Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Nchi kama ipi ambayo lazima utapitia marekani?
Za Latin America
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi kama ipi ambayo lazima utapitia marekani?
Sawa, asante.Za Latin America
Wewe umepata kila kitu? Mkiwa na maisha mazuri nyie basi msifikiri wenzenu wana hayo maisha.Nchi za watu hizo unafuata nini ulichokosa hapa nyumbani? Mkifika huko mnabagulia mnaanza kulialia tu. Africa kuna kila kitu, baki nyumbani, tafuta maisha hapa uendeleze nchi yako. Kuwa mzalendo kama wao walivyo wazalendo kwa nchi zao
Hii imekaaje? Maisha pande hizo yapoje?Nenda Guatemala halafu unapandisha tu kiulaini
Angeenda urusi au Iran ndio angewakomoa zaidiWakomoe nenda ata canada
Porojo hizi acha kudanganya wenzio, unajuwa watu wanajiripuwaje? Siyo rahisi hivyo unavyofikiri.Hakuna kubaguliwa hapo ila sema hujakamilisha vigezo vyote
Nenda kakate ticket ya utalii nchi ambayo unapita USA hata Miami transit halafu jilipue, usiniulize mengi
Acha uoga
Swala la umri nalo ni muhimu sana, una umri gani?Habari wana JF
Naomba kwa mtu ambaye ameshapata visa ya Marekani anipatie maelezo kidogo ya jinsi alivyofanikisha kupata visa hio? Leo nmekosa visa na nimeshatumia gharama tayari zimeenda bure, nimeambiwa nijipange niombe upya.
Naombeni mrejesho kwa wale waliofanikisha kupata visa ya Marekani
Porojo hizi acha kudanganya wenzio, unajuwa watu wanajiripuwaje? Siyo rahisi hivyo unavyofikiri.
Funguka zaidi tuone njiaKama umewahi kupita njia hizo unaweza kutupa mawili matatu ila kama hujawahi kuvuka border za mbali ni kawaida watu kama nyie kubisha ili mradi mchangie mada
Ungeuliza swali kwanza kabla ya kupinga usichokijua
Kwa taarifa yako nimepita routes nyingi sana na nimetembelea nchi 32 to be precisely
Na hiyo njia ya kuingia [emoji631] naweza kukupa kama unahitaji la sivyo usibishe usivyovijua
Watu wanasota sana kuingia na wengine wanaingia kiulaini
Ukiwa mkimbizi wa vita utawekwa detention kwa muda ila green card utapata baada ya hapo
Haya niambie bila kupepesa macho umewahi hata kuulizia njia za kutoka?
Na umefika umbali gani? dar?
Funguka zaidi tuone njia
Kuna jamaa ni Mtanzania yuko marekani huwa ana youtube channel yake,huwa anatoa mafunzo ya kuhusu USA visa application humo huwa anajibu maswali yote.Habari wana JF
Naomba kwa mtu ambaye ameshapata visa ya Marekani anipatie maelezo kidogo ya jinsi alivyofanikisha kupata visa hio? Leo nmekosa visa na nimeshatumia gharama tayari zimeenda bure, nimeambiwa nijipange niombe upya.
Naombeni mrejesho kwa wale waliofanikisha kupata visa ya Marekani
UNA MAWASILIANO NAYE HUYO MZEE, TUPEANE MICHONGOKila mmoja ana bahati yake mkuu na anatafuta ipi inamfaa na inategemea na mfuko wake na wapi anataka kwenda
Wengine wanaenda Australia ila wanapitia Jakarta
Nakumbuka kuna mzee mmoja huko yeye ukienda kwake anakupa mchongo na route anakuunganishia kuingia Australia
Ila sharti lake sio gumu hivyo kama utakubali
Unaacha kila kitu Chako kwake kuanzia nguo na kila kitu hata hela yaani unapelekwa ukiwa umevaa nguo zako tu
Unapanda Boti na ukifika huko ukifanikiwa unaagiza utumiwe mizigo yako na kama hela zilizidi kwa kiasi alichokuwa anataka basi utatumiwa balance
Maisha yote ni risk ukifa napo ndio kwaheri na nguo zako atagawa na hela zako anakula
Sina namba wala jina ila ni kupambana mwenyewe kama unataka kupasua [emoji23]
Kama [emoji631] hapo unaenda Panama kwa drug lords wanakupitisha njia za panya yaani unapita sehemu zinatisha na sehemu zingine ni maji kiunoni
Hapo panga lazima angalia na majoka
Wakati mwingine mnafurumushwa na vikosi vya jeshi hapo ndio patamu au Waasi
Ila mwisho unapita au shaba
Ukiwa muoga utaishia kuhadithiwa tu
Boss ulikuwa na documents gani?Habari wana JF
Naomba kwa mtu ambaye ameshapata visa ya Marekani anipatie maelezo kidogo ya jinsi alivyofanikisha kupata visa hio? Leo nmekosa visa na nimeshatumia gharama tayari zimeenda bure, nimeambiwa nijipange niombe upya.
Naombeni mrejesho kwa wale waliofanikisha kupata visa ya Marekani
Mkimbizi gani una pasport ya bongo??Kama umewahi kupita njia hizo unaweza kutupa mawili matatu ila kama hujawahi kuvuka border za mbali ni kawaida watu kama nyie kubisha ili mradi mchangie mada
Ungeuliza swali kwanza kabla ya kupinga usichokijua
Kwa taarifa yako nimepita routes nyingi sana na nimetembelea nchi 32 to be precisely
Na hiyo njia ya kuingia [emoji631] naweza kukupa kama unahitaji la sivyo usibishe usivyovijua
Watu wanasota sana kuingia na wengine wanaingia kiulaini
Ukiwa mkimbizi wa vita utawekwa detention kwa muda ila green card utapata baada ya hapo
Haya niambie bila kupepesa macho umewahi hata kuulizia njia za kutoka?
Na umefika umbali gani? dar?
Mkuu asikudanganye mtuMkimbizi gani una pasport ya bongo??