Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #81
24hrs kabla walifanya hivyo according to fbi
Kwa nini majengo mengine Secret Service Snipers walikuwa juu yake isipokuwa alilokuwa shooter ambalo liko umbali wa mita 130 tu na alipokuwa Trump?
Kwa nini walipuuza taarifa za shahidi kuwa wamemuona mtu ana silaha yuko juu ya jengo (rooftop)?
Kwa nini walipuuza taarifa za shahidi kuwa wamemuona mtu ana silaha yuko juu ya jengo (rooftop)?