Jaribio la kumuua Trump: Kwanini aliyetoa taarifa kwa Secret Service na polisi kuwa juu ya paa kulikuwa na mtu mwenye silaha alipuuzwa?

Jaribio la kumuua Trump: Kwanini aliyetoa taarifa kwa Secret Service na polisi kuwa juu ya paa kulikuwa na mtu mwenye silaha alipuuzwa?

Kwa nini majengo mengine Secret Service Snipers walikuwa juu yake isipokuwa alilokuwa shooter ambalo liko umbali wa mita 13 tu na alipokuwa Trump?

Kwa nini walipuuza taarifa za shahidi kuwa wamemuona mtu ana silaha yuko juu ya jengo (rooftop)?
Mita 13!?.. maana yake alikua mkutanoni,dogo alikua yard 130,takribani 130m
 
Shuhuda huyo alitoa taarifa kwa polisi na Secret Service kuhusu shooter aliyekuwa amejificha juu ya paa akiwa na silaha.

View attachment 3041839

Mahali ambapo shooter alikuwa juu ya paa na Trump alipokuwa akifanyia campaign ni mita 130 (google earth photo)

View attachment 3041840
Secret Service Agents baada ya kufanikiwa kumuua shooter juu ya paa lilelile ambalo shuhuda alishatoa taarifa mapema kwamba alimuona mtu huyo lakini taarifa yake ikapuuzwa.

Wamarekani wanasema ni wakati wa mkuu wa Secret Service ajiudhuru.

Akiongea na BBC shahidi huyo aliweka wazi kuwa taarifa yake ilipuuzwa na vyombo vya usalama (Secret S
Hapo Kuna mawili

labda hao secret service Kama lilivyo jina lao. Wanaweza wakawa kwa makusudi wameamua kumtengenezea njia trump to be president "

Au labda trump mwenyewe ndio katengeneza huo mchezo kusudi apite kwa ulaisi zaidi dhidi ya mpinzani wake
 
Mzee umesona kazi zao Secret Service vizuri?

Walipopewa taarifa kwa nini hawakuifanyia kazi?
Walipewa na nani!?..kupitia BBC, secret service mstaafu kasema Wana layers tatu za ulinzi kwenye situation Kama hiyo,later ya kwanza nje kabisa ni ya polisi wa Jimbo husika,raia walitoa taarifa kwa polisi na si secret service,ni polisi ndiyo waliozembea ku-relay info kwa secret service au Kama Wana jurisdiction ya intervene basi walichelewa kufanya hivyo
 
Hapo Kuna mawili

labda hao secret service Kama lilivyo jina lao. Wanaweza wakawa kwa makusudi wameamua kumtengenezea njia trump to be president "

Au labda trump mwenyewe ndio katengeneza huo mchezo kusudi apite kwa ulaisi zaidi dhidi ya mpinzani wake
Bila kukigeuza kichwa ile risasi ilikuwa imuue, kusema Trump mwenyewe alipanga ni ngumu kukubaliana nawe
 
Walipewa na nani!?..kupitia BBC, secret service mstaafu kasema Wana layers tatu za ulinzi kwenye situation Kama hiyo,later ya kwanza nje kabisa ni ya polisi wa Jimbo husika,raia walitoa taarifa kwa polisi na si secret service,ni polisi ndiyo waliozembea ku-relay info kwa secret service au Kama Wana jurisdiction ya intervene basi walichelewa kufanya hivyo
Katazame video ya shuhuda msikilize kwa makini
 
lakini pia huenda ni staged na yeye mwenyewe kuwin uchaguzi kirahisi.
Hivi (ukiondoa mtu anayetaka kujiua) kuna mtu anaweza ku stage tukio la kuhatatrisha uhai wake kwa kulengwa risasi maeneo hatari kama kichwani kweli?!

Hata tukio la Lissu ripoti za ccm (chama cha mambuzi) zilitanabahisha kuwa lilikuwa staged na Lissu mwenyewe!

Kwa ninavyoufahamu mtiti wa risasi sidhani kama kuna mtu wa kuiletea masikhara akiwa bado anautaka ugali. Kama inawezekana basi kuna watu duniani wana mioyo migumu sana!
 
Watakuwa walikuwa wana crow kumfikia wamkamate akiwa hai wamuhoji akawahi kuminya trigger akavuruga mpango wakaamua nayeye wamdungue tu sasa....Muhalifu anafikira na Secret Service wanafikra pia,wote binadamu...Au...
 
Back
Top Bottom