura yake yote kabisa imenaswa na camera?
1. Huyu kwenye picha anaitwa nani?
2. Anaishi wapi hasa?
3. Ni mwenyeji wa wapi? Mzaliwa wa Mkoa gani? Wilaya gani? Kijiji/Mtaa gani? Kata gani?
4. Historia yake ya maisha ni ipi?

Kwa kifupi, mtu yoyote mwenye details za wasifu (CV) za wahusika hawa Watekaji tunawaomba waweke wazi hapa mtandaoni.
 

Attachments

  • IMG_20241112_224611_737.jpg
    79.8 KB · Views: 5
Aiseee! Inasikitisha sanaa. Kwanini Wananchi wasingewakamata hawa wauaji?
Wananchi wameshika viuno, wengine wanapita kama vipofu na viziwi . WaTz ni wa ajabu sana!
 
Nchi iko mikononi mwa wahuni,,,,
Halafu kuna yule mama anayetuuziaga mbege kila jumapili aliumwa hapa juzi kati.....ilikuwa tia maji tia maji wanadai alilishwa sumu.
 
Huyo Tarimo alijuwaje kama anaenda kuuliwa hata akapiga kelele "wanaenda kuniuwa"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…