Jaribio la kumuua Trump: Kwanini aliyetoa taarifa kwa Secret Service na polisi kuwa juu ya paa kulikuwa na mtu mwenye silaha alipuuzwa?

Jaribio la kumuua Trump: Kwanini aliyetoa taarifa kwa Secret Service na polisi kuwa juu ya paa kulikuwa na mtu mwenye silaha alipuuzwa?

Hiyo ni kwa sababu alipita tu hapo, hakusimama wala hakushuka kwenye gari eneo hilo, ndo maana hawakushughulika na hilo jengo.
Kama angekuwa na shughuli kwenye eneo hilo mze wale jamaa wangejaa humo kila mahali🏹🏹
Nimekuelewa mkuu
 
Unafikiri ni kwa nini kulikuwa na delay?

Je, kama ingekuwa ni Rais Biden angekuwa kwenye campaign hiyo wangesema wasikilizie waone kwanza lengo la mtu huyo ni nini?

Kwanini mpaka risasi ipigwe ndio waanze kumshambulia?

Kwanini hawakutaka kufuatilia mapema kuhusu shooter huyo mahali alipojificha na kama ana silaha walipopewa taarifa?
Nimeipenda hii
 
Naona watu mshatengeneza conclusions zenu.

Yaani hili taifa watu huwa wanajiona wao ndio CIA, KGB, MOSSAD wao na bullshit kibao.

Politics ina mambo mengi sana na kila kitu kinawezekana.

Huenda ni kweli ilikuwa planned na existing gvt, huenda ni mtu tu binafsi alikuwa na sababu zake nje na hapo maana huyo ni business man, lakini pia huenda ni staged na yeye mwenyewe kuwin uchaguzi kirahisi.

Tusipende kuanza kutengeneza theory zetu na kutoa conclusion kama kawaida yetu.
Asante
 
Yaani unawalaumu wenzako kuwa waelewa sana wakati huo huo wewe mwenyewe unataka kuonekana una uelewa sana kwa unacho kuwasilisha? 😂😂😂😂
Mimi nakataa kwa mawazo yangu, haliingii akilini mwangu kwa mazingira yale kwamba alitaka kuuwawa, ile ni sanaa ya nyumba ya sanaa.
 
Back
Top Bottom