Dkt Guston
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 105
- 119
Canada anaendaje bila visa mkuu, kote huko wembe ni uleule ukisimama nchale ukikaa nchale. Iko hivi ukitaka kupata visa mfano ya Canada ni muhimu kuwa na docs zinazoaminisha bila mashaka kuwa wewe huendi kukaa moja kwa moja utarudi nchini kwako soon visa yako ikiisha.Wakomoe nenda ata canada
Canada anaendaje bila visa mkuu, kote huko wembe ni uleule ukisimama nchale ukikaa nchale. Iko hivi ukitaka kupata visa mfano ya Canada ni muhimu kuwa na docs zinazoaminisha bila mashaka kuwa wewe huendi kukaa moja kwa moja utarudi nchini kwako soon visa yako ikiisha.
Na je unaomba visa ya kwenda masomoni, kutalii, umealikwa na dungu au rafiki na je huyo aliyekualika ana hadhi gani ni permanent resident wa huko uendako? Kuna organization ya huko imekupa mwaliko nk
Mambo ni mengi ila endelea kuomba bila kuchoka utapata tu, kingine fee ya application ya visa hua hairudishwi wether umepata au haujapata.
Tajiri Kichwa naona hauko serious, acha niishie hapa. Kila la heri awakomoe tu hakuna namna [emoji23][emoji23]Ndio awakomoe aende canada
Wafrika tunaonekana kama vile tunania ya kujichimbia hukoMtafute Roma mkatolic
Marekani ndio duniani mkuu hata bure siende RussiaMbona watu hamuendaga Urusi? wakati viza ya kwa Putin ni simple tu tena ukizingatia wajukuu wa Nyerere...
Mbona sioni sehemu uliyobaguliwaHabari wana JF
Naomba kwa mtu ambaye ameshapata visa ya marekani anipatie maelezo kidogo ya jinsi alivyofanikisha kupata visa hio? Leo nmekosa visa na nmeshatumia gharama tayari zimeenda bure,nmeambiwa nijipange niombe upya,
Naombeni mrejesho kwa wale waliofanikisha kupata visa ya marekani
Omba visa ya Russia au Ukraine achana na hao mabeberu.Habari wana JF
Naomba kwa mtu ambaye ameshapata visa ya marekani anipatie maelezo kidogo ya jinsi alivyofanikisha kupata visa hio? Leo nmekosa visa na nmeshatumia gharama tayari zimeenda bure,nmeambiwa nijipange niombe upya,
Naombeni mrejesho kwa wale waliofanikisha kupata visa ya marekani
US Embassy interview for Visa is 22,000Kshs. Every day 1000 Kenyans queue up and only 100 succeed. US Embassy pockets 19m daily from those who fail.Habari wana JF
Naomba kwa mtu ambaye ameshapata visa ya marekani anipatie maelezo kidogo ya jinsi alivyofanikisha kupata visa hio? Leo nmekosa visa na nmeshatumia gharama tayari zimeenda bure,nmeambiwa nijipange niombe upya,
Naombeni mrejesho kwa wale waliofanikisha kupata visa ya marekani
Mkuu umeomba VISA ya aina gani?Unataka kwenda US kufanya nini?Unafanya shughuli gani?Habari wana JF