Jaribio la kunidhuru limeshindikana ashukuriwe Mungu

Hii ni tofauti mkuu, vyupa vinatoka wapi kwenye supu, ingekuwa kinywaji hapo sawa useme labda chupa imevunjika bahati mbaya wakati wa kufungua, hiyo ilikusudiwa.

Ni kuongeza umakini. hali si hali binadamu hawaaminiki tena.
Hivi chupa ni sumu?, Nijuavyo inaweza kukuletea vidonda tumbo , labda utafune gram za kutosha sana za chupa
 
Ulikua una pesa au ugomvi nao kwamba walikudhamilia mkuu ?
 
Jinsi ulivyoleta swala ni kama watu walipanga plan wakudhuru.....!!!?
kumbe unaweza kukuta watu ni wazembe walishindwa kukagua chakula chao vizuri....
 
Jinsi ulivyoleta swala ni kama watu walipanga plan wakudhuru.....!!!?
kumbe unaweza kukuta watu ni wazembe walishindwa kukagua chakula chao vizuri....
Pole ndugu yangu inaelekea uzembe wa wapishi lakini Mungu anakupenda sana kukuepusha na umauti
 
Mambo ya Sumbawanga tu hayo...huku town hakuna kabisa
 
Hii ni tofauti mkuu, vyupa vinatoka wapi kwenye supu, ingekuwa kinywaji hapo sawa useme labda chupa imevunjika bahati mbaya wakati wa kufungua, hiyo ilikusudiwa.

Ni kuongeza umakini. hali si hali binadamu hawaaminiki tena.
Hukumuuliza muhudumu kwanini alitaka kukuua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…