Una akili sanaNnachihisi,
Secret service walimuona ila wakawa hawana uhakika na lengo lake, that's why aliposhoot nae hawakumkawiza wakamshoot maana tyr alishakua kwny range yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una akili sanaNnachihisi,
Secret service walimuona ila wakawa hawana uhakika na lengo lake, that's why aliposhoot nae hawakumkawiza wakamshoot maana tyr alishakua kwny range yao
😅Kwa hiyo walitaka jamaa a shoot kwanza ndio wajue lengo lake.
CIA wanahusikaje na usalama wa ndani ya nchi?Kama ni kweli mamlaka za usalama hususani CIA hawamtaki basi asahau kurudi white house....
CIA wana power kubwa sana juu ya nani anatakiwa kuingia white house unless otherwise hizi ziwe ni nadharia tu na sio uhalisia.
Kwenye hilo jimbo ni ruhusa raia kutembea na bunduki.Dah blaza umetoa point hafifu Sana ,..Yan mtu apande just ya bati na bunduki then useme wamemuacha kwasababu hawakujua lengo...lake je Kama Trump angeuwawa ingekuaje ?..je secret service wametumwa na Biden?
CIA wanahusika na mambo ya nje, FBI wanahusika na mambo ya ndani, lakini hizi idara mbili lazima zifanye kazi kwa pamoja kwasababu zote zina interest moja kubwa inayofanana, kulinda maslahi ya taifa la Marekani nje na ndani ya mipaka ya taifa lao.CIA wanahusikaje na usalama wa ndani ya nchi?
Uzi ufungwee!!
Secret Service wana mafunzo maalum ya kumdhibiti mtu wa aina hiyo ya wauaji.Nnachihisi,
Secret service walimuona ila wakawa hawana uhakika na lengo lake, that's why aliposhoot nae hawakumkawiza wakamshoot maana tyr alishakua kwny range yao
Pennsylvania ni jimbo lijulikanalo kama "swing state" yaani wapiga kura wana uwezo wa kuhamisha kura kwenda kwa mgombea yoyote yule hivyo ni jimbo la mwisho la kulipigania kwenye kampeni.Najiuliza inakuwaje, mwananchi amuone sniper yule zaidi ya dakika mbili na kureport kwa wanausalama wampotezee wakati huyu sniper waliyemuua huyo dogo alikuwa juu ya bati kwenye view nzuri ya kumuona huyo dogo muda mrefu tu. Kuna wakati kazi zikifanyika kwa mazoea madhara yanaweza kuwa makubwa.
wangefanyaje kumkamata bila kumshoot ?bila kusahau wangedhidi kumlemba angeanza wapunguza kama Hamzakwanini tusiongeze hisia kwamba wamemuua kujisafisha/kufuta ushahidi.
Ingekuwa ni battle ya kutupiana risasi hadi kieleweke.wangefanyaje kumkamata bila kumshoot ?bila kusahau wangedhidi kumlemba angeanza wapunguza kama Hamza
Haaaa hapo siyo Biden na chama chake tu ....bali yupo Zelensky na ukraine...bwana Zelensky anajua vizuri kuwa trump hawezi kuangaika na ukrain dhidi ya mrussi ..hivyo inawezekana tukio ilo ni kutokea ukraine pia.
Suala si Trump kubadili msimamo wa nchi, bali suala ni kwamba Democrats ni lazima waendeleze vita ya Ukraine.mnahisi Trump anaeza badili msimamo wa nchi ? au mnahisi haya yanayotokea ni maamuzi ya Biden ? ukute hata Biden anaogopa sana haya yanayoendelea , wananchi wa mataifa ya magharibi sio wanyonge kama nyiny watz waoga wa virungu , kwao ni aibu taifa lao kukubali kushindwa kizembe , hurudi madarakani kama rais , ndio maana Putin anajikaza licha ya hali ngumu anayopitia
Aliwaambia polisi kwamba Kuna mtu ana bunduki anapanda paa,zingatia polisi
Kwanza hawana kazi ya kupewa taarifa,huo umbali ni mfupi sana kwa timu yote ya usalama wake kutohakikisha wanakagua mazingira yote kabla. Nchi zote ni yale yale,kasoro media tuuuUnafikiri ni kwa nini kulikuwa na delay?
Je, kama ingekuwa ni raisi Biden angekuwa kwenye campaign hiyo wangesema wasikilizie waone kwanza lengo la mtu huyo ni nini?
Kwa nini mpaka risasi ipigwe ndio waanze kumshambulia?
Kwa nini hawakutaka kufuatilia mapema kuhusu shooter huyo mahali alipojificha na kama ana silaha walipopewa taarifa?
Ww jamaa bhana 😂😂 ety wakawa hawana uhakika wa lengo lake 😂Nnachihisi,
Secret service walimuona ila wakawa hawana uhakika na lengo lake, that's why aliposhoot nae hawakumkawiza wakamshoot maana tyr alishakua kwny range yao