Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,352
DuuhUS Embassy interview for Visa is 22,000Kshs. Every day 1000 Kenyans queue up and only 100 succeed. US Embassy pockets 19m daily from those who fail.
589 Million Kshs Per Month.
7 Billion Kshs Per Year.
USAID: "We have donated 5 Billion Kshs to Kenya"[emoji35][emoji35][emoji35]
Niggas can never be saved.
Soma repry ya juuubaguzi uko wapi hapo
Badala mnipe ushauri jinsi gani mlivyofanikisha mnanitukana tena hivi nyie ni watu gani,mimi nimeomba aliefanikisha anisaidie alivyofanya mpaka akafanikisha kati ya watu 50 ni 5 tu waliofanikisha huoni kuna ubaguzi hapo
Niggas can never be saved indeed.US Embassy interview for Visa is 22,000Kshs. Every day 1000 Kenyans queue up and only 100 succeed. US Embassy pockets 19m daily from those who fail.
589 Million Kshs Per Month.
7 Billion Kshs Per Year.
USAID: "We have donated 5 Billion Kshs to Kenya"[emoji35][emoji35][emoji35]
Niggas can never be saved.
Habari wana JF
Naomba kwa mtu ambaye ameshapata visa ya marekani anipatie maelezo kidogo ya jinsi alivyofanikisha kupata visa hio? Leo nmekosa visa na nmeshatumia gharama tayari zimeenda bure,nmeambiwa nijipange niombe upya,
Naombeni mrejesho kwa wale waliofanikisha kupata visa ya marekani
Nmecheka kama mazuri umeongea KWA hisia kwel mkuu pole [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24][emoji24] ndo wabongo Hawa hawana ushauri ni kejeli, mzaha, na mataniBadala mnipe ushauri jinsi gani mlivyofanikisha mnanitukana tena hivi nyie ni watu gani,mimi nimeomba aliefanikisha anisaidie alivyofanya mpaka akafanikisha kati ya watu 50 ni 5 tu waliofanikisha huoni kuna ubaguzi hapo
Kule nasikia fasta kichizi acheki na Ukraine nasikia bure kuleJaribu na kule URUS mkuu
Akili mtu wanguUS Embassy interview for Visa is 22,000Kshs. Every day 1000 Kenyans queue up and only 100 succeed. US Embassy pockets 19m daily from those who fail.
589 Million Kshs Per Month.
7 Billion Kshs Per Year.
USAID: "We have donated 5 Billion Kshs to Kenya"[emoji35][emoji35][emoji35]
Niggas can never be saved.
Roma ana kesi ya kunyimwa haki ya kuexpress freedom of speech ndiyo iliyo mpandisha pipa na sasa anakula burger.Mtafute Roma mkatolic
Uondokaji wake haukua kwajili ya freedom of speech aliandaliwa show kule amerika alipiga show Kama kawaida ulipofika muda wakugeuza ikajitokeza hiyo usemayo nayeye asubirie ule muda wakwenda kwenye kongamano ladini ahakikishe akaunti yake inabalance yakutosha nauli yakurudia akienda apotelee kitaaa[emoji28][emoji38]Roma ana kesi ya kunyimwa haki ya kuexpress freedom of speech ndiyo iliyo mpandisha pipa na sasa anakula burger.
Kuna maswali ya msingi Sana umeulizwa hujajibu sasa unategemea upewe ushauri gani?Badala mnipe ushauri jinsi gani mlivyofanikisha mnanitukana tena hivi nyie ni watu gani,mimi nimeomba aliefanikisha anisaidie alivyofanya mpaka akafanikisha kati ya watu 50 ni 5 tu waliofanikisha huoni kuna ubaguzi hapo
Nchi kama ipi ambayo lazima utapitia marekani?Hakuna kubaguliwa hapo ila sema hujakamilisha vigezo vyote
Nenda kakate ticket ya utalii nchi ambayo unapita USA hata Miami transit halafu jilipue, usiniulize mengi
Acha uoga