Ipi chanzo unachokiona ni credible na kwa sababu gani.Unaleta fake reports kutoka vyanzo ambavyo sio credible!??
Taarifa zinasema 30000 killed,wengine wanasema 12000 killed,wengine wanasema 40000 killed. Zipi taarifa sahihi!??
Mkaenda mbali hadi kumtangaza msanii wa Uturuki kuwa ni muiran na ameuawa kwa maandamano.
Propaganda zenu zimebuma.