Jaribio la kunidhuru limeshindikana ashukuriwe Mungu

Wakuu,

Bado sijarejea rasmi hapa jamvini ila nipende tu kuwataarifu kuwa nipo na naendelea na majukumu yangu ya kila siku.

Siku kadhaa zilizopita ndipo nilipokutana na msukosuko wa aina yake.

Ilikua siku ya jumapili nikiwa najiandaa kwenda ibadani, nikaona nipitie kwenye moja ya mgahawa maarufu hapa mjini ambao kwa kweli pale mimi huwa ni regular customer na huwa nina wahudumu wawili ambao hao ndio tumezoeana sana.

Sasa siku hiyo ya tukio akanipokea mhudumu kama kawaida yake kwa tabasamu pana na salamu.

Nikaagiza kifungua kinywa.

Wakati natafuna nimeze lahaula nasikia vitu vikivunjikia mdomoni, nikaona niteme looh natoa mdomoni vipande vya chupa na ili kuhakiki kama kile kilikuwa chupa nikaona nikiminye nikaishia kukatwa mkono wangu.

Kuangalia ndani ya chakula looh, vyupa vimejaa.

Tangu siku hiyo ya tukio nikiwa mjini nakunywa maji tu. Mambo mengine yote nyumbani.

Wakuu kuweni makini sana na mii mgahawa na hakikisheni hamuwi wateja wa kudumu mahali.

Asanteni. Weekend njema.
Huo mgahawa ni mali ya kada wa ccm
 
Duh, watu nao jamani! Sasa wanataka kuua hii kiumbe ya CCM ya kazi gani?
 
Hongera mkuu unameno ya kama ya fisi. Uliweza kutafuna na kuvunja vyupa. Daah!

Meno ya fisi hard bones (mifupa migumu) yote unayojua na hii ni kwa sababu wamejaaliwa kuna hard jaw kupita manyama wote unao wafahamu…
 
Ulitembea na mke wa mtu?
Wakuu,

Bado sijarejea rasmi hapa jamvini ila nipende tu kuwataarifu kuwa nipo na naendelea na majukumu yangu ya kila siku.

Siku kadhaa zilizopita ndipo nilipokutana na msukosuko wa aina yake.

Ilikua siku ya jumapili nikiwa najiandaa kwenda ibadani, nikaona nipitie kwenye moja ya mgahawa maarufu hapa mjini ambao kwa kweli pale mimi huwa ni regular customer na huwa nina wahudumu wawili ambao hao ndio tumezoeana sana.

Sasa siku hiyo ya tukio akanipokea mhudumu kama kawaida yake kwa tabasamu pana na salamu.

Nikaagiza kifungua kinywa.

Wakati natafuna nimeze lahaula nasikia vitu vikivunjikia mdomoni, nikaona niteme looh natoa mdomoni vipande vya chupa na ili kuhakiki kama kile kilikuwa chupa nikaona nikiminye nikaishia kukatwa mkono wangu.

Kuangalia ndani ya chakula looh, vyupa vimejaa.

Tangu siku hiyo ya tukio nikiwa mjini nakunywa maji tu. Mambo mengine yote nyumbani.

Wakuu kuweni makini sana na mii mgahawa na hakikisheni hamuwi wateja wa kudumu mahali.

Asanteni. Weekend njema.
 
Wakuu,

Bado sijarejea rasmi hapa jamvini ila nipende tu kuwataarifu kuwa nipo na naendelea na majukumu yangu ya kila siku.

Siku kadhaa zilizopita ndipo nilipokutana na msukosuko wa aina yake.

Ilikua siku ya jumapili nikiwa najiandaa kwenda ibadani, nikaona nipitie kwenye moja ya mgahawa maarufu hapa mjini ambao kwa kweli pale mimi huwa ni regular customer na huwa nina wahudumu wawili ambao hao ndio tumezoeana sana.

