Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Hawajakamatwa ila wanajulikana woteDah aisee pole sana. Vipi wamekamatwa? Ni wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajakamatwa ila wanajulikana woteDah aisee pole sana. Vipi wamekamatwa? Ni wapi?
Kwa nini iwe ni CCM na isiwe CHADEMA ama vyengine?!!!
Huo mgahawa unamilikiwa na mwana Lumumba?Wakuu,
Bado sijarejea rasmi hapa jamvini ila nipende tu kuwataarifu kuwa nipo na naendelea na majukumu yangu ya kila siku.
Siku kadhaa zilizopita ndipo nilipokutana na msukosuko wa aina yake.
Ilikua siku ya jumapili nikiwa najiandaa kwenda ibadani, nikaona nipitie kwenye moja ya mgahawa maarufu hapa mjini ambao kwa kweli pale mimi huwa ni regular customer na huwa nina wahudumu wawili ambao hao ndio tumezoeana sana.
Sasa siku hiyo ya tukio akanipokea mhudumu kama kawaida yake kwa tabasamu pana na salamu.
Nikaagiza kifungua kinywa.
Wakati natafuna nimeze lahaula nasikia vitu vikivunjikia mdomoni, nikaona niteme looh natoa mdomoni vipande vya chupa na ili kuhakiki kama kile kilikuwa chupa nikaona nikiminye nikaishia kukatwa mkono wangu.
Kuangalia ndani ya chakula looh, vyupa vimejaa.
Tangu siku hiyo ya tukio nikiwa mjini nakunywa maji tu. Mambo mengine yote nyumbani.
Wakuu kuweni makini sana na mii mgahawa na hakikisheni hamuwi wateja wa kudumu mahali.
Asanteni. Weekend njema.
Na awamu hii wanawindana kama njiwa pori yaniKawaida yenu ccm kuuana😁
Maji ya mtaro hayo kama sio mto msimbaziNilikunywa juise ya Nana's kwenye kitoroli kariakoo tumbo lilianza kureact palepele kwa kupiga ngurumo kama za radi na ziliendelea kwa siku hiyo Hadi kesho yake, nahisi lilikuwa jaribio Kali sana la kuniondoa kabisa
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - KikweteWakuu,
Bado sijarejea rasmi hapa jamvini ila nipende tu kuwataarifu kuwa nipo na naendelea na majukumu yangu ya kila siku.
Siku kadhaa zilizopita ndipo nilipokutana na msukosuko wa aina yake.
Ilikua siku ya jumapili nikiwa najiandaa kwenda ibadani, nikaona nipitie kwenye moja ya mgahawa maarufu hapa mjini ambao kwa kweli pale mimi huwa ni regular customer na huwa nina wahudumu wawili ambao hao ndio tumezoeana sana.
Sasa siku hiyo ya tukio akanipokea mhudumu kama kawaida yake kwa tabasamu pana na salamu.
Nikaagiza kifungua kinywa.
Wakati natafuna nimeze lahaula nasikia vitu vikivunjikia mdomoni, nikaona niteme looh natoa mdomoni vipande vya chupa na ili kuhakiki kama kile kilikuwa chupa nikaona nikiminye nikaishia kukatwa mkono wangu.
Kuangalia ndani ya chakula looh, vyupa vimejaa.
Tangu siku hiyo ya tukio nikiwa mjini nakunywa maji tu. Mambo mengine yote nyumbani.
Wakuu kuweni makini sana na mii mgahawa na hakikisheni hamuwi wateja wa kudumu mahali.
Asanteni. Weekend njema.
Hujaeleweka, alikuwekea nani sasa? Mhudumu au? Na je, ulishawahi kugombana naye kabla? Hebu weka wazi mbona unaficha ficha vitu?Wakuu,
Bado sijarejea rasmi hapa jamvini ila nipende tu kuwataarifu kuwa nipo na naendelea na majukumu yangu ya kila siku.
Siku kadhaa zilizopita ndipo nilipokutana na msukosuko wa aina yake.
