Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 2,652
- 5,242
Nimekuelewa mkuuHiyo ni kwa sababu alipita tu hapo, hakusimama wala hakushuka kwenye gari eneo hilo, ndo maana hawakushughulika na hilo jengo.
Kama angekuwa na shughuli kwenye eneo hilo mze wale jamaa wangejaa humo kila mahali🏹🏹