Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

Tukio la kusikitisha sana limetokea Kiluvya Madukani -Dar ,katika Hotel ya Rovvenpec tar.11/Nov/2024.Ikionesha watu wakimteka ndg.Deogratius Tarimo(Deo Bonge) na kumlazimisha kuingia kwenye gari .

Taarifa ya @polisi.tanzania waliyoitoa leo tar.13/Nov./2024 wanakiri kupokea taarifa ya tukio hili kutoka kwa Deo Bonge tar.11 ambapo alienda kulalamika kituo cha Polisi Gogoni-Kiluvya,Wilaya ya Ubungo. Polisi wanakiri hawawatambui watu hao ila watawakamata.

Maswali ya kujiuliza.

1.Hao watu wenye Ujasiri wa kukamata(Kumteka)mtu kwa nguvu Mchana kweupe wakiwa na pingu kama sio Polisi na kama hawana uhusiano na Polisi.Ni watu gani hawa?

2.Kwanini wakati wanamkamata(Kumteka)walikuwa wanatamka "Twende Gogoni" ambapo Gogoni ni kituo cha Polisi ,Kilichopo Kiluvya ,Wilaya ya Ubungo- Dar Kama sio Polisi na kama hawana uhusiano na Polisi. Ni watu gani hawa?.

3.Kwanini wakati wanamkamata (Kumteka) watamke kwa nguvu kwamba Sisi ni Askari,Sisi ni Askari .Ikiwa Polisi kupitia taarifa yao wamewakana kwamba hawawajui.Ni watu gani hawa wana Ujasiri kujitambulisha kama wao ni Polisi ikiwa sio Polisi?.

4.Ikiwa ukamataji ulikuwa na nia njema kama sio Kumteka,kwanini baada ya kuzidiwa nguvu waliamua kumuacha na pingu mkononi na kukimbia huku wakisema tutakukafuata.Kwanini wakimbie?.Kama sio Polisi .Ni watu gani hawa?

Kuongezeka kwa vyombo vya ukamataji tofauti na vyombo 3 kisheria ni sababu kubwa ya haya matukio kutokokea.Vyombo 3 kwa mujibu wa Sheria vyenye mamlaka ya kukamata,kupekua na kupeleleza ni POLISI,TAKUKURU na UHAMIAJI.Na ambapo ukikamatwa na Polisi unapelekwa kituo cha Polisi,Ukikamatwa na Uhamiaji unapelekwa uhamiaji,Ukikamatwa na TAKUKURU unapelekwa TAKUKURU.

Mwaka 2023 kulifanyika marekebisho ya Sheria ya Usalama wa Taifa ambapo kifungu cha 4(3) kikaruhusu Afisa wa Usalama wa Taifa kukamata mtu.Na haijulikani wapi anakupeleka.Sheria hii imeongeza mwanya wa matukio ya utekaji, inawezekana aidha kifungu cha Sheria hii kinatumika vibaya au kuna kikundi cha wahuni kinatumia mwanya wa Sheria hii kwa maslahi binafsi.

Pia Polisi kutofuata Sheria na taratibu za ukamataji,kumeongeza mwanya wa matukio haya Sababu imekuwa ni ngumu kujua nani ni Polisi nani sio Polisi. Police wameamua kupuuza utawala wa Sheria (Rule Of Law ) kupitia Sheria zinazowaongoza katika majukumu Yao ya kila siku kama ,Police Force and Auxiliary Service Act ,Cap 322 R.E 2002 , Criminal Procedure Act , Penal Code na Police General Order . Sheria zote hizi kama Police wangekuwa wanaziheshimu na kuzifuata zingetofautisha Polisi na watu wengine . Wahuni wengine wasinge kuwa na uwezo wa kujitambulisha kama ni Polisi ikiwa sio Polisi .
Ni kiwafanya kama tajiri Zakaria tu pyupyu wanajulikana tu ni kina nani... Walivyomkamata akamshoot tu mmoja wao pyupyuu...mara oooh Zakaria ampiga risasi Afisa usalama Mkoa wa Mara. .amelazwa hospital ya Musoma hapo ndio tulipojua kabisa watekaji ni kina Nani..hata polisi waje na maelezo gani..hawawezi kufuta hiyo kitu
 
