Jaribio la kwanza nimekosa visa ya Marekani, Waafrika tunabaguliwa

Jaribio la kwanza nimekosa visa ya Marekani, Waafrika tunabaguliwa

US Embassy interview for Visa is 22,000Kshs. Every day 1000 Kenyans queue up and only 100 succeed. US Embassy pockets 19m daily from those who fail.

589 Million Kshs Per Month.
7 Billion Kshs Per Year.

USAID: "We have donated 5 Billion Kshs to Kenya"[emoji35][emoji35][emoji35]

Niggas can never be saved.
Duuh
 
Badala mnipe ushauri jinsi gani mlivyofanikisha mnanitukana tena hivi nyie ni watu gani,mimi nimeomba aliefanikisha anisaidie alivyofanya mpaka akafanikisha kati ya watu 50 ni 5 tu waliofanikisha huoni kuna ubaguzi hapo
 
Mkuu kwanini usiombe VISA ya Afghanistani au Pakistan au Syria??
 
Visa ya marekani sio lelemama, kuna wana wanazo scholarship kabisa ila visa wanakataliwa
 
US Embassy interview for Visa is 22,000Kshs. Every day 1000 Kenyans queue up and only 100 succeed. US Embassy pockets 19m daily from those who fail.

589 Million Kshs Per Month.
7 Billion Kshs Per Year.

USAID: "We have donated 5 Billion Kshs to Kenya"[emoji35][emoji35][emoji35]

Niggas can never be saved.
Niggas can never be saved indeed.

#MaendeleoHayanaChama
 
Habari wana JF

Naomba kwa mtu ambaye ameshapata visa ya marekani anipatie maelezo kidogo ya jinsi alivyofanikisha kupata visa hio? Leo nmekosa visa na nmeshatumia gharama tayari zimeenda bure,nmeambiwa nijipange niombe upya,

Naombeni mrejesho kwa wale waliofanikisha kupata visa ya marekani

Nchi za watu hizo unafuata nini ulichokosa hapa nyumbani? Mkifika huko mnabagulia mnaanza kulialia tu. Africa kuna kila kitu, baki nyumbani, tafuta maisha hapa uendeleze nchi yako. Kuwa mzalendo kama wao walivyo wazalendo kwa nchi zao
 
Badala mnipe ushauri jinsi gani mlivyofanikisha mnanitukana tena hivi nyie ni watu gani,mimi nimeomba aliefanikisha anisaidie alivyofanya mpaka akafanikisha kati ya watu 50 ni 5 tu waliofanikisha huoni kuna ubaguzi hapo
Nmecheka kama mazuri umeongea KWA hisia kwel mkuu pole [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24][emoji24] ndo wabongo Hawa hawana ushauri ni kejeli, mzaha, na matani
 
Utapewaje visa ya USA wakati account yako ya bank haina hata 50M? Tafuta pesa hakuna nchi isiyoingilika kwa tajiri/mwenye pesa.
 
Wanakuchunguza kama una makampuni hapa bongo na account yako ya bank imeshiba basi kupata visa ni easy tu ila kama uwezo wako wa mwisho kuwithdraw pesa kwenye ATM card yako ni elfu hamsini basi sahau kuhusu VISA.

Jaribu visa za uturuki au eastern europe huko ni easy kupata
 
Sometimes kupata visa pale ni bahati Kuna mtu alipata Hata Hana sifa kabisa , pia Kuna kujipanga vizuri kwa interview na relevant document zinazoonyesha una good home country ties ili wajue unaenda na kurudi .Jipange usilalamike sana watu kibao kila SIKU wanakosa..wewe Sio wa kwanza .jaribu Tena next time .
 
US Embassy interview for Visa is 22,000Kshs. Every day 1000 Kenyans queue up and only 100 succeed. US Embassy pockets 19m daily from those who fail.

589 Million Kshs Per Month.
7 Billion Kshs Per Year.

USAID: "We have donated 5 Billion Kshs to Kenya"[emoji35][emoji35][emoji35]

Niggas can never be saved.
Akili mtu wangu
 
Roma ana kesi ya kunyimwa haki ya kuexpress freedom of speech ndiyo iliyo mpandisha pipa na sasa anakula burger.
Uondokaji wake haukua kwajili ya freedom of speech aliandaliwa show kule amerika alipiga show Kama kawaida ulipofika muda wakugeuza ikajitokeza hiyo usemayo nayeye asubirie ule muda wakwenda kwenye kongamano ladini ahakikishe akaunti yake inabalance yakutosha nauli yakurudia akienda apotelee kitaaa[emoji28][emoji38]
 
Badala mnipe ushauri jinsi gani mlivyofanikisha mnanitukana tena hivi nyie ni watu gani,mimi nimeomba aliefanikisha anisaidie alivyofanya mpaka akafanikisha kati ya watu 50 ni 5 tu waliofanikisha huoni kuna ubaguzi hapo
Kuna maswali ya msingi Sana umeulizwa hujajibu sasa unategemea upewe ushauri gani?
 
Back
Top Bottom