Sasa siku hiyo ya tukio akanipokea mhudumu kama kawaida yake kwa tabasamu pana na salamu.

Nikaagiza kifungua kinywa.

Wakati natafuna nimeze lahaula nasikia vitu vikivunjikia mdomoni, nikaona niteme looh natoa mdomoni vipande vya chupa na ili kuhakiki kama kile kilikuwa chupa nikaona nikiminye nikaishia kukatwa mkono wangu.

Kuangalia ndani ya chakula looh, vyupa vimejaa.

Tangu siku hiyo ya tukio nikiwa mjini nakunywa maji tu. Mambo mengine yote nyumbani.

Wakuu kuweni makini sana na mii mgahawa na hakikisheni hamuwi wateja wa kudumu mahali.

Asanteni. Weekend njema.
Sishangai Mtu mwovu kama wewe kutafuna chupa maana Mungu alitaka kukuonesha umuhimu wa uhai aliompa binafamu àmbao wewe unashabikia Kila siku uhai wa wenzio utolewe, ninachishangaa ni wewe kwenda Kanisani kudanganya Umma wewe ni mwema kumbe kiuhalisia ni Wakala wa Ibilisi. Na usipomrudia Mungu na kuendelea kuwa Wakala wa utoaji roho zisizo na hatia, hakika "ATAITAKA ROHO YAKO".
 
Ukiwa muovu hayo ni mambo ya kawaida kukupata
Wakuu,

Bado sijarejea rasmi hapa jamvini ila nipende tu kuwataarifu kuwa nipo na naendelea na majukumu yangu ya kila siku.

Siku kadhaa zilizopita ndipo nilipokutana na msukosuko wa aina yake.

Ilikua siku ya jumapili nikiwa najiandaa kwenda ibadani, nikaona nipitie kwenye moja ya mgahawa maarufu hapa mjini ambao kwa kweli pale mimi huwa ni regular customer na huwa nina wahudumu wawili ambao hao ndio tumezoeana sana.

Sasa siku hiyo ya tukio akanipokea mhudumu kama kawaida yake kwa tabasamu pana na salamu.

Nikaagiza kifungua kinywa.

Wakati natafuna nimeze lahaula nasikia vitu vikivunjikia mdomoni, nikaona niteme looh natoa mdomoni vipande vya chupa na ili kuhakiki kama kile kilikuwa chupa nikaona nikiminye nikaishia kukatwa mkono wangu.

Kuangalia ndani ya chakula looh, vyupa vimejaa.

Tangu siku hiyo ya tukio nikiwa mjini nakunywa maji tu. Mambo mengine yote nyumbani.

Wakuu kuweni makini sana na mii mgahawa na hakikisheni hamuwi wateja wa kudumu mahali.

Asanteni. Weekend njema.
 
Wakuu,

Bado sijarejea rasmi hapa jamvini ila nipende tu kuwataarifu kuwa nipo na naendelea na majukumu yangu ya kila siku.

Siku kadhaa zilizopita ndipo nilipokutana na msukosuko wa aina yake.

Ilikua siku ya jumapili nikiwa najiandaa kwenda ibadani, nikaona nipitie kwenye moja ya mgahawa maarufu hapa mjini ambao kwa kweli pale mimi huwa ni regular customer na huwa nina wahudumu wawili ambao hao ndio tumezoeana sana.

Sasa siku hiyo ya tukio akanipokea mhudumu kama kawaida yake kwa tabasamu pana na salamu.

Nikaagiza kifungua kinywa.

Wakati natafuna nimeze lahaula nasikia vitu vikivunjikia mdomoni, nikaona niteme looh natoa mdomoni vipande vya chupa na ili kuhakiki kama kile kilikuwa chupa nikaona nikiminye nikaishia kukatwa mkono wangu.

Kuangalia ndani ya chakula looh, vyupa vimejaa.

Tangu siku hiyo ya tukio nikiwa mjini nakunywa maji tu. Mambo mengine yote nyumbani.

