Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

Ni kiwafanya kama tajiri Zakaria tu pyupyu wanajulikana tu ni kina nani... Walivyomkamata akamshoot tu mmoja wao pyupyuu...mara oooh Zakaria ampiga risasi Afisa usalama Mkoa wa Mara. .amelazwa hospital ya Musoma hapo ndio tulipojua kabisa watekaji ni kina Nani..hata polisi waje na maelezo gani..hawawezi kufuta hiyo kitu
 
CCM hawawezi kukemea hili ...ndio chaka lao...watafyekaje Sasa chaka lao!??
 
lakini kwa sura hizi wanaweza kutambulika, kama polisi kweli siyo wao watumie picha hizi kuwatambua, ziwekwe kwenye magazeti na matangazo ya nguvu watapatikana
 
Pamoja hayo watanzania akilivzaobzimelala yaani hapo ingekuwa nchi nyingine hao wahuni leo ugekuwa mwishobwao wachomwa kwenye hicho gari chao.
 
sura zao zimeonekana, polisi wawkamate, kama kweli sio polisi then it is simple to arrest them
 
Huyo tarimo anadili na michongo gani hapa Town?
 
Sitaki kuamini kwamba kuna viongozi na Watanzania wenzetu wamekaa maofisini,wameamua kuipeleka nchi yetu shimoni namna hii... Kiukweli haijanitokea kwangu wala ndugu,jamaa au rafiki wa karibu lakini kila nikiona/kusikia hivyo vitendo nasisimkwa mwili.

Hivi kiukweli tumeamua kabisa ku-frame nchi yetu ktk staili hii?
 
 

Attachments

  • IMG-20241113-WA0006.jpg
    127.9 KB · Views: 4
Tufanye ULOZI kuwatia adabu
 
KaMa polisi inawakana maana yake hao watu ni majambazi hivyo siku nyingine wananchi tumsaidie muhanga kwa nguvu zote.tuache uoga!
 
Kila nikiangalia hii Video naijiwa na Hisia mbaya za Viongozi wetu. Imani imenitoka nawaombea baya lolote liwapate. Am real disappointed, at the end tungeambiwa KIFO NI KIFO TUUU!
DAwa ni kuwaroga kimya kimya......
Kwanza viongozi wa nchi hii wana laana....angalia familia zao kama hakuna TEJA kuna PUNGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…