Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
sijasema Hans Pope ana Ubia na Kina lowassaSawa nakubali, Zakaria yupo katika hiyo picha lakini haina maana kuwa anafanya biashara na hao Mafisadi [RIdhwani etc.] isipokuwa kwa vile wote ni wasafirishaji wa mafuta bila shaka wana ushirikiano kupitia chama chao ambamo yeye Zakaria ni kiongozi mkuu!!! Nasisitiza kuwa Zakaria Hans Pope hana ubia wa biashara na wakina Lowassa.
Nimesema hansPope ni Kiongozi wa Wamiliki wa malory na Katibi wake ndio Lukumay
Uelewa wako ni afadhali kuliko wa OLESAIDIMU maana mnataka kutetea na kuweka mashujaa bila kujua Historia yao Soma hii kwa mwanga zaidi
Hanspope hawakuwa matajiri mpaka zakaria alupotoka jela.
Walikuwa na shamba kubwa kiasi mafinga likendeshwa na mdogo wake anaitwa ciser.Na ndugu yao mwingine Eddy alikuwa engineer caltex.mwingine Moses alikuwa denmark akipiga box (sasa ni marehemu alifariki mwaka juzi.akiwa anafanya kazi blue water dar).mwingine Aldo alikuwa anafanya kazi bahari beach hotel.mwingine ambaye alifuatana na Zakaria alikuwa ni captain wa jeshi (rubani)ambaye alikamatwa pia na kuachiwa huru baada ya miaka kama tano hivi.Waliona haku usika na kaka yake, alipo toka jela aliondoka na kwenda Canada then Australia na alifariki mwaka jana huko huko.
Wakati Zakaria anatoka kifungoni alikuta Cesar na Eddy wana lorry 3 za mafuta Benz old model 10 tones.
Kutoka hapo Zakaria akapata uwakala wa kuagiza mafuta kutoka nnje. (Na nani? Anajuwa mwenyewe)
Hapo ndipo alipo anza mafanikio.Kwenye kampuni yake yeye ndiyo Boss na wadogo wake Eddy na Cesar wana ma lorry ndani ya kampuni.na Aldo ni meneja wa transport akiwa hana lorry lake binafsi
Ma lorry mengine mengi ni ya watu tofauti waingia contract napigwa rangi ya kampuni na kupewa kazi ya mafuta.Mtu yoyote mwenye lorry la mafuta huwa anakaribishwa kuingia mkataba na lorry kupigwa rangi ya kampuni.
Last edited by a moderator:
