The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na video zinazozunguka mtandaoni zikionyesha jaribio la utekaji dhidi ya Ndugu Deogratius Tarimo, mfanyabiashara na mkazi wa Kibaha, mkoani Pwani, tukio lililotokea nje ya hoteli ya Rovvenpec Resort, Kiluvya Madukani, Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam, Jumatatu, Novemba 11, 2024.
Soma, Pia: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia
LHRC imeeleza kusikitishwa kwake na kuongezeka kwa matukio ya utekaji nchini, huku ikisisitiza kuwa matukio haya yanakiuka haki za binadamu na Katiba ya Tanzania nakutoa wito kwa Jeshi la Polisi kuchukua hatua za haraka kuchunguza tukio hili na serikali kuhakikisha matukio haya yanakomeshwa.
Soma: Polisi watoa tamko tukio la jaribio la utekaji Kiluvya, wasema uchunguzi umeanza toka aliporipoti Novemba 11, 2024