Ndio maana nasema polisi wamesemwa na mengi na wao wamekuwa wanakusha kila siku ni wakati wakuja mbele kuwa wasafi ili kuwa msafi ni lazima ujitenganishe na wachafu. Waje waseme kukamatwa mtu yoyote hakuna shida ni sheria lakini lazima kuwe na 1, 2,3 ndio ujirishishe ni polisi na katika hili lisiachiwe chama kimoja kulipigia kelele watu wote haijalishi nani tukemee kwa nguvu na sheria za kushika mtu ziwekwe wazi.
CCM hawawezi kukemea hili ...ndio chaka lao...watafyekaje Sasa chaka lao!??
 
lakini kwa sura hizi wanaweza kutambulika, kama polisi kweli siyo wao watumie picha hizi kuwatambua, ziwekwe kwenye magazeti na matangazo ya nguvu watapatikana
 
Tukio la kusikitisha sana limetokea Kiluvya Madukani -Dar ,katika Hotel ya Rovvenpec tar.11/Nov/2024.Ikionesha watu wakimteka ndg.Deogratius Tarimo(Deo Bonge) na kumlazimisha kuingia kwenye gari .

Taarifa ya @polisi.tanzania waliyoitoa leo tar.13/Nov./2024 wanakiri kupokea taarifa ya tukio hili kutoka kwa Deo Bonge tar.11 ambapo alienda kulalamika kituo cha Polisi Gogoni-Kiluvya,Wilaya ya Ubungo. Polisi wanakiri hawawatambui watu hao ila watawakamata.

Maswali ya kujiuliza.

1.Hao watu wenye Ujasiri wa kukamata(Kumteka)mtu kwa nguvu Mchana kweupe wakiwa na pingu kama sio Polisi na kama hawana uhusiano na Polisi.Ni watu gani hawa?

2.Kwanini wakati wanamkamata(Kumteka)walikuwa wanatamka "Twende Gogoni" ambapo Gogoni ni kituo cha Polisi ,Kilichopo Kiluvya ,Wilaya ya Ubungo- Dar Kama sio Polisi na kama hawana uhusiano na Polisi. Ni watu gani hawa?.

3.Kwanini wakati wanamkamata (Kumteka) watamke kwa nguvu kwamba Sisi ni Askari,Sisi ni Askari .Ikiwa Polisi kupitia taarifa yao wamewakana kwamba hawawajui.Ni watu gani hawa wana Ujasiri kujitambulisha kama wao ni Polisi ikiwa sio Polisi?.

4.Ikiwa ukamataji ulikuwa na nia njema kama sio Kumteka,kwanini baada ya kuzidiwa nguvu waliamua kumuacha na pingu mkononi na kukimbia huku wakisema tutakukafuata.Kwanini wakimbie?.Kama sio Polisi .Ni watu gani hawa?

Kuongezeka kwa vyombo vya ukamataji tofauti na vyombo 3 kisheria ni sababu kubwa ya haya matukio kutokokea.Vyombo 3 kwa mujibu wa Sheria vyenye mamlaka ya kukamata,kupekua na kupeleleza ni POLISI,TAKUKURU na UHAMIAJI.Na ambapo ukikamatwa na Polisi unapelekwa kituo cha Polisi,Ukikamatwa na Uhamiaji unapelekwa uhamiaji,Ukikamatwa na TAKUKURU unapelekwa TAKUKURU.

