Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unaichukulia Marekani kama Mexico au Haiti mkuu? Marekani imejengwa kwa very strong institutions na vyombo vya usalama vinavyoreport kuanzia kwenye mamlaka ya jimbo mpaka serikali kuu. Embu nitajie nchi yenye idara nyingi za usalama wa ndani na nje zaidi ya marekani?Tatizo nchi yao ina vigenge kibao vya watu wenye silaha. Watu wengi wako tayari kutetea misimamo yao si kwa hoja bali silaha. Kuna extremist wa mrengo wa kushoto na wa kulia. Wote wako tayari kubeba silaha. Nchi ina bunduki nyingi kuliko idadi ya watu.