Wakuu kuweni makini sana na mii mgahawa na hakikisheni hamuwi wateja wa kudumu mahali.

Asanteni. Weekend njema.
Watu wanachuki sana na mapolisi na mataga,najua we ni mataga,pole
 
Wakuu, Bado sijarejea rasmi hapa jamvini ila nipende tu kuwataarifu kuwa nipo na naendelea na majukumu yangu ya kila siku. Siku kadhaa zilizopita ndipo nilipokutana na msukosuko wa aina yake. Ilikua siku ya jumapili nikiwa najiandaa kwenda ibadani, nikaona nipitie kwenye moja ya mgahawa maarufu hapa mjini ambao kwa kweli pale mimi huwa ni regular customer na huwa nina wahudumu wawili ambao hao ndio tumezoeana sana. Sasa siku hiyo ya tukio akanipokea mhudumu kama kawaida yake kwa tabasamu pana na salamu. Nikaagiza kifungua kinywa. Wakati natafuna nimeze lahaula nasikia vitu vikivunjikia mdomoni, nikaona niteme looh natoa mdomoni vipande vya chupa na ili kuhakiki kama kile kilikuwa chupa nikaona nikiminye nikaishia kukatwa mkono wangu. Kuangalia ndani ya chakula looh, vyupa vimejaa. Tangu siku hiyo ya tukio nikiwa mjini nakunywa maji tu. Mambo mengine yote nyumbani. Wakuu kuweni makini sana na mii mgahawa na hakikisheni hamuwi wateja wa kudumu mahali. Asanteni. Weekend njema.
 
Hiyo ni story yako, yeye kaeleza upande wake sababu yeye baba yake hakumfanyia ushirikina kwa mapenzi ya Mola wake amevuka jaribio.

Punguza wenge.
Hata mm nilimeeleza stori yangu nikiwa na maana ya kumkumbusha hapaswi kuishi kuzembe kwani watu wenye hila ni wengi hizo tahadhari ni muhimu sana ,lakn pia mbona umepanic isije kuwa wewe ndo mhudumu wa ule mgahawa kwahy unaona nakustulia windo lako ili ushidwe kumumaliza...
 
Wakuu,

Bado sijarejea rasmi hapa jamvini ila nipende tu kuwataarifu kuwa nipo na naendelea na majukumu yangu ya kila siku.

Siku kadhaa zilizopita ndipo nilipokutana na msukosuko wa aina yake.

Ilikua siku ya jumapili nikiwa najiandaa kwenda ibadani, nikaona nipitie kwenye moja ya mgahawa maarufu hapa mjini ambao kwa kweli pale mimi huwa ni regular customer na huwa nina wahudumu wawili ambao hao ndio tumezoeana sana.

Sasa siku hiyo ya tukio akanipokea mhudumu kama kawaida yake kwa tabasamu pana na salamu.

Nikaagiza kifungua kinywa.

Wakati natafuna nimeze lahaula nasikia vitu vikivunjikia mdomoni, nikaona niteme looh natoa mdomoni vipande vya chupa na ili kuhakiki kama kile kilikuwa chupa nikaona nikiminye nikaishia kukatwa mkono wangu.

Kuangalia ndani ya chakula looh, vyupa vimejaa.

Tangu siku hiyo ya tukio nikiwa mjini nakunywa maji tu. Mambo mengine yote nyumbani.

Wakuu kuweni makini sana na mii mgahawa na hakikisheni hamuwi wateja wa kudumu mahali.

Asanteni. Weekend njema.
Laana ya kumsapoti dikteta hiyo inawatafuna,

Katubu haraka
 
Adui gani anakuwekea chupa kwenye chakula?Weye ni wa kunaswa makofi mengi au unatandikwa fimbo za shingo hadi uimbe haleluya!😝😝😝😝😝😝😝
 
Back
Top Bottom