Mwaka 2023 kulifanyika marekebisho ya Sheria ya Usalama wa Taifa ambapo kifungu cha 4(3) kikaruhusu Afisa wa Usalama wa Taifa kukamata mtu.Na haijulikani wapi anakupeleka.Sheria hii imeongeza mwanya wa matukio ya utekaji, inawezekana aidha kifungu cha Sheria hii kinatumika vibaya au kuna kikundi cha wahuni kinatumia mwanya wa Sheria hii kwa maslahi binafsi.

Pia Polisi kutofuata Sheria na taratibu za ukamataji,kumeongeza mwanya wa matukio haya Sababu imekuwa ni ngumu kujua nani ni Polisi nani sio Polisi. Police wameamua kupuuza utawala wa Sheria (Rule Of Law ) kupitia Sheria zinazowaongoza katika majukumu Yao ya kila siku kama ,Police Force and Auxiliary Service Act ,Cap 322 R.E 2002 , Criminal Procedure Act , Penal Code na Police General Order . Sheria zote hizi kama Police wangekuwa wanaziheshimu na kuzifuata zingetofautisha Polisi na watu wengine . Wahuni wengine wasinge kuwa na uwezo wa kujitambulisha kama ni Polisi ikiwa sio Polisi .
Pamoja hayo watanzania akilivzaobzimelala yaani hapo ingekuwa nchi nyingine hao wahuni leo ugekuwa mwishobwao wachomwa kwenye hicho gari chao.
 
Nadhani tuna sehemu nzuri ya kuanzia hili lazima lifike mwisho, kwanza siamini kama hawa ni polisi maana kama ni kweli polisi na wako kisheria wasingemuacha najuwa kuna watu wanasema walikuwa wanasema sisi polisi hiyo yoyote anaweza kusema pili toka lini polisi wakatumia gari kama ile lakini yote ni lazima polisi wawakamate hawa jamaa wawe polisi au sio polisi. Bonge yupo ahojiwe hili tukio na kwanini yeye? nini nyuma yake aligombana na mtu au anashuku nini kosa. yako maswali mengi polisi lazima wajibu maana sehemu ya kuanzia ipo na wafanye haraka sana. Kuna haja ya sheria kubadilshwa haraka sana kuwe na taratibu za arrest mtu ziko serikali za mitaa wako wajumbe lazima wahusishwe katika utambulisho.
sura zao zimeonekana, polisi wawkamate, kama kweli sio polisi then it is simple to arrest them
 
Tukio la kusikitisha sana limetokea Kiluvya Madukani -Dar ,katika Hotel ya Rovvenpec tar.11/Nov/2024.Ikionesha watu wakimteka ndg.Deogratius Tarimo(Deo Bonge) na kumlazimisha kuingia kwenye gari .

Taarifa ya @polisi.tanzania waliyoitoa leo tar.13/Nov./2024 wanakiri kupokea taarifa ya tukio hili kutoka kwa Deo Bonge tar.11 ambapo alienda kulalamika kituo cha Polisi Gogoni-Kiluvya,Wilaya ya Ubungo. Polisi wanakiri hawawatambui watu hao ila watawakamata.

Maswali ya kujiuliza.

1.Hao watu wenye Ujasiri wa kukamata(Kumteka)mtu kwa nguvu Mchana kweupe wakiwa na pingu kama sio Polisi na kama hawana uhusiano na Polisi.Ni watu gani hawa?

2.Kwanini wakati wanamkamata(Kumteka)walikuwa wanatamka "Twende Gogoni" ambapo Gogoni ni kituo cha Polisi ,Kilichopo Kiluvya ,Wilaya ya Ubungo- Dar Kama sio Polisi na kama hawana uhusiano na Polisi. Ni watu gani hawa?.

3.Kwanini wakati wanamkamata (Kumteka) watamke kwa nguvu kwamba Sisi ni Askari,Sisi ni Askari .Ikiwa Polisi kupitia taarifa yao wamewakana kwamba hawawajui.Ni watu gani hawa wana Ujasiri kujitambulisha kama wao ni Polisi ikiwa sio Polisi?.