Ilikua siku ya jumapili nikiwa najiandaa kwenda ibadani, nikaona nipitie kwenye moja ya mgahawa maarufu hapa mjini ambao kwa kweli pale mimi huwa ni regular customer na huwa nina wahudumu wawili ambao hao ndio tumezoeana sana.
Sasa siku hiyo ya tukio akanipokea mhudumu kama kawaida yake kwa tabasamu pana na salamu.
Nikaagiza kifungua kinywa.
Wakati natafuna nimeze lahaula nasikia vitu vikivunjikia mdomoni, nikaona niteme looh natoa mdomoni vipande vya chupa na ili kuhakiki kama kile kilikuwa chupa nikaona nikiminye nikaishia kukatwa mkono wangu.
Kuangalia ndani ya chakula looh, vyupa vimejaa.
Tangu siku hiyo ya tukio nikiwa mjini nakunywa maji tu. Mambo mengine yote nyumbani.
Wakuu kuweni makini sana na mii mgahawa na hakikisheni hamuwi wateja wa kudumu mahali.
Asanteni. Weekend njema.
"CCM hawaachiani maji mezani" - Jakaya M. KKawaida yenu ccm kuuana[emoji16]
Wakuu,

Huyu tena ashukuru yeye aliwekewa chupa , Mangula alitiliwa sumu , uthibitisho aliutoa Lazaro Mambosasa"CCM hawaachiani maji mezani" - Jakaya M. K
Huyu kilichomponza ni kuongea ongea sana enzi za jiwe akidhani atalindwa mileleWatakuwa wana CCM wenzio hao.
Ya Kolimba, Mwakyembe, jiwe, Mangula tulishayasikia. Membe naye akapotelea kwenye hotel isiyojulikana.
Kazi kweli kweli.
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
Mytake - mlionywa kwamba wakishawamaliza wapinzani mnaofuatia ni nyinyi dada zao
Unapigania ccm miaka na miaka halafu U- DC anapewa Lijuakali na Niki wa pili , hata ungekuwa wewe ungejisikiaje ?Ndiyo maana wengi wao hata humu jamvini wameadimika.
Kama wapo basi wana viji ID mukide mukide vya post March 17.
Wacha uwongo wako kijana.....unasema wamekuwekea vipande vya chupa ili wakuue si ndiyo? Sasa ulishindwa nini kujulisha polisi na huyo aliyekuletea hivyo vitu?Wakuu,
Bado sijarejea rasmi hapa jamvini ila nipende tu kuwataarifu kuwa nipo na naendelea na majukumu yangu ya kila siku.
Siku kadhaa zilizopita ndipo nilipokutana na msukosuko wa aina yake.
Ilikua siku ya jumapili nikiwa najiandaa kwenda ibadani, nikaona nipitie kwenye moja ya mgahawa maarufu hapa mjini ambao kwa kweli pale mimi huwa ni regular customer na huwa nina wahudumu wawili ambao hao ndio tumezoeana sana.
Sasa siku hiyo ya tukio akanipokea mhudumu kama kawaida yake kwa tabasamu pana na salamu.
Nikaagiza kifungua kinywa.
Wakati natafuna nimeze lahaula nasikia vitu vikivunjikia mdomoni, nikaona niteme looh natoa mdomoni vipande vya chupa na ili kuhakiki kama kile kilikuwa chupa nikaona nikiminye nikaishia kukatwa mkono wangu.
Kuangalia ndani ya chakula looh, vyupa vimejaa.
Tangu siku hiyo ya tukio nikiwa mjini nakunywa maji tu. Mambo mengine yote nyumbani.
Wakuu kuweni makini sana na mii mgahawa na hakikisheni hamuwi wateja wa kudumu mahali.
Asanteni. Weekend njema.
Bahati mbaya tuu Mkuu ondoa imani potofu wakudhuru ili iweje kwa kula supu tuu na maharage chapati...Hii ni tofauti mkuu, vyupa vinatoka wapi kwenye supu, ingekuwa kinywaji hapo sawa useme labda chupa imevunjika bahati mbaya wakati wa kufungua, hiyo ilikusudiwa.
Ni kuongeza umakini. hali si hali binadamu hawaaminiki tena.