RUSSIA SIYO MPUMBAVU...VIONGOZI WENGI WANAO UNGANA NA URUSSI NI MAHALIFU KWA RAIA WAO TOFAUTI KABISA NA URUSSI ..HIVYO URUSSI INAWATUMIA TU ...MFANO MTU KAMA MUSEVENI URUSI WAKIMKUBALI NI KWA MASLAI YA URUSSI TU KWA SABABU URUSSI INAWATAMBUA VIONGOZI WAPUMBAVU...MFANO ALIYEKUWA RAIS WA VENEZUELATayari Manowari za Kivita zenye ndege za kutosha, zimeaanza kuelekea Middle East
Nimesoma source moja, hadi ndege zinazojaza mafuta ndege nyingine angani zimeshasogezwa hapo Middleeast
Kifupi RUSSIA kawasaliti allied wake wote VENEZUELA, CUBA na IRAN.
Sijui Viongozi wa Afrika wanakubaligi kuitwa Moscow kwenye agenda za Mrusi sijui wanaendaga kufanya nini?
Ila anatumia gharama kubwa sanaTayari Manowari za Kivita zenye ndege za kutosha, zimeaanza kuelekea Middle East
Nimesoma source moja, hadi ndege zinazojaza mafuta ndege nyingine angani zimeshasogezwa hapo Middleeast
Kifupi RUSSIA kawasaliti allied wake wote VENEZUELA, CUBA na IRAN.
Sijui Viongozi wa Afrika wanakubaligi kuitwa Moscow kwenye agenda za Mrusi sijui wanaendaga kufanya nini?
Wakae Wazungumzee Vita Ni Mbaya Sana
wanagawana maeneo Urusi anachukua maeneo muhimu ya Ukraine na Trump anaitwaa Venezuela na Greenland hapo middle east hapawezi ni full vurugu kama ilivyokuwa kule afghanstan hakuna atayethubutu kuinvest paleTayari Manowari za Kivita zenye ndege za kutosha, zimeaanza kuelekea Middle East
Nimesoma source moja, hadi ndege zinazojaza mafuta ndege nyingine angani zimeshasogezwa hapo Middleeast
Kifupi RUSSIA kawasaliti allied wake wote VENEZUELA, CUBA na IRAN.
Sijui Viongozi wa Afrika wanakubaligi kuitwa Moscow kwenye agenda za Mrusi sijui wanaendaga kufanya nini?
Apigwe TuMazungumzo yameshindikana. Mpaka wamewekewa vikwazo, lakini Ayatollah anaendelea kuua Wairan. Je, aachwe aendelee kunyonya damu za watu? Wamarekani wajitahidi sana kuwalinda wananchi wa kawaida wa Iran, lakini Ayatollah na genge lake la wauaji, chochote kikiwapata ni sawa, na itakuwa faraja kubwa kwa wananchi.
vp kuhusu myahudi yupo katikati ya adui zake wote, kawekwa mtu kati mbona yupo na anaendelea na shughuri zake za kiuchumi hapo, hakuna nywi nywi nywi..wanagawana maeneo Urusi anachukua maeneo muhimu ya Ukraine na Trump anaitwaa Venezuela na Greenland hapo middle east hapawezi ni full vurugu kama ilivyokuwa kule afghanstan hakuna atayethubutu kuinvest pale
Wewe ni mijnga wa kiwango cha lami.Ni toka lini Marekani akawa na uchungu na wananchi wa Iran? Hata kama elimu yako ni ndogo ,mambo kama haya unatakiwa angalau kwa kiwango cha chini uweze kuyajua na kuyatafakari.Mazungumzo yameshindikana. Mpaka wamewekewa vikwazo, lakini Ayatollah anaendelea kuua Wairan. Je, aachwe aendelee kunyonya damu za watu? Wamarekani wajitahidi sana kuwalinda wananchi wa kawaida wa Iran, lakini Ayatollah na genge lake la wauaji, chochote kikiwapata ni sawa, na itakuwa faraja kubwa kwa wananchi.
Yaani unaamini marekani anaenda kupiga Iran kisa waandamanaji!?..tuna safari ndefu sana aiseeMazungumzo yameshindikana. Mpaka wamewekewa vikwazo, lakini Ayatollah anaendelea kuua Wairan. Je, aachwe aendelee kunyonya damu za watu? Wamarekani wajitahidi sana kuwalinda wananchi wa kawaida wa Iran, lakini Ayatollah na genge lake la wauaji, chochote kikiwapata ni sawa, na itakuwa faraja kubwa kwa wananchi.