Jaribio la kumuua Trump: Nani wahusika? Kwanini?

Hii inaweza ikawa imefsnywa na Russia, au ni stage managed na Trump mwenyewe,ili kujipatia symapathy votes"
 
Kuna wapumbavu humu watesema Hamas.
 
nasikia ni CCM
 
Wewe unatumia nini kufikiria, je kama ngefanikiwa kumuua ?

Hata ukiangalia zile video jinsi tukio lilivyotokea haingii akilini.
 
Haha umesema ni mapema mno kujua mhusika lakini at the end of your comment umemalizia kwa kusema ni wakina nani ndio wahusika😆😆. It's too early to catch the lion tail
 
Lazima kungetokea machafuko na rais wa marekani angekuwa mlengwa mkuu. Kuna watu huwa na ajenda zao hivyo wangetumia fursa hii kutimiza ajenda zao kumbuka huyu mgombea ana ushawishi mkubwa.
Impact yake kwenye uchaguzi ipo huwa Kuna kura za huruma ndio maana Kuna wagombea huwa wanatengeneza matukio Kama hayo kupata kura za huruma au kubadilisha mtazamo wa wapiga kura.
Haha umesema ni mapema mno kujua mhusika lakini at the end of your comment umemalizia kwa kusema ni wakina nani ndio wahusika😆😆. It's too early to catch the lion tail
Hakuna sehemu niliyotaja wahusika Bali nimeorodhesha watu wanaohisiwa kuhusika..
 
American Will fall kwa CIVIL WAR.
so kama hili la Trump ilikuwa nia ni hiyo or not. watapata tu nafasi ya kutrigger civil war but hiyo itakuja when uchumi wao ukianza kuyumba.
Haitakuja kutokea USA ikayumba kwa uchumi hadi Yesu anarudi. Semeni mengine na sio uchumi
 
Tatizo nchi yao ina vigenge kibao vya watu wenye silaha. Watu wengi wako tayari kutetea misimamo yao si kwa hoja bali silaha. Kuna extremist wa mrengo wa kushoto na wa kulia. Wote wako tayari kubeba silaha. Nchi ina bunduki nyingi kuliko idadi ya watu.
 
Huy dogo hajatumwa na mtu.
ni kijana tu mwenye hisia tofauti na Trump so kaamua kumaliza mwenyewe. ni kama wale wanaopiga wenzao shuleni.
ila kama kuna waliomtuma then ni kwa ajili ya kutengeneza división ili civil war iwe rahisi kadri wanavyopanga
 
Tukio la mchongo hilo eti risasi imemkwaruza sikio. Wamemchanja na kakiwembe jamaa zske
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…