4.Ikiwa ukamataji ulikuwa na nia njema kama sio Kumteka,kwanini baada ya kuzidiwa nguvu waliamua kumuacha na pingu mkononi na kukimbia huku wakisema tutakukafuata.Kwanini wakimbie?.Kama sio Polisi .Ni watu gani hawa?

Kuongezeka kwa vyombo vya ukamataji tofauti na vyombo 3 kisheria ni sababu kubwa ya haya matukio kutokokea.Vyombo 3 kwa mujibu wa Sheria vyenye mamlaka ya kukamata,kupekua na kupeleleza ni POLISI,TAKUKURU na UHAMIAJI.Na ambapo ukikamatwa na Polisi unapelekwa kituo cha Polisi,Ukikamatwa na Uhamiaji unapelekwa uhamiaji,Ukikamatwa na TAKUKURU unapelekwa TAKUKURU.

Mwaka 2023 kulifanyika marekebisho ya Sheria ya Usalama wa Taifa ambapo kifungu cha 4(3) kikaruhusu Afisa wa Usalama wa Taifa kukamata mtu.Na haijulikani wapi anakupeleka.Sheria hii imeongeza mwanya wa matukio ya utekaji, inawezekana aidha kifungu cha Sheria hii kinatumika vibaya au kuna kikundi cha wahuni kinatumia mwanya wa Sheria hii kwa maslahi binafsi.

Pia Polisi kutofuata Sheria na taratibu za ukamataji,kumeongeza mwanya wa matukio haya Sababu imekuwa ni ngumu kujua nani ni Polisi nani sio Polisi. Police wameamua kupuuza utawala wa Sheria (Rule Of Law ) kupitia Sheria zinazowaongoza katika majukumu Yao ya kila siku kama ,Police Force and Auxiliary Service Act ,Cap 322 R.E 2002 , Criminal Procedure Act , Penal Code na Police General Order . Sheria zote hizi kama Police wangekuwa wanaziheshimu na kuzifuata zingetofautisha Polisi na watu wengine . Wahuni wengine wasinge kuwa na uwezo wa kujitambulisha kama ni Polisi ikiwa sio Polisi .
Huyo tarimo anadili na michongo gani hapa Town?
 
Sitaki kuamini kwamba kuna viongozi na Watanzania wenzetu wamekaa maofisini,wameamua kuipeleka nchi yetu shimoni namna hii... Kiukweli haijanitokea kwangu wala ndugu,jamaa au rafiki wa karibu lakini kila nikiona/kusikia hivyo vitendo nasisimkwa mwili.

Hivi kiukweli tumeamua kabisa ku-frame nchi yetu ktk staili hii?
 
Attachments

  • IMG-20241113-WA0006.jpg
    IMG-20241113-WA0006.jpg
    127.9 KB · Views: 4
Sitaki kuamini kwamba kuna viongozi na Watanzania wenzetu wamekaa maofisini,wameamua kuipeleka nchi yetu shimoni namna hii... Kiukweli haijanitokea kwangu wala ndugu,jamaa au rafiki wa karibu lakini kila nikiona/kusikia hivyo vitendo nasisimkwa mwili.

Hivi kiukweli tumeamua kabisa ku-frame nchi yetu ktk staili hii?
Tufanye ULOZI kuwatia adabu
 
Tukio la kusikitisha sana limetokea Kiluvya Madukani -Dar ,katika Hotel ya Rovvenpec tar.11/Nov/2024.Ikionesha watu wakimteka ndg.Deogratius Tarimo(Deo Bonge) na kumlazimisha kuingia kwenye gari .

Taarifa ya @polisi.tanzania waliyoitoa leo tar.13/Nov./2024 wanakiri kupokea taarifa ya tukio hili kutoka kwa Deo Bonge tar.11 ambapo alienda kulalamika kituo cha Polisi Gogoni-Kiluvya,Wilaya ya Ubungo. Polisi wanakiri hawawatambui watu hao ila watawakamata.

