Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

GHafla nimemkumbuka KOLIMBA
Kolimba tu ... Imrani Kombe mtu ambaye ni Mkurugenzi wa Usalama Taifa polisi wakamuua tu eti walimfananisha na jambazi la magari .... Baadae wakapewa msamaha wa Rais. Matukio mengi ndio maana wanawataka fomfofelia (wanavyo waita)..... Adam Malima alitolewa AK 47 mchana kweupeee na ni mwenzao, Nape mchana kweupeee na ni mwenzao ...Hawa jamaa hovyo sana
 
Watu wanashangaa tu kama wanacheck movie badala ya kumsaidia
Mnaambiwa kila siku watz sio wakuwatetea, mwisho wa siku wanakuacha peke yako, bora ujile ugali na familia yako kuliko kupoteza muda kutetea waswahili/kondoo,

Ila nahisi hao sio askari, ndo waende na toyota Raum, itakuwa ni wahuni wametumwa kumchafulia mama utawala wake,wakamatwe haraka
 
Kwani Zakaria ni mwanaharakati!?? Si ni kiongozi mwenzao kabisa wa CCM walimfanya Nini!??
Namjuwa wapi Zakaria mimi, Mimi nimeuliza je Bonge anajihusisha na harakati au siasa? ili tuweze kuunga story labda kama wamedhulumiana huko au kuchukuliana wanawake? Bonge atokee aongee kwenye media nini kilitokea in details. itasaidia hizi tabia kukoma na watu tukajifunza kupitia kwake.
 
Tatizo ni kwamba hata maafisa polisi wa ukweli wapo wanaoenda kukamata watu wakiwa wamevaa kiraia na wanatumia magari binafsi...

Hii ni loophole ambayo wahalifu wanaweza kuitumia pia...
Na Pingu wamtoa wapi?
 
Sitaki kuamini kwamba kuna viongozi na Watanzania wenzetu wamekaa maofisini,wameamua kuipeleka nchi yetu shimoni namna hii... Kiukweli haijanitokea kwangu wala ndugu,jamaa au rafiki wa karibu lakini kila nikiona/kusikia hivyo vitendo nasisimkwa mwili.

Hivi kiukweli tumeamua kabisa ku-frame nchi yetu ktk staili hii?
Yaani kila mtu afanye anavyo taka kweli?
 
Baada ya katiba kumchangua mjing .. kutuongoza.
Haijawa leo tuongee ukweli mambo haya yalianza awamu ya 5 sana tu lakini hakuna aliyethubutu kutoka na kukemea ni awamu ya watu kupotea ilikuwa sio kawaida na wengi mpaka leo hatujui wako wapi. Ila yule mwamba hakuna aliyeweza kuhoji hakuna hata mmoja kimyaaaaaaa sio padre, sio shekh sio mwanaharakati
 
Mkuu

Huyo Fike Wilson alishawahi kuwa bingwa wa Kickboxing Tanzania enzi hizo, baadaye akahamia kwenye masumbwi (boxing) kabla hajafungua gym pale Sinza na Kinondoni...ndio huyo hapo kwenye mlango wa gari.

Upelekezi unapaswa kuanzia kwake.
Ni yupi hapo katika hao
 
Back
Top Bottom