Jaribio la kumuua Trump: Kwanini aliyetoa taarifa kwa Secret Service na polisi kuwa juu ya paa kulikuwa na mtu mwenye silaha alipuuzwa?

Jaribio la kumuua Trump: Kwanini aliyetoa taarifa kwa Secret Service na polisi kuwa juu ya paa kulikuwa na mtu mwenye silaha alipuuzwa?

Hakuna mtu anayeweza kumess up na risasi mkuu, nakubaliana na wewe.

Pili, mpaka sasa Trump amekuwa na uwezekano mkubwa wa kushinda Urais kuliko mpinzani wake yeyote yule hasa Biden ambae anaonekana umri umemtupa.
Sikupingi
 
Sikupingi
Sasa kama Trump alishajipatia Marks nyingi kuliko Biden, kulikuwa na haja gani ya yeye kustage kifo? Haiwezekani mkuu, wanaosema jamaa amejichorea hii ramani nawakatalia.

Ajichoree ramani kwa upinzani gani hasa aliona nao? Aweke rehani maisha ya watu wengine wawili, tena yamkini ingekuwa zaidi. Hapana kwa kweli.
 
Nnachohisi,
Secret service walimuona ila wakawa hawana uhakika na lengo lake, that's why aliposhoot nae hawakumkawiza wakamshoot maana tayari alishakuwa kwenye range yao
Duh!.... hatari hii.....basi jamaa angeweza kumuua Trump huku Secret service wakimshangaa tu
 
Utajaza mwenyewe:
IMG-20240715-WA0028.jpg
 
Halafu eti Washington Post wanasema secret service aliye muua shooter ali save a former President life. Former president alipona kwa sababu jamaa hakulenga body mass, siyo secret service. Jamaa angelenga body mass sasa hivi tungekuwa tunaimba parapanda.
Aliwahiwa kuuliwa,kama wasingemuwahi angemimina risasi nyingi zaidi. wathington pots wako sahihi kabisa,sema wabongo tunajifanyaga tunajua kukosoa sana.
 
Aliwahiwa kuuliwa,kama wasingemuwahi angemimina risasi nyingi zaidi. wathington pots wako sahihi kabisa,sema wabongo tunajifanyaga tunajua kukosoa sana.
Hakuna cha wabongo wala nini ile ni sanaa kama movie zao tunazoangalia kila siku., Wale walijipanga tu, akaigiza wakammaliza, siyo kwamba walimuwahi. Ni uongo na Ujinga tu kujidai mnaelewa sana.
 
Ob

Obama alipokuja,akipita morroco...nilikua Airtel Lile jengo,sikuona jengo likiangaliwa
Hiyo ni kwa sababu alipita tu hapo, hakusimama wala hakushuka kwenye gari eneo hilo, ndo maana hawakushughulika na hilo jengo.
Kama angekuwa na shughuli kwenye eneo hilo mze wale jamaa wangejaa humo kila mahali🏹🏹
 
Hakuna cha wabongo wala nini ile ni sanaa kama movie zao tunazoangalia kila siku., Wale walijipanga tu, akaigiza wakammaliza, siyo kwamba walimuwahi. Ni uongo na Ujinga tu kujidai mnaelewa sana.
Yaani unawalaumu wenzako kuwa waelewa sana wakati huo huo wewe mwenyewe unataka kuonekana una uelewa sana kwa unacho kuwasilisha? 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom