Jaribio la kumuua Trump: Kwanini aliyetoa taarifa kwa Secret Service na polisi kuwa juu ya paa kulikuwa na mtu mwenye silaha alipuuzwa?

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
3,651
Reaction score
11,548
Shuhuda huyo alitoa taarifa kwa polisi na Secret Service kuhusu shooter aliyekuwa amejificha juu ya paa akiwa na silaha.



Mahali ambapo shooter alikuwa juu ya paa na Trump alipokuwa akifanyia campaign ni mita 130 (google earth photo)


Secret Service Agents baada ya kufanikiwa kumuua shooter juu ya paa lilelile ambalo shuhuda alishatoa taarifa mapema kwamba alimuona mtu huyo lakini taarifa yake ikapuuzwa.


Wamarekani wanasema ni wakati wa mkuu wa Secret Service ajiudhuru.

Akiongea na BBC shahidi huyo aliweka wazi kuwa taarifa yake ilipuuzwa na vyombo vya usalama (Secret Service)
Your browser is not able to display this video.
 
Nnachihisi,
Secret service walimuona ila wakawa hawana uhakika na lengo lake, that's why aliposhoot nae hawakumkawiza wakamshoot maana tyr alishakua kwny range yao
Unafikiri ni kwa nini kulikuwa na delay?

Je, kama ingekuwa ni Rais Biden angekuwa kwenye campaign hiyo wangesema wasikilizie waone kwanza lengo la mtu huyo ni nini?

Kwanini mpaka risasi ipigwe ndio waanze kumshambulia?

Kwanini hawakutaka kufuatilia mapema kuhusu shooter huyo mahali alipojificha na kama ana silaha walipopewa taarifa?
 
Nnachihisi,
Secret service walimuona ila wakawa hawana uhakika na lengo lake, that's why aliposhoot nae hawakumkawiza wakamshoot maana tyr alishakua kwny range yao
Kiprotocol inapohusu ulinzi eneo hilo secret service walitakiwa wahakikishe juu ya hizo rooftops za majengo yote karibu na campaign ilikuwa inafanyika kuna ulinzi wa kutosha
 
Kiprotocol inapohusu ulinzi eneo hilo secret service walitakiwa wahakikishe juu ya hizo rooftops za majengo yote karibu na campaign ilikuwa inafanyika kuna ulinzi wa kutosha
Labda waliambiwa wawe kwenye majengo mengine isipokuwa alilokuwa gunman


Yeah hii ni protocal kwa Marekani



Hata Obama alipokuja hapa Tanzania ilikuwa hivyo pia tulijionea Secret Service Agents walivyotapakaa kwenye rooftops za majengo
 
Wabongo huwa wanadhani Secret Service ni CIA na FBI 🤣.
 
Jamaa hakupaswa kabisa kuwa na open line of sight namna hiyo.

Kulikuwa na security lapse hapo ambayo itabidi itolewe maelezo.
Halafu eti Washington Post wanasema secret service aliye muua shooter ali save a former President life. Former president alipona kwa sababu jamaa hakulenga body mass, siyo secret service. Jamaa angelenga body mass sasa hivi tungekuwa tunaimba parapanda.
 
Labda waliambiwa wawe kwenye majengo mengine isipokuwa alilokuwa gunman
Kama kuna ukweli fulani

Ukitazama huu mchoro secret service snipers walikuwa kwenye rooftops za majengo mengine

Lakini lile la shooter hawakuwepo na lipo umbali wa m 128 tu kutoka alipokuwa Trump

Head of secret service ana maswali ya kujibu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…