Jaribio la kumuua Trump: Nani wahusika? Kwanini?

Jaribio la kumuua Trump: Nani wahusika? Kwanini?

Hili jaribio la kumuua Trump akiwa katika kampeni linafikirisha sana.

Madhara ya kumuua Trump akiwa katika kampeni yangekuwa makubwa sana, kifo cha Trump kingeweza kupelekea machafuko makubwa sana ndani ya Marekani, pengine ingeweza kupelekea kutokea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe (Civil war).

Nani muhusika wa mpango huu wa kumuua Trump, ni Marekani wenyewe? Kama ni Marekani wenyewe, ina maana walikuwa tayari kupokea madhara ya kumuua Trump ikiwemo Civil war? Sitaki kuamini kama Wamarekani ni wajinga kiasi hiki.

Au inawezekana kuna mkono wa nje katika mpango huu wa kumuua Trump, ebu tujaribu kufikiri ni nani angekuwa mnufaika mkubwa endapo Marekani ingeingia katika “Civil war”?​
Hii inaweza ikawa imefsnywa na Russia, au ni stage managed na Trump mwenyewe,ili kujipatia symapathy votes"
 
Hili jaribio la kumuua Trump akiwa katika kampeni linafikirisha sana.

Madhara ya kumuua Trump akiwa katika kampeni yangekuwa makubwa sana, kifo cha Trump kingeweza kupelekea machafuko makubwa sana ndani ya Marekani, pengine ingeweza kupelekea kutokea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe (Civil war).

Nani muhusika wa mpango huu wa kumuua Trump, ni Marekani wenyewe? Kama ni Marekani wenyewe, ina maana walikuwa tayari kupokea madhara ya kumuua Trump ikiwemo Civil war? Sitaki kuamini kama Wamarekani ni wajinga kiasi hiki.

Au inawezekana kuna mkono wa nje katika mpango huu wa kumuua Trump, ebu tujaribu kufikiri ni nani angekuwa mnufaika mkubwa endapo Marekani ingeingia katika “Civil war”?​
Kuna wapumbavu humu watesema Hamas.
 
nasikia ni CCM
 
Hili tukio unaweza kuta hawa wao wenyewe ndani ya kundi la Trump wamelitengeneza kuwapa more step. But liwe ni kutoka nje au ndani ya kundi ya Biden tayari limempa urais Trump na kura zitakuwa za kutosha sana.

Ni kwamba watu tayari wana majonzi na huruma so akiwa na afya njema akarudi kwenye kampeni hata asiyekuwa na mpango kumuona au kusikiliza atasogea.

Ndipo hapo hotuba ya hostage ikiwa yenye mvuto na kunasa mpiga kura, ndipo hapo America inafunguka anapewa kiti for the second term.
Wewe unatumia nini kufikiria, je kama ngefanikiwa kumuua ?

Hata ukiangalia zile video jinsi tukio lilivyotokea haingii akilini.
 
Ni mapema mno kusema nani anahusika na motive yake ilikuwa Nini
Kuna watu hawakubaluani na misimamo yake hasa Mambo ya ushoga, utoaji mimba na wahamihaji haramu.
Kuna watu hawakubaluani na misimamo yake Kama Vita vya Ukraine na mtazamo wake kuhusu nato hasa kuhusu michanfo na uwajibikaji wa nchi hizo.
Kuna baadhi ya watumishi wa vyombo vya usalama hasa fbi Wana hofu na wamesema waziwazi kuwa Trump akirudi madarakani anaweza kuwalipizia kisasi.
Tukio Hilo halina mkono wa Biden Wala mkono kutoka nje kumshambulia mgombea urais wa marekani hakutaongeza kura za Biden na Kama nchi ya nje inahusika ni meanzo wa vita kubwa. .
Wahusika ni watu wa marekani wasiokubaliana na sera na misimano yake.
Haha umesema ni mapema mno kujua mhusika lakini at the end of your comment umemalizia kwa kusema ni wakina nani ndio wahusika😆😆. It's too early to catch the lion tail
 
Nimekuelewa sana mkongwe, asante!
Vipi kama jamaa aliyemshambulia Trump angefanikiwa katika jaribio lake, unadhani nini kingetokea?
Pia nini mtazamo wako baada ya tukio hili la leo, tukio hili litakuwa na impact yoyote katika uchaguzi unaokuja wa Marekani?
Lazima kungetokea machafuko na rais wa marekani angekuwa mlengwa mkuu. Kuna watu huwa na ajenda zao hivyo wangetumia fursa hii kutimiza ajenda zao kumbuka huyu mgombea ana ushawishi mkubwa.
Impact yake kwenye uchaguzi ipo huwa Kuna kura za huruma ndio maana Kuna wagombea huwa wanatengeneza matukio Kama hayo kupata kura za huruma au kubadilisha mtazamo wa wapiga kura.
Haha umesema ni mapema mno kujua mhusika lakini at the end of your comment umemalizia kwa kusema ni wakina nani ndio wahusika😆😆. It's too early to catch the lion tail
Hakuna sehemu niliyotaja wahusika Bali nimeorodhesha watu wanaohisiwa kuhusika..
 
American Will fall kwa CIVIL WAR.
so kama hili la Trump ilikuwa nia ni hiyo or not. watapata tu nafasi ya kutrigger civil war but hiyo itakuja when uchumi wao ukianza kuyumba.
Haitakuja kutokea USA ikayumba kwa uchumi hadi Yesu anarudi. Semeni mengine na sio uchumi
 
Tatizo nchi yao ina vigenge kibao vya watu wenye silaha. Watu wengi wako tayari kutetea misimamo yao si kwa hoja bali silaha. Kuna extremist wa mrengo wa kushoto na wa kulia. Wote wako tayari kubeba silaha. Nchi ina bunduki nyingi kuliko idadi ya watu.
 
Huy dogo hajatumwa na mtu.
ni kijana tu mwenye hisia tofauti na Trump so kaamua kumaliza mwenyewe. ni kama wale wanaopiga wenzao shuleni.
ila kama kuna waliomtuma then ni kwa ajili ya kutengeneza división ili civil war iwe rahisi kadri wanavyopanga
 
Tukio la mchongo hilo eti risasi imemkwaruza sikio. Wamemchanja na kakiwembe jamaa zske
 
Back
Top Bottom