Maswali ya kujiuliza.

1.Hao watu wenye Ujasiri wa kukamata(Kumteka)mtu kwa nguvu Mchana kweupe wakiwa na pingu kama sio Polisi na kama hawana uhusiano na Polisi.Ni watu gani hawa?

2.Kwanini wakati wanamkamata(Kumteka)walikuwa wanatamka "Twende Gogoni" ambapo Gogoni ni kituo cha Polisi ,Kilichopo Kiluvya ,Wilaya ya Ubungo- Dar Kama sio Polisi na kama hawana uhusiano na Polisi. Ni watu gani hawa?.

3.Kwanini wakati wanamkamata (Kumteka) watamke kwa nguvu kwamba Sisi ni Askari,Sisi ni Askari .Ikiwa Polisi kupitia taarifa yao wamewakana kwamba hawawajui.Ni watu gani hawa wana Ujasiri kujitambulisha kama wao ni Polisi ikiwa sio Polisi?.

4.Ikiwa ukamataji ulikuwa na nia njema kama sio Kumteka,kwanini baada ya kuzidiwa nguvu waliamua kumuacha na pingu mkononi na kukimbia huku wakisema tutakukafuata.Kwanini wakimbie?.Kama sio Polisi .Ni watu gani hawa?

Kuongezeka kwa vyombo vya ukamataji tofauti na vyombo 3 kisheria ni sababu kubwa ya haya matukio kutokokea.Vyombo 3 kwa mujibu wa Sheria vyenye mamlaka ya kukamata,kupekua na kupeleleza ni POLISI,TAKUKURU na UHAMIAJI.Na ambapo ukikamatwa na Polisi unapelekwa kituo cha Polisi,Ukikamatwa na Uhamiaji unapelekwa uhamiaji,Ukikamatwa na TAKUKURU unapelekwa TAKUKURU.

Mwaka 2023 kulifanyika marekebisho ya Sheria ya Usalama wa Taifa ambapo kifungu cha 4(3) kikaruhusu Afisa wa Usalama wa Taifa kukamata mtu.Na haijulikani wapi anakupeleka.Sheria hii imeongeza mwanya wa matukio ya utekaji, inawezekana aidha kifungu cha Sheria hii kinatumika vibaya au kuna kikundi cha wahuni kinatumia mwanya wa Sheria hii kwa maslahi binafsi.

Pia Polisi kutofuata Sheria na taratibu za ukamataji,kumeongeza mwanya wa matukio haya Sababu imekuwa ni ngumu kujua nani ni Polisi nani sio Polisi. Police wameamua kupuuza utawala wa Sheria (Rule Of Law ) kupitia Sheria zinazowaongoza katika majukumu Yao ya kila siku kama ,Police Force and Auxiliary Service Act ,Cap 322 R.E 2002 , Criminal Procedure Act , Penal Code na Police General Order . Sheria zote hizi kama Police wangekuwa wanaziheshimu na kuzifuata zingetofautisha Polisi na watu wengine . Wahuni wengine wasinge kuwa na uwezo wa kujitambulisha kama ni Polisi ikiwa sio Polisi .
KaMa polisi inawakana maana yake hao watu ni majambazi hivyo siku nyingine wananchi tumsaidie muhanga kwa nguvu zote.tuache uoga!
 
Kila nikiangalia hii Video naijiwa na Hisia mbaya za Viongozi wetu. Imani imenitoka nawaombea baya lolote liwapate. Am real disappointed, at the end tungeambiwa KIFO NI KIFO TUUU!
DAwa ni kuwaroga kimya kimya......
Kwanza viongozi wa nchi hii wana laana....angalia familia zao kama hakuna TEJA kuna PUNGA
 
Back
Top Bottom